muelekeo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Venezuela yajiondoa Rasmi ICC. Ni muda muafaka kwa Tanzania nayo kujiondoa kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo na kukumbwa na kashfa mbalimbali

    Ndugu zangu Watanzania, Nchi ya Venezuela Imejiondoa Rasmi kuwa Mwanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai ya ICC. Mahakama Ambayo Imeendelea kukimbiwa na wanachama mbalimbali kutoka kila pembe ya Dunia kila Uchao. Kutokana na chombo hicho kukosa muelekeo,kupoteza imani na...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania haina tena THINK TANKS wa muelekeo wa kiuchumi, ni bora liende!

    Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake. Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi. Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Huyu afande amenisikitisha sana kwa kweli kama ndio hivyo tumekwisha

    Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
  4. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya 500/50 ilivyobadilisha muelekeo wangu

    wanajamvi wote habarini,heri ya sikukuu ya eid. mimi si muandishi mzuri sana, nimekuwepo jamii forums muda kidogo, ila kulikuwa na kitu moyoni mwangu nikitaka ku share pamoja ndoto zipo za aina mbalimbali. unaweza kuota unafukuzwa na wanyama wakali, unakula, unahesabu pesa, nk nataka niseme...
  5. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Maono kuhusu muelekeo na upepo wa Maandamano 29/10

    Moja kwa moja. Katika harakati zote za maandamano bongo hakuna maandamano ambayo yanajoto , hamasa , vuguvugu na muamko mkubwa kama hii ya safari hii , pamoja na hayo sioni kabisa kufanikiwa kutokana na sababu nyingi miongoni mwa hizo ni zifuatazo ; 1. Nguvu yake , umaarufu na hamasa ni...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump ampa Putin siku 12 Urusi kuonyesha muelekeo wa kumaliza vita Ukraine la sivyo aishughulikie

  7. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Msemaji wa Serikali kuweka sawa kauli ya Rais Samia kuhusu kuheshimu imani ya kila mtu nchini

    Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote? Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
  8. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mganga anaweza akaboost muelekeo wa biashara yako au ni stori tu?

    Karibuni wanajukwaa
  9. P

    JamiiForums Tanzania CDM ilipoteza muelekeo 2015

    Makosa ya CDM 2015 yamekitafuna sana chama. Si mbowe wala Lissu ambao wanajua wanachokitaka. Walichitufanyia 2015 kutuletea EL maumivu waliyotusababshia, Mungu tu ndo anajua.
  10. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Shule ya Sekonari ACT Bunda Girls inavyopoteza muelekeo wake

    Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi yenyewe ya "u private". Kwa kifupi inazidiwa kiwango cha Taaluma na shule nyingi tu kata zilizo...
  11. funaku

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sasa ni rasmi ngome ya CHADEMA Kaskazini imekosa muelekeo

    Baada ya kuona makamanda wameikimbia ngome yao muhimu kama Moshi na Arusha wakati wa ufunguzi wa kampeni basi hii ni ishara rasmi kuwa CCM imedhibiti vilivyo ngome hii. Ndio maana Mbowe kaanzia Mbeya na Lissu kaanzia Singida huku Lema hasikiki yupo wapi haswa
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waliocheka, Walionuna na Waliolia baada superpower kubadili muelekeo.

    Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani. Kwa matokeo haya ya Trump kushinda 1.Democrats wamelia kilio cha maombolezo, ushindi uliokuwa ukitegemewa umeyuyuka, wameshindwa kwa kishindo. 2.NATO na Umoja wa Ulaya...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

    Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Samia Suluhu Hassan unapaswa kuchunguzwa kwa undani, siyo tu kwa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Muelekeo wa ajira na maendeleo ya teknolojia kwa miaka 10 ijayo

    MWELEKEO WA AJIRA NA MAENDELEO YA TEKNOLOJIA MIAKA 10 IJAYO. Kwa miaka takribani 10 Sasa tangu mnamo mwaka 2014 katika awamu ya mwisho ya Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete matumizi ya mitandao na TEHAMA kwa ujumla yamekuwa chachu katika kuongeza pato la taifa, naiona Tanzania yenye vijana wenye...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tuangalie muelekeo wa dunia kwa miaka mitano ijayo

    Mimi sio muumini wa nyota wala uchawi napenda kuona zaidi ya kusikia. Mwaka 1914 dunia ilipigwa vita kubwa ya kwanza yenye ufadhili wa familia au kikundi fulani miaka mitano baadae dunia ikapewa dude linaitwa versail peace treaty na hatimae league of nation miaka ya baadae ikazuka vita ya pili...
  16. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kwa wenyeji wa Morogoro, naomba muelekeo wa eneo linaitwa Kihonda Mkundi, Makunganya

    Habari wanajf, Kwa wale wenyeji wa Morogoro mjini tu, mwezi ujao natarajia kufiko Morogoro ila sehemu ninayoenda ni Kihonda Mkundi na Makunganya. Naomba msaada nikifika MOROGO mjini na Basi nitaenda uelekeo gani? Naomba kuwasilisha.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Taifa limepoteza muelekeo, binti aliyepotea anasakwa na vyombo vya usalama vya nchi mzima huku Dp world wakipigiwa debe kwa nguvu

    Kwa hiyo siku hizi vyombo vya usalama ndani ya kata, wilaya na mkoa haviwezi kufanya majukumu yao? Kwa ishu ndogo kama kupotea mwanafunzi Msukuma amegeuka kuwa mpiga debe wa Dp world Watu wanasahah mambo ya msingi kama kujadili bajeti. Alafu tunaambiwa Mwigulu ni waziri bora hajawahi kutokea.
  18. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Hakika Rais Samia amenifurahisha sana kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China

    Kwa kuiondoa nchi kwenye muelekeo wa uchumi na China, hakika katika hili Rais Samia anastahili pongezi na binafsi nampongeza sana. Wakati wote nilikua nina wasiwasi pale nilipoona kiongozi anaweka mafungamano ya kiuchumi na kijamii na Wachina, Wahindi na Waturuki. Hawa pamoja na mafanikio...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba za ibada zimegeuza muelekeo

    Sikuhizi makanisa yamegeuza muelekeo, hakuna tena maendeleo ya kiroho bali maendeleo ya Parkia, Usharika au kanisa na mahekalu. Mahubiri yamejikita katika michango ya mara ujenzi, ununuzi wa vifaa, kumchangia kiongozi, michango ya lazima kila siku. Nauliza zile sadaka za ujenzi, fungu la kumi...
  20. Interest

    JamiiForums Tanzania Muelekeo Mpya? Zuhura Yunus ameanza utaratibu wa kufanya 'Press Briefing' Ikulu..

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU, Zuhura Yunus, leo ameita waandishi wa habari kuwapatia taarifa mbalimbali kuhusiana na ziara za Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan za nje ya nchi za hivi karibuni na tija zake. Tukio linarushwa MUBASHARA na waandishi kutoka vyombo vikubwa na vya kati...
Back
Top Bottom