afya ya akili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munari

    Muuguzi aliyesomea Afya ya Akili (Mental Health Nurse/Nurse Psychiatry) anaomba kazi

    Habari ndg... Kama utasikia au unahitaji mtaalamu kama huyu usisite kumtafuta Ana uzoefu wa kutoa huduma ya afya akili kama Asante Karibu
  2. C

    Ukiwa mkweli kabisa kutoka moyoni, How are you? Unaendeleje na hali?

    Wana MMU, Wengi tukisalimiana unaambiwa good moorning, unajibu tu kukamilisha salamu. Unaulizwa unaendeaje na hali unajibu fasta tu salama wakati ukweli ni kwamba unakaribia ku give up, maisha yako yameshikiliwa na ki uzi chembamba tu kiasi kwamba upepo ukipiga kidogo tu umekwenda. Wengine...
  3. TTCC_TECNO

    Afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio

    Katika ulimwengu wa vijana hasa wa vyuoni, afya ya akili mara nyingi hupuuzwa, licha ya umuhimu wake katika mafanikio ya kitaaluma, ukuaji binafsi, na hali ya maisha kwa ujumla. Makala hii inachunguza changamoto za afya ya akili miongoni mwa vijana na inatoa mikakati ya vitendo vya kukuza na...
  4. mwanamwana

    Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Sunday, mkazi wa Kitongoji cha Misungwi Kata ya Usagara wilayani Misungwi mkoani Mwanza, anadaiwa kubaka kuku hadi kufa. Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtuhumiwa alimkamata kuku huyo ambaye alikuwa anataga kisha kumuingiza ndani ya nyumba yake...
  5. Eli Cohen

    Uzi maalum: Msaada kwa wenye changamoto za Afya ya Akili

    Recently tumeona nyuzi humu watu wakionesha dali dali za kukata tamaa na wengine wakionesha nia za kutaka kujiua. Kumekuwa na wapumbavu wachache wamekuwa wakiwakejeli kirahisi rahisi bila ya kujua au kupotezea tu kuwa hawa watu wanapitia hali ngumu kisaikolojia. Tusaidiane, depression...
  6. Bushmamy

    Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

    Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani. Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa...
  7. BigTall

    Huduma ya Saikolojia ipatikane kwenye Bima ya NHIF, kuna watu wengi wana changamoto ya Afya ya Akili

    Hivi karibuni kumekuwa na hoja kadhaa kuhusu vifurushi vya Huduma za Bima ya NHIF, kuna mengi yanazungumzwa lakini leo nataka kushea moja ambalo limenikuta na inawezekana likawa na madhara makubwa katika jamii japokuwa Watu wengi hawalitazami kwa jicho hilo. Katika vifurushi ambavyo vinalipiwa...
  8. P

    Sehemu anapopata chakula mtoto wako akiwa shuleni pana hali gani?

    Wakuu kwema? Shuleni ni sehemu ambako watoto (walioanza kwenda shule) wanatumia muda mwingi kuliko nyumbani. Mbali na masomo, chakula ni kitu muhimu pia ambacho kina nafasi kubwa katika ukuaji wa mtoto. Sasa je, unajua sehemu anapopata chakula mtoto wako ina hali gani? Kuna shule ukiona...
  9. BARD AI

    Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  10. BARD AI

    Utafiti: Walimu wanaosaidiwa katika masuala ya Afya ya Akili wanafaulisha zaidi Wanafunzi

    #AFYA: Utafiti wa mwaka 2023 uliofanywa na Kituo cha Taifa cha Takwimu za Elimu (NCES) cha nchini Marekani, umeonesha 87% ya Walimu wa Shule za Umma walikabiliwa na Msongo wa Mawazo, Kuelemewa na Kazi Ningi na Mtazamo Hasi juu ya Kada ya Ualimu. Hata hivyo, utafiti umebaini Shule zenye Utaratibu...
  11. S

    Kiongozi wa kundi la dini aliyekamatwa afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla

    Nairobi, Kenya. Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
  12. matunduizi

    Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Asilimia kubwa ya watu duniani ni wagonjwa kiakili kwa kujua au kutokujua. Bahati mbaya watu hawa ambao wengi ni Maprofessionals, Maprof, Wasanii, wachungaji feki (gospelpreneurs), Wanasiasa na wafanya maamuzi ya dunia ndio wanaoaminiwa sana na watu. Hii imepelekea mlipuko mkubwa wa janga la...
  13. PharaohMtakatifu

    Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

    MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA "Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa Hata hivyo mama...
  14. kavulata

    Kuvaa jezi yenye mabango mawili yaleyale ni dalili ya afya ya akili kwa mvaaji.

    Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii. Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
  15. M

    Kiukweli hiki wanachoita eti ni tatizo la afya ya akili hakipo. Ni dhana tu au failure of thinking deeply

    Siku hizi Kuna dhana imeibuka karibu kila Kona eti tatizo la afya ya akili. Ki ukweli hakipo kwa sababu zofuatazo. 1. Mtua amemaliza chuo kikuu na alikuwa na malengo mengi ya maisha kama kupata kazi ya uhakika lakini miaka nenda Rudi kazi inakoseka. Sasa huyu mtu akianza kuchanganyikiwa na...
  16. Miss Zomboko

    Siku ya Afya ya Akili Duniani

    Siku ya Afya ya Akili Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 10 Oktoba. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa kuhusu masuala ya afya ya akili, kupunguza unyanyapaa, na kusaidia kutoa msaada kwa watu wenye matatizo ya afya ya akili. Inasisitiza umuhimu wa kujali afya ya akili kama sehemu muhimu...
  17. BigTall

    Kipi kiliwahi kukutokea ukajikuta unaanza kuongea peke yako?

    Jana nimekutana na mwamba mmoja kavaa fresh tu na ukimtazamaunajua huyu anaelekea katika ofisi flani yenye hadhi au labda ni mtu mwenye mishe zake za kuelewekwa, lakini ajabu nikaona anaongea peke yake. Awali wakati namkaribua sikutilia shaka sana hilo niliamini labda kuna kitu kaaa sikioni, si...
  18. BARD AI

    Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
  19. Tanzanite klm

    Afya ya akili, mwili na roho

    Afya ya akili-Usomaji wa vitabu Afya ya mwili-Lishe bora na mazoezi Afya ya roho-soma kitabu chako cha imani, maombi, dua na kushiriki na ibada. SIMPLIFIED. Kuongezea iko tafauti ya ubongo na akili. Ubongo upo ndani ya mwili. Akili ipo ndani ya nafsi. Let me simplify it. Mtu anaundwa na vitu...
  20. Mwizukulu mgikuru

    Uguma wa maisha chanzo cha wanawake kulilia shida siku ya kwanza ya mahusiano

    Vijana wengi hasa wakiume wamekuwa wakilalamika hasa suala ya kumtongoza mwanamke na siku hiyohiyo kijana anaanza kuliliwa matatizo. Mimi mwenyewe nimekuwa ni muhanga, yaani ile tu kumuambia mwanamke unahitaji kuwa katika mahusiano basi kitakachofuata ni kuliliwa shida na matatizo. Moja ya...
Back
Top Bottom