maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Tanzania itaishia kua ndoto tu

    Habari ya hasubuhi Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona kama hazishabihani.Ushauri wangu ili tupate maendeleo ni ufuatao 1.Viongozi tunaowachagua tusichague...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tunapoilaumu CCM tukumbuke na haya!

    Katika mijadala ya kisiasa hapa kwetu, mara nyingi lawama zote hupelekwa moja kwa moja kwa chama tawala, CCM. Wengi husema chama hiki ndicho chanzo cha matatizo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii. Lakini kabla ya kufikia hitimisho hilo, ni muhimu kujiuliza: kwa nini tumefika hapa tulipo? Je...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama wanahudumia Watu kwa pozi, tunazungushwa tangu Januari 2026

    Kero yangu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Mtama kuchelewesha kupitisha vikundi kwenye mfumo wa Wezesha Portal, nimeomba kusajili kikundi tangu mwezi Januari 27, 2026 hadi leo kikundi akijapitishwa na kupatiwa na namba ya usajili ili tufungue account. Nimemfata Kiongozi wa Maendeleo ya...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania HOJA Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini

    Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao, unawawezesha vijiji vyote. Kwa nini mada hii ina nguvu: 1. Wao ndio daraja kati ya serikali na wananchi...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  6. MaweSaba

    JamiiForums Tanzania Miji Mingi Inacheleweshwa Maendeleo Na "Assets/Mali Za CCM"

    Mko poa wasoma uzi? Niende kwenye mada, baada ya uanzishwaji wa vyama vingi CCM ilichukua mali zilizokua na Umma na kuweka kwenye milki ya chama. Viwanja vya mpira kama Kirumba, Mwanza, Jamuhuri Dodoma, frame za biashara, stand za mabasi, nyumba na viwanja vingi vilivyokua mali ya umma...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Ujamaa bado ni msingi wa maendeleo ya Nchi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini. Akizungumza na wanachama wa CCM mjini Moshi, leo Juni 6 2026, Wasira alisema alikana madai kuwa mfumo huo umepitwa na wakati. "Wale...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  9. gonya

    JamiiForums Tanzania Data Science: Nguzo mpya ya maendeleo ya kiuchumi Tanzania na Duniani

    Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya kijamii, au hata kutazama video mtandaoni, unazalisha data. Data hii, ikiwa itachambuliwa vizuri, inaweza...
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Nimeondoka Kijijini kwetu (Wilayani) 2014 nimerudi 2026, ila vijana wapo vilevile hakuna Maendeleo

    Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao? Au nihame nikatafute mbali?
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Jamii ya binandamu kusaidiwa kufikiri na akili mnemba(AI) siyo tu ni suala la maendeleo na teknolojia ila ni janga jingine kubwa la kibinadamu

    Maendeleo ya sayansi na teknolojia ni hatua muhimu sana kwa ustawi wa binadamu na ni njia rahisi ya kufikia malengo endelevu ya kidunia "'sustainable development goals" lakini lipo swali la kujiuliza nyuma ya yote hayo. Sayansi na teknolojia imechangia urahisishaji wa maisha ya binadamu kuliko...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa yanayohimiza elimu yameleta maendeleo kwenye jamii, Makanisa yanayofaidisha matapeli ni janga kwenye jamii, hatuna budi kumuiga Kagame

    Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi. hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k. Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
  14. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kipimo cha maendeleo Tanzania kianzie awamu ya Nne?

    "Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka 1961. Hata hivyo, kiuhalisia, maendeleo hayaji kwenye ombwe. Ili kutoa hukumu ya haki na ya...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Mdau wa Maendeleo ataka umri wa mkopo uongezwe hadi miaka 40 ili wengi wanufaike

    Mjadala kuhusu mikopo ya vijana inayotolewa na Wizara ya Maendeleo ya Vijana umeendelea kushika kasi, huku wadau wakitoa maoni yanayolenga kuboresha ufanisi na upatikanaji wa fursa hizo. Moja ya hoja kuu ni mapitio ya vigezo vinavyotumika kuwafikia wanufaika. Akizungumzia mjadala huo, Vian...
  19. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Msikilize kwa makini David Kafulila akifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV

    https://youtube.com/live/luCqPlMzdcU?feature=share Sikiliza hii David Kafulila na wenzake wakifafanua jinsi Taifa litakavyokusanya trlioni 477 za Maendeleo kwenye FYDP-IV (2026|27-2030|31)
Back
Top Bottom