kufuga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kama maisha yako hayasomeki usifikirie kabisa kufuga mbwa aina ya Belgian Malinois

    Kwa mtu ambaye maisha yake hayana utulivu au hayana ratiba maalumu, Belgian Malinois mara nyingi si chaguo sahihi. Kwa nini? 1. Anahitaji mazoezi mengi sana. Si kutembezwa dakika 20 tu ukaona inatosha. Mara nyingi huhitaji saa 1–2 au zaidi za mazoezi makali na shughuli za akili kila siku. 2...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama unapesa ya kufuga na kulima mpunga wezesha ufugaji wa samaki anaitwa Pangasianodon hypophthalmus jamii ya kambale

    Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga. Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa Pangasianodon hypophthalmus.Ndani ya miezi sita inaweza kufikia 10-20 na sio jamii ya hapa inatoka...
  3. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

    Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Nilikua sijui tofauti ya kufuga nguruwe wa mbegu na wa nyama

    “Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈. Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja. Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
  5. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Utatumia zaidi ya milioni 100 kufuga hawa kuku 10,000

    Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana Ukiwa na App hii itakusaidia kujifunza kuhusu Ufugaji wa kuku maana kuna kipengele cha "Jifunze" ambacho...
  6. hamis77

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu majini kabla ya binadamu

    Uislamu wa Majini na Historia Yao Kabla ya Mtume Muhammad ﷺ Katika Qur’ani na Hadithi, kuna maelezo yanayosema kuwa majini waliumbwa kabla ya binadamu, na walikuwa na uwezo wa kubeba dini na kumwabudu Allah. Hii inatupa msingi wa hoja na maswali mengi sana kwasisi tunaopenda kutoka nje ya box...
  7. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Kufuga mmbwa wa kisasa si mchezo budget yake inazidi familia nyingi

    Ukiona mtu anafuga mmbwa aina ya Germany Shepherd muheshimu gharama yake kuwatunza ni zaidi ya pesa unayomuachia mke wako
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika ufugaji usije kufuga sungura,kanga,bata na kondoo.Sababu wateja wake ni wachache

    Kama unafuga kwa kitowewo sawa ila kama unafuga kwa biashara na kupa pole sana. Ni ngumu sana kupata wateja ukilinganisha mbuzi,kuku,ng’ombe na samaki. Embu tujuzane kwa nini
  9. B

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

    Itaonekana ni jambo la ajabu kuwashauri kobazi kufuga nguruwe lakini ushauri huo umetolewa na Sheikh Abubakari Mwaibabile wa msikiti wa Sabasaba katika kitongoji cha Holemela,Mbarali Mbeya.Wakati akiyasema hayo aliwasisitiza waislamu kuielewa Quran zaidi na kutokubaliana na mambo ambayo hayako...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Kwa aliye tayari kunikodishia anitafute tupange biashara
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Dini ya Uislam inaruhusu kufuga mbwa nyumbani?

    Uislamu una muongozo gani wa kidini katika kufuga mbwa wa ulinzi au kama mnyama kipenzi(pet) na kuishi ndani ya nyumba? Hali ya ufugaji mbwa Uarabuni ikoje?
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendela zinaonyesha kuwa na upweke sana na marafiki zao ni wanyama wa kufuga majumbani

    Kama usafiri unaweza kubisha hii mada. Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea. Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika. Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana. Wenzetu wameona...
  14. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Ma expert, hivi hiyo inawezekana au mpka nichimbe kisima au bwawa ndio nifuge Nina tank la 5000L nimewaza nifuge samaki humu
  15. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Kutoka kufuga kuku 200, Hadi Kua Kampuni Inayozalisha Zaidi ya Trey 100 Kwa Siku, Hii ndoli Siri

    🎥 Rubaba TV imepata nafasi ya kipekee kutembelea moja kati ya miradi ya mfano inayoendeshwa na Kampuni ya KOWNAS INVESTMENT LIMITED, ambayo historia yake imejengwa kwa juhudi, maarifa, na matumizi ya bidhaa bora za lishe kwa kuku. Mradi huu ulianza miaka michache iliyopita kwa idadi ndogo ya...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lasalimu amri na kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake na kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel kufanya mabadiliko ya sare za Jeshi lake, kuwa kuwaruhusu wanajeshi wake kufuga ndevu

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Advertisement Live Update arrow right icon From the Liveblog of Wednesday, April 9, 2025 IDF set to approve slew of dress code changes, will now allow soldiers to grow beards By Emanuel Fabian Follow Today, 9:05...
  18. MUBENDE

    JamiiForums Tanzania Mbegu bora za Mbuzi toka AFRIFARMTZ Iringa

    Nawasalimuni kwa jina la Mungu naomba niwataarifuni kwa wanao penda kufuga Mbuzi Bora wa kisasa Boer, sasa ASAS iringa wametangaza wanazo mbegu zakutosha wanauza ni Madume tu. Naomba niweke mawasiliano yao hapa ili muweze kupata maelekezo zaidi na njia ya kuweza kuagiza. 0717 405 073 Frank...
  19. zoyler22

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mtaji wa mil 1.5 naweza kufuga kuku wa mayai, wa nyama na chotara kwa wakati mmoja?

    Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika kiongezeke ili niweze kuanza kufuga
  20. Gavinci

    JamiiForums Tanzania Je mtaji wa ml.8 unatosha kufuga layers 600 mpaka waanze kutaga?

    Habari wakuu, naombeni uzoefu wenu hasa kwenye sekta hii ya kuku wa mayai. Binafsi nimewahi kufuga kuku wa kienyeji, chotara, na broilers kwa uchache, ila kwa sasa nahitaji kufuga kuku wa mayai 600 hivyo ningependa kujua gharama zao hasa kwenye upande wa chakula, vifaranga na madawa tuu ukiacha...
Back
Top Bottom