maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. sba

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dira ya maendeleo ya taifa ndani ya miaka 20 ijayo

    Kama taifa ili kukua kiuchumi yafuatayo yanaweza saidia kulifikisha taifa sehemu nzuri ya kimaendeleo 1.kuweka Dira ya pamoja kama taifa ambayo itaonesha mipango mikakati ya mda mrefu na mda mfupi kama taifa ni wapi tunapaswa kufika na vitu gani tunataka kuwa navyo 2.kuwekeza nguvu kwa vijana...
  2. Eddy the broker

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utawala bora, chanzo cha Tanzania tuitakayo kwa miaka 10 ijayo

    TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake(madini ya kipekee kama Tanzanite, Dhahabu, Almasi), vivutio vya utalii kama vile...
  3. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Rushwa ni adui wa haki kwa Mtanzania mpenda maendeleo

    Rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania yeyote yule mwenye uzalendo na kuipenda nchi yake Kwa moyo wake wote. Rushwa inaweza kuzibitiwa Kwa njia mbali Kwa kila mtanzania mpenda maendeleo ndani ya nchi yake. Tukisema rushwa ni adui wa haki Kwa mtanzania hatukosei hata kidogo walio wahi kutana na...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Soka kwa maendeleo ya Taifa: Nionavyo tanzania kwa miaka 15 ijayo

    Michezo ni matukio au vitendo vinavyohusisha matumizi ya viungo vya mwili kwa lengo la kujenga afya na pia ni ajira. Kwa mantiki hii iwapo nchi ikiweza kwenye michezo kuanzia sasa ni dhairi naiona Tanzania ya miaka 15 yenye mafanikio makubwa. Michezo ambayo hupendwa sana duniani ni pamoja na...
  5. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mada: Je, Ni Wakati wa Mabadiliko ya Uongozi kwa Maendeleo ya Tanzania?

    Tanzania imeongozwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa zaidi ya miaka 40. Ingawa chama hiki kimeleta maendeleo kadhaa, kuna changamoto zinazozidi kujitokeza zinazohitaji mabadiliko ya uongozi. Swali linabaki: Je, ni wakati muafaka kwa vyama vingine kupewa nafasi ili kuleta mabadiliko ya maendeleo...
  6. Cunning

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mpango wa Utekelezaji wa Taifa (MUT) uwe mbadala wa matumizi ya Ilani ya Chama cha siasa kama Muongozo wa utekelezaji wa Shughuli za Maendeleo

    Kwa miongo kadhaa tangu tumepata uhuru maendeleo ya Taifa letu yamekuwa yakitegemea ilani ya chama kinachotawa na maono ya kiongozi aliyepo madarakani. Hata hivyo muda mwingine utekelezaji wa baadhi ya miradi ulikuwa ukitegemea huruma ya viongozi waliopo madarakani, hali iliyopelekea baadhi ya...
  7. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya Ujenzi na Ukuzi wa Uchumi wa Tanzania katika maendeleo endelevu

    Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu 1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
  8. Massawe John

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mawazo thabiti ya namna ya kuyafikia maendeleo nchini Tanzania

    Uwazi na uwajibikaji thabiti katika uongozi; ikiwa taifa litatunga sera,sheria na miongozo ambayo itakwenda kuzilazimisha tawala/watawala kua wawazi katika utendaji na utekelezaji wa shughuli za kiserikali hii itaenda kupunguza au kuondoa kabisa ubadhirifu wa rasilimali za taifa na kodi za...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kuepuka au kukomesha athari za Ukoloni Mamboleo (Neo-colonialism) katika kuhamasisha kuleta maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    Ukoloni mamboleo ni mfumo wa kidunia ambapo nchi zilizostawi zinadhibiti na kunyonya rasilimali za nchi zinazoendelea kwa njia zisizo za moja kwa moja, ikiwemo kupitia mikataba ya kiuchumi, msaada wa kifedha, na ushawishi wa kisiasa na kitamaduni. Tanzania, kama nchi nyingine za Afrika...
  10. nasri713

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kuhimiza maendeleo maeneo ya vijijini

    Serikali kwa kiasi kikubwa imewekeza maeneo ya mjini na kutoweka nguvu kubwa maeneo ya vijijini kwa mfano asilimia 95% ya viwanda vipo mjini hivyo basi nimatumaini yangu kuwa miaka ijayo wawekezaji wataenda maeneo ya vijijini na kuwekeza katika sekta ya viwanda ili kupunguza tatizo la...
  11. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu

    "Tanzania Tuitakayo: Uwajibikaji Bora wa Viongozi kwa Maendeleo Endelevu" Utangulizi Tanzania, kama nchi inayoelekea katika siku zijazo, inahitaji uwajibikaji bora kutoka kwa viongozi wake ili kuwezesha maendeleo endelevu katika kipindi cha miaka 5 hadi 10 ijayo. Uwajibikaji huu wa viongozi...
  12. kijana wa wahovyo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safari ya maendeleo ni miundombinu bora

    Utangulizi Tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi na fursa kubwa za maendeleo. Hata hivyo, ili kufikia uwezo wake kamili, ni muhimu kuwa na miundombinu bora na endelevu. Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Tanzania inaweza kutekeleza maono ya kibunifu katika sekta ya miundombinu ambayo...
  13. Last_Born

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo ya Kiuchumi: Kuweka Misingi ya Tanzania ya Kesho

    Tanzania itasonga mbele kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo na ndoto kubwa ya kufikia maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi wake. Moja ya nguzo muhimu katika safari hii ni maendeleo ya kiuchumi. Kwa kufanya hivyo, nchi inatakiwa kulenga katika kuunda mazingira wezeshi kwa ukuaji wa viwanda, kilimo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Marejesho ya Mazingira na Maendeleo Endelevu

    Tanzania, nchi iliyobarikiwa kuwa na mifumo mbalimbali ya ikolojia na maliasili nyingi, inakabiliwa na changamoto kubwa za kimazingira. Ukataji miti, unaochochewa na mahitaji ya kuni kama nishati na kwa ajili ya upanuzi wa kilimo, ni suala kubwa. Dira hii inaangazia mbinu mbalimbali za...
  15. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ibadili mfumo wa siasa ili kuchochea maendeleo

    Nadhani ili taifa liweze kuendelea na kupambana na matatizo ya kiuchumi nilazima mfumo wa utawala ubadilike. Kwanza idadi ya vyama vya siasa ipungue Pili iundwee selikali ya kitaifa ambayo vyama vyote vitakuwa na nafasi serikalini. Hii italeta ushindani na uwajibikaji wenye tija zaidi. Tatu...
  16. nkotany hamenyimana

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Ndoto ya taifa lenye maendeleo endelevu

    1. Usawa: Usawa ni kipengele muhimu katika kujenga taifa lenye mshikamano na maendeleo ya kudumu. Tanzania inahitaji kuzingatia usawa katika nyanja mbalimbali Kijinsia: Lengo ni kuhakikisha kuwa wanawake na wanaume wanapata fursa sawa katika kila nyanja ya maisha. Hii inajumuisha upatikanaji wa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  18. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Kwanza la Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Ushiriki wa Wananchi katika Kuunda Dira ya Taifa

    Habarini Wanajamvi, Leo, tunashuhudia tukio la muhimu la Kongamano La Kwanza La Kitaifa kuhusu maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, likiendelea hivi sasa. Ni fursa adhimu kwa kila Mtanzania kushiriki katika kujenga mustakabali wa Taifa letu. Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Safari ya kuifikia miundo ya mitaala na maendeleo kwa jamii endelevu ya Tanzania ili sayari yetu, watu wasasa na wajao, kwa leo hata keshokutwa

    Katika falsafa ya kibudha, lengo la elimu linafunganishwa kwa karibu na lengo pana la maisha ya mwanadamu, ambao ni kupatikana kwa mwanga au ukombozi kutoka katika mateso na kukomaa kiakili kitabia, na utashi wa kuitumia hekima kwa mtu binafsi. Kulingana na Ubudha, sababu kuu za mateso na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye aliyekuambia kuwa wanaoshinda Mitandaoni 24/7 hawachangii katika kuiletea nchi Maendeleo kama uliyoyaona huko Korea ni nani?

    Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi? === Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
Back
Top Bottom