mpendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Natafuta mpendwa. Iwe katka mahusiano, urafiki, ujamaa, udugu n.k

    alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
  2. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  3. SYLLOGIST!

    Wananchi wa Chato wajiandaa kumuenzi Rais mpendwa, Hayat Rais John Pombe Magufuli 17/3/2024

    Tizama Video hapa chini👇 https://m.youtube.com/watch?v=qubJ4--yeg0&pp=ygVGdmlkZTogVGF6YW1hIG10b3RvIHdhIGhheWF0aSBtYWd1ZnVsaSBhZnVuZ3VrYSBoYXlhLCBhbXRhamEgcmFpcyBzYW1pYQ%3D%3D
  4. R

    Ni kigezo gani hutumika na viongozi wa kitaifa kutoa pole kwa familia iliyoondokewa na mpendwa wao?

    Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya kijamii anapaswa kuzingatia vigezo gani? Je, anapotumia barua rasmi ya Ikulu kutoa pole utumia...
  5. Manyanza

    Kwako Mpendwa wetu Unique Flower

    Habari yako Miss Unique Flower , nikiwa kama moja ya Wanachama wa JamiiForums nachukua nafasi kukupa ushauri huu hapa jamvini. Soma huu Uzi mara nyingi uwezavyo ili kuleta mabadiriko ya afya ya Akili yako. NB: Wewe ni Mtu wa thamani sana acha kuwababaikia Wanaume , anayekupenda kweli atakufuta...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kwa juhudi zote omba kataa roho ya madeni. Ibilisi kamwaga mapepo ya kushinikiza watu kuwa na madeni yenye uchungu

    Mtu mwenye madeni hawezi kuwa na furaha (amani). Hiyo amani ndio uzima wenyewe. Shetani anafanya juhudi kuwapiga watu na mapepo ya madeni bila wenyewe kujua. Madeni ni maumivu makali. Epuka madeni kwa namna yoyote, omba sana. Ukipigwa na roho hii ya madeni ushamalizwa kiroho. Mungu...
  7. bryan2

    TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

    Natoa kama Rai mashabiki wa Yanga hamna budi kuomba sana kwa ajili ya timu yenu maadui ni wengi mnoo mje na ndani ya uwanja na wanafanya kazi kwa kushirikiana kuhakikisha malengo yenu hayatimii. Adui kwa kwanza mkubwa wa Yanga ni TFF, TFF ipo kwa lengo la kuhakikisha yanga inaharibu lakini kwa...
  8. Poppy Hatonn

    Leo tumemzika mpendwa Edward Magige kijijini Butiama

    Maziko yamekwisha kwa amani tunashukuru. Kwanza tulikuwa Shinyanga tukamwita paroko kufanya ibada. Paroko hakuongea chochote zaidi ya kumgombeza maiti kwa tabia yake ya kutopenda kwenda kanisani alipokuwa hai. Tukaenda Butiama ikafanyika misa, lakini hotuba ya paroko ilikuwa inaonyesha...
  9. Nominee

    Ulijisikiaje pale ulipoambiwa kuwa mpendwa wako hawezi kupona tena.Ugonjwa umeshambulia sana mwili?

    Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam. Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
  10. W

    Kuna namna ya kumuombea dua marehemu Eid hii ya Kuchinja?

    Wandugu nilikuwa nauliza, kuhusu mpendwa wangu ambaye ni marehemu, je, nitaweza mrehemu vipi kupitia hii Eid ya kuchinja? Yeye ni Musilamu na mimi sielewi chochote kuhusu hilo suala, hivyo ninaomba muongozo, kuna mnamna ya kusoma dua kwa kipindi hiki cha Eid ya kuchinja? Je, umuhimu wake ni upi...
  11. Dr Akili

    Wabunge wetu: Kesho huyo mpendwa wetu DP World mpeni tu bandari kavu zetu zote. Hizo bandari maji aachane nazo, tutaziendeleza kwa pesa yetu

    Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika. Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote. Masharti mengine ya mkataba yanaweza baki kama yalivyo isipokuwa pale inaposomeka bandari maji...
  12. Ngungenge

    Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  13. F

    Yupo wapi Rais Mpendwa Samia Suluhu Hassan?

    Sio kawaida kukaa kimya bila kutokea hadharani au kuzungumza Jambo kwetu sisi wananchi wake wapendwa. Huwa anaibuka na Jambo lolote mara moja walau ndani ya siku mbili tunamwona Runingani, mitandani au kumsikia redioni. Mama nimekumiss xaaannahh Mama.
  14. D

    Ni Tanzania tu Rais wa Nchi anaitwa mpendwa naye kuchekelea!

    Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo! Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
  15. Crocodiletooth

    Mjane wa mpendwa wetu, alhamdulilah ana afya nzuri kweli

    Mwenyezi mungu amjalie utulivu na afya iliyo njema.
  16. figganigga

    Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

    Salaam wakuu, Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona...
  17. Wadiz

    Mke ni mhitajiwa na sio mpendwa kwa mumewe

    Niende kwenye mada, kuoa ni hitaji la mwenza na si pendo la mwenza, mwanaume anaoa ili atimize mahitaji yake ya maisha na kuishi hivyo kuoa ni strategia ya kumpata msaidizi wa kusaidiana kufikia malengo hayo Hivyo uendelevu ni pale mke (mhitajiwa) anavyoishi na kuenenda namna mume ama mhitaji...
  18. P

    Nimemuelewa mkurugenzi TCAA hii ni ajali kama zingine japo kuondokewa na mpendwa hakuzoeleki

    Jana mchana nilikuwa namsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Anga Tanzania akielezea juu ya ajali ya ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nikawa nasoma maoni yanayopita pembeni ya kile kioo cha kinakilishi changu. Alionekana kama anapiga siasa zile zile tunazozizoea kuzisikia kutoka kwa watanzania pindi...
  19. Beesmom

    Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  20. Superbug

    Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
Back
Top Bottom