madeni

Del Morad (Persian: دلمراد(مادني)‎, also Romanized as Del Morād; also known as Mādenī) is a village in Kahnuk Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 19, in 4 families.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Wanaosema Rais Samia amekopa sana kuliko Awamu zote za nyuma waeleze pia mikopo hiyo inatokana na madeni ya nyuma

    Tarehe 30 Machi 2024, Waziri Mwigulu akiwa katika Mashindano ya 7 ya kuhifadhi Qur'aan Tukufu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Waziri wa Viwanda na Biashara Ashatu Kijaji katika Viwanja vya Shule ya Msingi Lembo-Masawi, amerusha kijembe kwa wanaosema Rais Samia amekopa sana ndani...
  2. Dr. Said

    JamiiForums Tanzania Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni. Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno. Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya vitu vyenye tija katika maisha yako kama kuendesha biashara yenye kukuingizia faida. Muda wote huna...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa dola nchini: Je, haiwezekani sababu ni kupungua kwa fedha za wafadhili kama sio matumizi ya dola katika kulipa madeni ya nje ya nchi?

    Japo mimi sio mtaalamu wa mambo ya kifedha, lakini napata wasiwasi kuwa sababu ya upungufu wa dola hapa nchini inaweza kusababishwa na ama kupungua kwa fedha za wahisani kama sio matumizi ya dola katika kuhudumia deni la taifa sababu ambazo zinaweza kuwa ni ngumu kuziweka hadharani iwapo kweli...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kumuuliza Mpenzi wako kabla hamjafikia hatua ya kuoana

    Kabla ya Kuoa au Kuolewa, Wataalamu wa Uhusiano wanashauri Wenza wajadili na kukubalianana kuhusu hali, tabia, matarajio na mambo mengine muhimu ikiwemo. Ulipaji Bili zetu utakuwaje? Mtindo wa Malezi ya Watoto utakuwaje? Una madeni yoyote na yanalipwaje? Afya ya Akili yako ikoje? (wote mpime...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Canada Yaishtaki Precision Air Mahakama Kuu ya Uingereza Juu ya Madeni ambayo hayajalipwa

    Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege. Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lashtuka Madeni ya Wakandarasi na Fidia za Makazi kuzidi Tsh. Trilioni 6.37

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imesema hadi kufikia Desemba mwaka jana, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) ulikuwa unadaiwa jumla ya Sh6.37 trilioni na watu mbalimbali za fidia na malipo ya makandarasi na wahandisi washauri wa ndani na nje ya nchi. Kwa mujibu wa kamati hiyo...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Zigo la madeni ni balaa

    Hivi ndivyo vyombo vya habari vilivyoripoti , hatujui kama huko ndio kuupiga mwingi au la !
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

    Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa. Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi, hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Askofu Benson Bagonza: Askofu Malasusa anapokea uongozi wa KKKT kutoka kwa Dk Shoo huku kanisa likigubikwa na madeni yanayotokana na ubadhirifu

    Askofu Malasusa anakamata usukani wa kuongoza KKKT tarehe 21/1/2024. Askofu Benson Bagonza ameeleza kwamba kanisa hilo linegubikwa na madeni ya kutisha yanayotokana na ubadhirifu uliokithiri wakati wa uongozi wa Dk. Shoo. Bagonza ameeleza kwamba Kanisa hilo limekosa uhalali wa kukemea...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Samia umepigaje hapo? IMF yaitaja Tanzania ni nchi ambayo haina madeni makubwa duniani

    Hakika nchi iko mikono salama.
  13. Engager

    JamiiForums Tanzania Wanawake walio ungua mkorogo (cream) uwa hawalipi madeni.

    Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania IMF: Tanzania ni kati ya Nchi zenye madeni madogo kulinganisha na Pato la Taifa (GDP)

    Kwa mujibu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), #Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 zenye Madeni Madogo yakilinganishwa kwa Asilimia ya Pato la Taifa (GDP). Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo licha ya kuwa na matukio ya ukosefu wa Usalama katika baadhi ya maeneo ya Nchi yanayosababishwa na...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita. Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi. ======= IMF relieves EA’s indebted...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  17. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Nchi Maskini zinazoongoza kwa mikopo kutoka China

  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe hivi sasa Wanaotudai Waafrika hawakamati tena Ndege zetu, bali wanakamata Viongozi hadi Madeni yalipwe?

    Na ili Kutuzuga zaidi Waafrika anatafutwa Mtu kisha anazusha Jambo fulani la taharuki hasa la Ugonjwa au Kifo ili Waafrika tuweke huko Akili zetu na tusijue kuwa kutokana na nchi za Afrika kudaiwa mno na Wazungu Wanaotudai sasa hata Viongozi wetu Waandamizi nao wakienda Ulaya Wanakamatwa mpaka...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Soma hapa ujue jinsi ya kujinasua kwenye mtego wa madeni ulionasa

    Wakuu kwa sasa hali ilivyo ni kuwa watu wengi sana wamenasa kwenye mtego mbaya wa madeni na kujinasua imekuwa mtihani. Iwe mtu alikopa kwa sababu yoyote ile ni kwamba muda wa kudaiwa hakuna anayeonewa huruma. Aliyeomba mkopo wa biashara ikabuma anapata taabu sawa na aliyekopa mkopo akauhonga...
Back
Top Bottom