kujiendesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii Dunia imejaa madeni kila kona haiwezi kujiendesha kwa Kodi na Mikoo tena | Tegemeo la Dunia kwa sasa ni Ubia (PPP) - Kafulila

    KAFULILA: DUNIA IMEJAA MADENI UBIA NDIO SULUHISHO Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, David Kafulila, akizungumza katika mhadhara wa umma Chuo Kikuu cha Sokoine (SUA), alisema kuwa ajenda ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi siyo ya Tanzania pekee, bali ni mwenendo wa dunia kwa sasa...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Gari zinazotumia umeme kujiendesha si rafiki kwa nchi za afrika.

    Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa. Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu. kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k. Kwa uvumilivu wa betri...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tuambie nikwa vipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni au Utegemezi

    Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi 1. Idadi ya watu milion 67+ 2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65) 3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili Ongezea hoja hizu...
  4. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Eilat Nchini Israel Kufungwa Mpema Jumapili Hii Kwa Kujiendesha Kwa Hasara Kutokana Na Mashambulizi ya Houthi Huko Bahari Nyekundu

    Baada ya Kujiendesha kwa hasara kwa miaka kadhaa, bandari hiyo iko mbioni kufungwa mapema Jumapili hii ambapo chanzo kimesema shughuli za hapo zimeshuka kwa zaidi ya 90% , huku ikidaiwa kujiendesha kwa hasara kwa deni lisiloisha, kukosekana kwa mapato, kuongezeka kwa gharama za uendeshaji...
  5. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ajitafutia kiti ofisini na kujiendesha baada ya kustaafu

    GTs, Hakika ukiyasikia ya miaka hii ya utumishi wa umma na kustaafu utashangaa hivi kwanini watu wanang’ang’ania ofisini baada ya muda wa utumishi kuisha? Kuna mtumishi mmoja hapa Dar alistaafu kwenye taasisi moja ya umma, akaongezewa mkataba kwa mfululizo miaka miwili, mwaka wa tatu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Yaitaka TRC Kuweka Mikakati ya Kuhudumia Mizigo Ili Iweze Kujiendesha

    Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Serikali kwa kukamilisha vipande viwili vya vya mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kuanza kutoa huduma. Akizungumza jijini Dar es Salaam tarehe 14 Novemba 2024 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mzee atoa wito kwa Taasisi za Serikali kuilipa TBA na TEMESA madeni Ili Mashirika yaweze kujiendesha

    Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee akichangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kulipa madeni wanayodaiwa na Mashirika ya TBA na TEMESA ili kupunguza changamoto za ukosefu wa fedha kwa Mashirika hayo. "Nampongeza Mheshimiwa Rais...
  9. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania China wazindua meli kubwa inayotumia umeme kujiendesha

    Kampuni ya COSCO Shipping, ambayo ni mali ya serikali ya China, imeanzisha meli kubwa zaidi inayoitwa Green Water 01. Meli hii kubwa, yenye uzito wa zaidi ya tani 10,000, inafanya kazi kwa kutumia umeme pekee. Ina urefu wa mita 119.8, upana wa mita 23.6, na kina cha mita 9. Inaweza kutembe...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Taasisi yoyote makini haiwezi kujiendesha kidemokrasia

    Duniani Taasisi yoyote ile iliyo makini haiwezi kukubali kuendeshwa kidemokrasia. Taasisi inayotaka kuwa imara haiwezi kuendeshwa kidemokrasia. Ndiyo maana majeshi hayaendeshwi kidemokrasia. Yanaendeshwa kwa uwezo. Katika nchi nyingi majeshi ndiyo huwa taasisi zenye ufanisi zaidi. Angalia...
  11. DaudiAiko

    JamiiForums Tanzania Je, shirika la TANESCO linapata faida inayo iwezesha kujiendesha?

    Wanabodi, Hizi ndiyo gharama halisi za kuunganishiwa umeme kwenye nyumba yako na TANESCO. Je haya yote ni ya kweli? na kama ni ya kweli, je shirika hili linapata faida ya kuiwezesha kujiendesha?
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Kinana aishauri Marine Service Co. LTD kujiendesha kibiashara. Afurahishwa na UNESCO kuiingiza MV Liemba ya Tanzania kwenye orodha ya urithi wa dunia

    KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania TCRA ni kati ya vyombo vya kiserikali vyenye kujiendesha kienyeji sana.

    Ni aibu kuona chombo kikubwa kama hiki ndani ya serikali kikiendeshwa bila weledi na sembuse kisichopenda kuwajibika litokeapo kosa kati ya matawi inayoyasimamia. Mfano hai ni hiki kinachoendelea sasa kwenye mgogoro kati ya watoa huduma na wateja juu ya upandishaji holela wa bei za data...
  14. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania TANCCOOPS LTD watakiwa kujiendesha kibiashara

    Na. Mwandishi wetu, Shinyanga Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Mradi wa Pamoja wa Vyama 14 Vikuu vya Ushirika vya Pamba, (Tanzania Cotton Co- Operatives Joint Enterprise Limited-TANCCOOPS LTD), wamekutana Mkoani Shinyanga huku wajumbe wa Mkutano huo wakitakiwa kuwa na uchungu na chama hicho, ili...
  15. Ndokeji

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF inasababisha Hospitali kushindwa kujiendesha kwa kutolipa madeni. Rais Samia angazia macho huko

    Hospital kubwa kama Muhimbili, Bugando, KCMC, MBEYA, DODOMA Ziko katika Hali mbaya Kwa kutoa Huduma na kushindwa kuwalipa wazabuni Kwa mda wanaoleta vifaa Tiba mahospitalini. Hali hii inapelekea Hospital KUJIENDESHA Kwa mapato ya ndani, Mfuko wa BIMA NHIF umeshindwa kulipa hizi Hospitali...
  16. Thread Starter

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Hivi unakubaliana na kauli kwamba Mwendokasi wanajiendesha kwa hasara?

    Kauli ya kamati ya bunge imeniacha hoi na mshangao sana kwamba eti kampuni ya mwendokasi inajiendesha kwa hasara Hili nalipinga kwa nguvu zote, kwa jinsi wanavyojaza abiria na wateja wake ni wengi hakuna muda unakuta mwendokasi haijajaa sasa hizo kauli za kwamba wanajiendesha kwa hasara...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakopeshe wanachuo pesa za ada, hizo Ada vyuo ndio vinazitegemea kujiendesha

    Kwanza nishukuru Serikali kwa kuongeza mzunguko wa pesa mikoa mbalimbali kwa kuwakopesha wanafunzi pesa za chakula na malazi kwenye vyuo vilivyoko nchi nzima. Pesa hizo wakizipata watazitumia huko wanakoenda kwa kulipia malazi, chakula nk hivyo kuongeza mzunguko wa pesa eneo husika kwa hela...
Back
Top Bottom