Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
Kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu Marekani na Israel zilipozusha mgogoro wa Mashariki ya kati kwa kuishambulia Iran, bei ya mafuta kwenye soko la dunia ilipanda kwa ghafla na kuleta changamoto kwa maisha ya watu wenye mapato ya chini katika nchi mbalimbali duniani. Kati ya nchi zote kubwa duniani...
Juzi tumeona wingereza waziri mkuu kajiuzuru sio kwa ubaya ila kuliokoa taifa kabla ya kufikia tamati.
Kwa afrika mpaka maamuzi magumu yatumike ndio mnajua mambo ya shakuwa mabaya.
Mfano Zimbabwe pale kama wange muhai mugabe haraka ile nchi isingefikka vile kuporomoka kiuchumi.
Mfano wa pili...
Malalamiko mengi na mashuuda wameeleza kuhusu urusi ilivyo wafikisha kwa udanganyifu wa ajira na mambo mengine mwisho wa siku wanajikuta kulazimishwa kupigana na ukrain.
Cha kushangaza tumeona raisi feki kaenda huko na nyie JWTZ msipo kuwa makini mtapelekwa kwa lolote.
Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa.
Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu.
kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k.
Kwa uvumilivu wa betri...
Afrika ni seme akili zetu zinatembea pole pole mda fulani.Hata kuwaamsha vipi kuwa kuna hatari wao bado wame lala.
Mfano hapo south africa kwa kiwango cha uhamiaji ule hawa kuona tatizo siku zote usalama wanchi mpaka wanashituliwa na wananchi.
Ukija kwa mgabe mpaka nchi imeangukia pua ndio...
Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi.
Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
Kuanzia Mei 1, sera ya China ya ushuru sifuri kwa nchi za Afrika itajumuisha bidhaa nyingi kutoka nchi za Afrika, ikionyesha mabadiliko makubwa katika mienendo ya biashara ya kimataifa. Sera hii inakuja katika wakati muhimu kwa uchumi wa Afrika, ambao unakabiliana na mashinikizo ya nje...
China kwa sasa inageuza soko lake kuwa chachu ya ushirikiano, hali ambayo inaonekana ni tofauti kabisa na nchi za magharibi ambazo zinatoa mapendekezo yanayoambatana na masharti kemkem.
Nchi za Afrika zimekuwa zikijiuliza kwa muda mrefu, ya kwamba ni nani hasa anayefungua soko lao, kwa masharti...
Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh
NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda.
Swali la kujiuliza, kwanini...
Mwezi Agosti mwaka 2021, China ilizindua Mpango wa China na Afrika wa Kujenga Jumuiya yenye mustakbali wa pamoja kwenye mambo ya mtandao wa internet, na kuwa jukwaa la kwanza la Maendeleo na Ushirikiano kwenye mambo ya mtandao wa Internet kati ya China na Afrika. Ushirikiano huo ni mwendelezo wa...
Kwa miaka mingi, China imekuwa ikitoa mikopo mingi kwa nchi zinazoendelea, ikiwemo nchi nyingi za Afrika. Hata hivyo, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita, hali hii imeanza kubadilika. Sasa, China inatoa mikopo mipya kidogo sana, huku nchi maskini zikiendelea kulipa madeni ya zamani...
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
Tabia hii unaweza kuiona katika vinywa vya Viongozi pamoja na wanachi wao kupitia majukwaa tofauti.
Imagine Jf Post nyingi ni za Lawama dhidi ya Serikali au Ugumu wa Maisha na Hatuoni namna mtu huyo anayelalamika aikichukua hatua dhidi ya hali inayomkabili.
Mwaka 1975, Tanzania, Zambia na Botswana zilisusia Mkutano wa 12 wa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) uliofanyika Kampala, Uganda, kupinga uongozi wa Rais Idi Amin. Mkutano huo ulimfanya Amin kuwa mwenyekiti wa OAU kwa mwaka mmoja, nafasi ambayo kwa desturi hutolewa kwa kiongozi wa nchi mwenyeji...
Kwa raisi atakaefuata, njia pekee ya mafanikio katika maendeleo ni kuwekeza nguvu kubwa katika Elimu, tumejaza watu wengi sana kwa jina la wanaharakati wakiwa na mchango 0 katika taifa, zaidi ni watu ambao wanatamani nchi ilipuke
Kwa uongozi unaokuja vipaumbele ni elimu, baada ya uchaguzi nchi...
Chaguzi 2025 Barani Afrika: Orodha
Hizi ndizo chaguzi zijazo kwa muundo wa orodha.
Januari 2025
12 Januari 2025: Comoro – Bunge la Muungano
Februari 2025
2 Februari 2025: Togo – Seneti [imeahirishwa]
Februari 2025: Togo – Rais
Machi 2025
5 Juni 2025: Burundi – Bunge la Taifa
Agosti...
Nikiwa nimeishi nchini China kwa miaka mingi sana tangu mwaka 2008, na kushuhudia nchi hii ambayo sasa ni ya pili kwa uchumi mkubwa duniani inavyobadilika hatua kwa hatua, chini ya muongozo wa chama tawala cha Kikomunisti cha China yaani CPC, na kwa ushirikiano mkubwa wa vyama vingine vidogo...
Burkina Faso inasema imeanzisha mfumo wa visa bila malipo kwa raia wa Afrika, kwa nia ya kuwezesha usafirishaji wa watu na bidhaa ndani ya nchi.
Uamuzi huo ulitolewa Alhamisi, wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri ulioongozwa na kiongozi wa kijeshi Kapteni Ibrahim Traoré
"Kuanzia sasa, raia...
Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.