miradi ya maendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa atoa wito kwa wananchi kuitunza miradi ya maendeleo

    KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA ATOA WITO KWA WANANCHI KUITUNZA MIRADI YA MAENDELEO Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka 2026, Ndg. Wazo Michael Mwang'onda, ametoa wito kwa wananchi wa Iramba kuitunza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali. Wito huo umetolewa tarehe 24...
  2. H

    JamiiForums Tanzania MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO

    MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baba Levo Awataka Mawaziri Kuwajibika kwa Miradi ya Maendeleo

    Kigoma, Julai 20, 2026 – Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema hataogopa kuwahoji na kuwashinikiza mawaziri kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa manufaa ya wananchi wa Kigoma. Akizungumza mbele ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Subira Mgalu akagua miradi ya maendeleo Kerege, atoa maelekezo ya kutatua kero za wananchi

    MBUNGE SUBIRA MGALU AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO KEREGE, ATOA MAELEKEZO YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. CPA Subira Khamis Mgalu, amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo na kufanya mikutano ya hadhara katika Kata ya Kerege, akisisitiza kuharakishwa kwa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania NI ZAMU YA KEREGE: Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    NI ZAMU YA KEREGE Ziara ya Kutembelea Miradi ya Maendeleo ▪️CPA. Subira Khamis Mgalu Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo 🕰️03:00 - 09:00 Alasiri 📆 Jumat
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo

    Ratiba ya Ziara ya Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo Kata ya Kerege Kutembelea Miradi ya Maendeleo.
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwigulu aagiza Kurejeshwa Sh500 Milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo Manyoni

    Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba ameamuru kurejeshwa mara moja kwa zaidi ya Sh500 milioni zilizobainika kuhamishwa kutoka akaunti mbalimbali za miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni, mkoani Singida. Akizungumza katika ziara yake waliyani Manyoni Jumamosi, leo Mei 30, 2026...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ametembelea Miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Wizara yake na taasisi zilizo chini ya Wizara jijini Arusha. Miradi hiyo ni pamoja na ujenzi wa Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mount Kilimanjaro...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi. Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump awaambia New York hawatapata miradi ya maendeleo kutoka serikali kuu wakimchagua Mamdani wa Democrats kuwa meya

    Trump ni jiwe mtupu. Mkomunisti wa Jiji la New York anayejitangaza mwenyewe, Zohran Mamdani, ambaye anagombea nafasi ya Meya, atathibitika kuwa moja ya mambo bora zaidi kuwahi kutokea kwa Chama chetu Kikuu cha Republican. Atapata matatizo na Washington kuliko Meya yeyote katika historia ya Jiji...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ninachojua CCM tayari wana ushindi hizo pesa wangezipeleka kwenye miradi ya maendeleo maana tume ni yao na hawana ushindani

    Naona misuluru ya magari tena wanaendesha kwa kasi maeneo mbalimbali kwa kigezo cha kampeni ya kutafuta kura nachojiuliza hawa watu wanashindana na nani ? Kwanini pesa hizo wasizipeleke kwenye miradi ya maendeleo. Kila mtu anajua mwaka huu hakuna uchaguzi isipokuwa kuna kiini macho cha...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Zainabu Telack: Kasimamieni kwa weledi miradi ya maendeleo

    RC ZAINABU TELACK: KASIMAMIENI KWA WELEDI MIRADI YA MAENDELEO Na, Hilarry Shuma OR-TAMISEMI Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Zainabu Telack, amewahimiza Maafisa tarafa na watendaji wa kata nchini kuhakikisha wanasimamia miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwenye maeneo yao Akifunga Mafunzo kwa...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania GE2025 Trilioni 11.4 zatekelezwa kwa miradi ya maendeleo Kigoma, shilingi bilioni 731.5 zatumika kwenye ujenzi wa barabara

    Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mkoa wa Kigoma umepokea jumla ya shilingi trilioni 11.4 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 731.5 zimetumika kwenye ujenzi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi wa Buchosa washuhudia Makala ya miradi ya Maendeleo iliyotekelezwa na Mbunge wao Eric Shigongo

    Mamia ya wananchi wa Kata za Nyakaliro na Irenza walijitokeza kwa wingiJulai 3, 2025, kushuhudia makala za utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Jimbo la Buchosa, chini ya uongozi wa Mbunge wao Eric Shigongo Zoezi hilo limeendelea kufanyika katika kata hizo ambapo wananchi waliwasilishiwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Aongeza Fedha za miradi ya maendeleo kutoka Trilioni 5.91 Mwaka 2015 Hadi Kufikia Trilioni 15.4 Mwaka 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiona vyaelea Ujue Vimeundwa ,ukiona miradi ya maendeleo inachipua na kumalizika kwa uharaka ,ufanisi na kwa kupendeza ujue juu yake kuna mikono ya Rais Samia ,ukiona Bwawa la Mwalimu Nyerere lililoachwa likiwa 34% limekamilika kwa uharaka na kwa ubora wa 100% ujue ya...
  16. The Watchman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mbunge afunguliwa kesi kisa kutumia jina lake na picha katika mabango ya miradi inayofadhiliwa na fedha za umma

    Wakili mmoja wa jiji amempeleka mahakamani Mbunge wa Kajiado Kaskazini, Onesmus Ngogoyo, akimtuhumu kwa kuvunja sheria kwa kuweka jina lake na picha kwenye miradi inayofadhiliwa na fedha za umma. Wakili Shadrack Wambui anasema uamuzi huo ni kinyume na maadili na unakiuka Sheria ya Uongozi na...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM wakitumia kodi za Wananchi kwa starehe zao na wizi, Miradi ya Maji Kanda ya Ziwa yafadhiliwa na Wajerumani na EU kwa zaid ya Tril. 4

    Wakati CCM wakitumia kodi za Wananchi kwa faida zao na starehe zao ikiwemo kuziiba ili kujitengenezea utajiri wa kutisha, kuhonga wasanii, kuhonga wananchi wahudhurie mikutano yao tena kwa kuwabeba kwenye maroli kama ng'ombe, Miradi ya Maji inayozinduliwa Kanda ya Ziwa kwa mikoa ya Mwanza...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Spika, Zungu aaga Bungeni, ataka Wabunge kuheshimu Wananchi na kutumia Kazi za Rais Samia kama Silaha ya Uchaguzi

    Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu yatakayowarejesha katika Bunge la 13. Zungu amewatakia heri Wabunge wote kuelekea kuhitimishwa kwa Bunge la 12...
  19. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Geita: Kamati mbalimbali zaundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Huku Serikali ikiwa inaendelea na juhudi za kuhakikisha huduma za kijamii zinawafikia wananchi haswa maeneo ya vijijini, kamati mbali mbali ambazo zimeundwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo, hususani kwenye nyanja za Elimu na Afya, zimetakiwa kuhakikisha zinafuatilia hatua kwa hatua...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunapata miradi kutokana na kuwepo kwa Hali nzuri ya usalama, utulivu na Sera bora

    Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera nzuri za Kiuchumi, Usimamizi dhabiti wa Miradi' mbalimbali ya maendeleo na kujituma kwa Watanzania...
Back
Top Bottom