madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Pesa X: Kampuni ya ukopeshaji mitandaoni inayolimbikizia watu madeni ya kubumba

    Pesa x wamekuwa wanabambikia watu madeni hovyo hovyo huku wakitishia kuwatangaza waliotishiwa mitandaoni waziri wa fedha aziangalie hizi kampuni ni sumu kwenye uchumi wa nchi
  2. Ukiambiwa uache biashara uliyonoyo hadi na madeni utapoteza kiasi gani?

    kwa hiyo kazi yako unayoifanya ukaambiwa kesho uachane nayo na kila kitu ni kiasi gani cha pesa chaweza kuwa nje kwenye madeni? mm haivuki laki mbili.
  3. Mbunge Amina Mzee atoa wito kwa Taasisi za Serikali kuilipa TBA na TEMESA madeni Ili Mashirika yaweze kujiendesha

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo. "Nampongeza Mheshimiwa Rais...
  4. Mwanasheria Mbobezi kwenye kesi za Madeni ya Pesa/Wizi Wa Pesa

    Nahitaji mwanasheria/wakili Mbobezi Ambae atanisaidia kuendesha mashtaka yangu mahakamani. Kesi ni Ya WIZI ila wizi ambao ndugu wanataka ugeuza uwe madai tumalize nnje ya mahakama ila hawafiki dau ninalotaka la pesa zilizoibwa. Nadhani acha iende mahakamani ili tu iwe itakavyokua. Muda wangu...
  5. K

    TANZIA Askofu Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala ajinyonga kisa madeni, mgogoro

    Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu. --- ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Methodist Tanzania, Joseph Bundala (55), amekutwa amejinyonga kwa kamba ndani ya ofisi yake iliyoko kwenye kanisani hilo, Mtaa wa Meriwa, jijini hapa...
  6. Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  7. Tujitahidi kurudisha madeni ya watu kwa wakati

    Kuna wakati unakosa hela kabsa na hauna namna ya kufanya ila kukopa hela kutoka kwa wadau mbali mbali ndio linaweza kuwa suluhisho kwa wakati. Sasa imezuka tabia ya baadhi ya raia wa nchi hii pendwa kuomba mikopo kwa wadau mbalimbali halafu baada ya hapo anaingia mitini bila kurudisha hela ya...
  8. Makonda aanza kukamata wakusanya madeni (auctioneers) wanaotumwa na mabenki

    Bila Benki Kuu na Wizara ya Fedha kuongilia kati, naona mgomo mkubwa unanukia Arusha au Nchi Nzima kutoka kwa mawakala wa mabenki na taasisi za fedha wanaokusanya madeni mara baada ya Makonda kuanza kuwakamata baada ya kutimiza majukumu yao. Hii itakuwa na athari kubwa kiuchumi kwa kuwa fedha...
  9. Benki ya I & M yawapiga mkwara mzito wadeni wake, kusambaza picha na madeni yao kama wakopeshaji mtandaoni

    Labda wameona wakopeshaji mtandaoni wamefanikiwa kwenye 'mkakati' wao wa kudai madeni. Binadamu huwa hatupendi kudhalilishwa hivyo na benki ya I & M wameamua kutumia mkakati huo huo kwa kuwatangaza wote wenye madeni sugu. Hivi sheria inaruhusu kuanika taarifa za mtu binafsi kwa umma ama hawa...
  10. R

    Waliobarikiwa hukopesha, kamwe hawanuki madeni, tubadili mtizamo

    Salaam, Shalom. Kuna Msanii mmoja Jina silijui, ameimba wimbo usemao, " Sisi ndio wale waliobarikiwaaa na na Mungu." Nakubaliana naye 100%. ( Kumbukumbu 15:6) "Kwani BWANA, Mungu wako atakubarikia, kama alivyokuahidi,nawe UTAKOPESHA, mataifa mengi, lakini hutakopa, tena utayatawala mataifa...
  11. Hizi ndio Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika

    Nchi zinazoongoza kuwa na madeni makubwa Afrika (2024) 1. Egypt 🇪🇬 ($370.5 billion) 2. South Africa 🇿🇦 ($278.1 billion) 3. Algeria 🇩🇿 ($123.3 billion) 5. Morocco 🇲🇦 ($107.7 billion) 6. Sudan 🇸🇩 ($94.9 billion) 7. Kenya 🇰🇪 ($84.2 billion) 8. Nigeria 🇳🇬 ($73.9 billion) 9. Angola 🇦🇴 ($64.7...
  12. P

    Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  13. Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida. Muda wote huna...
  14. Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  15. S

    Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  16. Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  17. Canada Yaishtaki Precision Air Mahakama Kuu ya Uingereza Juu ya Madeni ambayo hayajalipwa

    Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege. Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
  18. Bunge lashtuka Madeni ya Wakandarasi na Fidia za Makazi kuzidi Tsh. Trilioni 6.37

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema hadi kufikia Desemba mwaka jana, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ulikuwa unadaiwa jumla ya Sh6.37 trilioni na watu mbalimbali za fidia na malipo ya makandarasi na wahandisi washauri wa ndani na nje ya nchi. Kwa mujibu wa kamati hiyo...
  19. Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  20. Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…