kufilisika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Masokotz

    Fahamu kuhusu Kufilisika na Umaskini/Ufukara

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa. Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu aliyefilisika au kwa lugha ya mtaani Kufulia na Mtu Maskini/Fukara.Lengo la kuleta mjadala huu ni ili...
  2. Kanjwinjwi

    Marekani yaelekea kufilisika kisa Vita ya Ukraine

    Haya wadau, White House warns it is running out of money to help Ukraine fight its war with Russia The White House has warned that the US is running out of time and money to help Ukraine fight its war with Russia. The White House budget director, Shalanda Young, issued the warning in a letter to...
  3. MamaSamia2025

    Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

    Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya...
  4. R

    Dawa ya Umaskini, madeni, ukata, mifuko kutoboka, uhitaji, kufilisika hii hapa!

    INTRODUCTON. Leo naongea na wote wenye uhitaji wa pesa, Kila mpango wako kupata pesa umekwama, Naongea na wote wenye ukata wa pesa, walioajiriwa na Wana mishahara lakini wanadaiwa Kila Kona, mshahara hautoshi. Naongea na wenye biashara ndogo na za kati ambao wanafanya juhudi zote kujitoa...
  5. X_INTELLIGENCE

    Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

    Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo. Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
  6. D

    UWATA wamesambaratisha familia yetu

    Mnamo mwaka 2013 baba yangu alikutana na mchungaji mmoja huko Moshi na baba yangu akamueleza kiu yake ya kuwa karibu na Mungu kwani ujana wake hakuwa mtu wa kwenda kanisani. Mchungaji(jina limenitoka lakini ningemtaja) akamueleza habari za uwata na kwamba angemkutanisha na kiongozi wa dhehebu...
  7. A

    Naelekea kufilisika tena

    Habari wana jamvi JF Toka nimeanza kujitegemea nimekuwa na vipindi maisha yananyooka. Yani kila unalofanya jah analibless . Ukitupa wavu sokoni kazima uvune pesa za kutosha. Sasa huwa naenda weeee kisha badae hela zile zinarudi zilikotoka yaani biashara inakuwa ngumu, ni kutumia tuuu na wakati...
  8. Mwanga Lutila

    Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda. Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana. Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao...
  9. DaudiAiko

    Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  10. OMOYOGWANE

    Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

    Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa zinatoka kama vile njugu, mara ohoo nikasuke, mara nimeichoka hii Tecno nataka samsung, mara...
  11. Masokotz

    Kampuni inakufaje? Insolvency and Bankruptcy

    Habari, Leo natka nilete mada ndogo ndani ya mada ndogo Katika media tumewahi kukutana na maneno Insolvent na Bankruptcy. Pia kama ni mfanya biashara umewahi kusikia pia neno KUFILISIKA au KUFILISIWA au KUFILISI. Umewahi pia kusikia mali za kampuni zikipigwa mnada au kampuni kuwekwa chini ya...
  12. mzee wa kasumba

    Filisika tujue tabia ya mkeo

    Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa kasumba wiki kadhaa zilizopita alifukuzwa kazini kama mbwa na kuanza kutangatanga na njia, jambo ambalo...
  13. S

    Nimeanza kulewa kwasababu nimemchoka mume wangu tangu alipofilisika

    Hata kulala naye kitanda kimoja tu, achilia mbali mambo ya kuchakatana, najisikia kama niko gerezani. Inanibidi nipige ulabu ili nimudu kulala hapo kitandani. Appetite ya kuwa naye imekata kabisaaa. Nikimcheki alivyopauka, midevu imechachamaa utadhani yule mchezaji wa Simba ambaye huwa akifunga...
Back
Top Bottom