wito

Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.

View More On Wikipedia.org
  1. Deus J. Kahangwa

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
  2. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

    Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai. Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wito kwa Wizara ya Afya kuchunguza ongezeko la Maabara za Vipimo za Binadamu nchini hususani Vijijini na miji midogo

    Ninaomba kutumia jukwaa hili kutoa wito kwa Wizara ya Afya na mamlaka husika kuchunguza ongezeko la maabara za vipimo vya binadamu nchini, hususan vijijini na katika miji midogo, na kuhakikisha zinazingatia viwango vya ubora na usalama wa huduma. Pamoja na kuwepo kwa mifumo ya usajili na...
  4. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi akikataa wito wa Mahakama, mtamfanya nini?

    Inadaiwa Mkuu wa JWTZ CDF Mkunda, hajapendezwa na kuitwa kwake Mahakamani. Wote tunajua Jeshi letu lilivyo na kashifa miaka nenda rudi. Kwanza tutamuuliza kama anaumizwa na ufisaidi. Na kama alimfuatilia Luteni Jenerali Abdulrahman Mgonja Shimbo. Je, kama kweli akikataa wito wa mahakama Kuu...
  5. O

    JamiiForums Kenya Miaka 12 Akiitwa ‘Father Sandro’, Sasa Ameoa Baringo: Wito Unaweza Kuisha?

    Kwa miaka mingi wakazi wa Baringo walimfahamu kama Father Sandro. Leo, Sandro Ferretto, 55, raia wa Italia na aliyekuwa padre wa Kanisa Katoliki, ameanza ukurasa mwingine wa maisha akiwa mume. Ferretto amefunga ndoa ya kimila na Sharon Jepng’ok, mwanamke wa jamii ya Tugen, kupitia sherehe ya...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

    Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo wakati...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni wito: Simulizi ya kusisimua

    Katika miaka ya mapema ya 1930, elimu katika baadhi ya maeneo ya Louisiana ilipatikana kwa njia ya maji. Kwa sababu barabara zilikuwa mbovu au hazikuwepo kabisa, watoto wa wavuvi, wakata miti, na wawandaji hawakuweza kufika kwa urahisi katika shule za kawaida. Shule zinazoelea, zilizojengwa...
  9. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Wito: Tuweke tafiti za kilimo za Tanzania kidigitali ili zitumike na watafiti, wakulima, Serikali na teknolojia kama AI

    Makala ifuatayo bado ipo katika hatua za uandishi, nitakuja kurekebisha na kuboresha. Nimeitumia AI kunisaidi uandishi hivyo Kuna makosa kadhaa ========================== Tanzania ina hazina ya maarifa Iliyofichwa—Kwa nini tusiifungue? Tanzania imefanya tafiti nyingi za kilimo kwa miaka mingi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  11. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Kimila wa ki-Maasai atoa wito wa kuwepo uwiano endelevu kati ya binadamu, mifugo na wanyamapori Ngorongoro

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia ya UNESCO kilihitimishwa katika Kituo cha Maonesho cha BEXCO jijini Busan, Jamhuri ya Korea, Julai 29, 2026. Mkutano huo wa kihistoria wa siku 10 uliidhinisha jumla ya maamuzi 28 kuhusu maeneo mbalimbali ya urithi wa dunia, huku maeneo mapya 25...
  12. I

    JamiiForums Tanzania KERO Wajasiriamali wadogo wa manispaa ya Musoma tunatoa wito serikali kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa siku

    Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200 hadi Shilingi 500 kwa wafanyabiashara wadogo kama wauza mboga za majani, karanga, mandazi na biashara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa mufti mkuu wa Tanzania: wito wa uwazi kuhusu sakata la kuondoshwa Sheikh Walid

    KBARUA YA WAZI KWA MUFTI MKUU WA TANZANIA: WITO WA UWAZI KUHUSU SAKATA LA KUONDOSHWA SHEIKH WALID Kwa: Mufti Mkuu wa Tanzania Yah: Ombi la kuweka wazi sababu za kuondoshwa Sheikh Walid ili haki na ukweli ujulikane Assalaamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakaatuh, Kwa heshima na taadhima...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Usikatae wito wa Baraza la Ardhi

    Kuitwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya si adhabu, bali ni fursa ya kusikilizwa na haki kutendeka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  16. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

    Maxence Melo Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote. Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Siasa kwa wengine ni Biashara, wengine ni Wito, wengine ni fursa ya kujipatia umaarufu

    Hamjambo! Mimi sijambo Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba. Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi. Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania HOJA WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA

    WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupanua fursa za elimu ya juu. Serikali imeendelea kuongeza uwekezaji kupitia mikopo ya wanafunzi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira za Watanzania katika Mradi wa EACOP ziangaliwe kwa karibu na Serikali

    Mradi wa EACOP ulianza mwaka 2021 na sasa mwaka 2026 unakaribia kufikia mwisho. Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu utekelezaji wa mpango wa uhamishaji wa ujuzi na urithishaji wa nafasi (succession plan), hususan kwa wafanyakazi wa Kitanzania. Kwa zaidi ya miaka minne, Watanzania wamefanya...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

    Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza? Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu...
Back
Top Bottom