The Supreme Court (Filipino: Kataas-taasang Hukuman; colloquially referred to as the Korte Suprema) is the highest court in the Philippines. The Supreme Court was established by the Second Philippine Commission on June 11, 1901 through the enactment of its Act No. 136, an Act which abolished the Real Audiencia de Manila, the predecessor of the Supreme Court.The Supreme Court Complex, which was formerly a part of the University of the Philippines Manila campus, occupies the corner of Padre Faura Street and Taft Avenue in Manila, with the main building directly in front of the Philippine General Hospital.
Nawasalimu wote. Habari ya wakati huu?!. Moja kwa moja kwenye mada.
Ujinga sio tusi, bali ni hali anayoweza kuwa nayo mtu yeyote, wakati wowote.
Ukiambiwa wewe ni mjinga usilaumu kua umetukanwa bali jitafakari.
Mohamed Dewji (Mo) aliwahi kusema "unaweza kua mjinga kwa kufikiri ujinga."...
Katika video hii fupi, Yesu anatoa ushauri kwa team kataa ndoa kwa kuwaambia, "Kataeni dhambi, si lazima mkatae ndoa"
Angalizo: Sura zinazoonekana katika video ni matokeo ya Sanaa na siyo uwakilishi halisi wa wahusika.
https://m.youtube.com/watch?v=MfpPNr5Vujw&pp=ygUMWWVzdSBBbmFqaWJ1
Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a better wife, with children.
No money, no accolades, no fame can ever buy it.
Chekini real men wa...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
Kiu ya Maisha
Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji".
Maji yenye Sumu
Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina...
Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga.
Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu.
Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa
Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo.
Ndoa...
Katika kizazi tulichopo ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Kwanza original deal of marriage ilikua ni mwanamke bikira na mtiifu kwa mabadilishano ya lifetime protection na provision kutoka kwa mwanaume. Wanawake wa leo sio bikira, sio watiifu. Kwahiyo tuelewane hapa wanawake ndio...
Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako.
Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
Kwangu Mimi kuandamana siyo jambo kubwa na la hatari kuliko watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana.
Sielewi ni kwa nini wakati watu wanatekwa na kuuawa hakukuwa na harakati kama hizi za Sasa kulaani utekaji na uuaji.
Ina maana jamii yetu inaona ni sawa watu kutekwa na kuuawa lakini si...
Polepole alituachia wimbo huu kabla ya kunyakuliwa na kupelekwa pasipofahamika.
Aliandika 👇👇👇
Nimelazimika kuingia studio na kuzalisha wimbo huu.
Nina "udediketi" wimbo huu kwa mwana CCM mwenzangu aliyetumia vyombo vyote vya habari jana. Ujumbe huu uende kwake na kwa kundi lote haram la CCM...
Let's set feelings aside and go with the facts.
Mtu anakwambia anaoa ili apate mtu wa kumsaidia majukumu hii ni hoja ya kiwaki ambayo inajibiwa kwa swali moja tu wote ambao wapo kwenye ndoa wanasaidiwa majukumu?
Mwingine anasema anaoa ili apunguze uzinzi huu ni unafiki wa kiwango cha juu watu...
“Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.”
Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
Kijiweni hapa Nyasaka!
Jana nilitoa mada kuhusu vijana kutokufanya maamuzi magumu ya kuwa na familia (ndoa) na kutulia na mwanamke.
Wengi wao waliona heri atafute watoto tu ila sio kukaa na mwanamke sababu wengi hawaeleweki nini wanataka.
Nilipowauliza swali vijana waliooa walisema ingekuwepo...
Kama utabiri utatolewa alafu usitimie huo utabiri bila taarifa za uhakika kutoka kwa Mungu, utakuwa utabiri wa uongo.
Kama kile kimeandikwa kwenye biblia kisiwe kama kilivyosemwa, tutakuwa hatuna haja kuendelea kujivunia neno la Mungu.
Tunajivunia neno la Mungu(biblia) kwa sababu ilituambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.