Suzan Peter Kunambi ateuliwa Katibu Mkuu UWT Taifa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,563
5,280
Wadau hamjambo nyote?

=======

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT).

Kamati hiyo imeketi chini ya Makamu Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi, leo Jumapili, Mei 19, 2024 katika kikao chake maalumu, kilichofanyika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Zanzibar na kufanya uteuzi kwa niaba ya halmashauri Kuu ya chama hicho.

20240520_010105.jpg
 
Inahusuana nini sasa na yeye kuwa kiongozi bora?

We hautoi??
Mambo yakiitwa ya Siri lazima yabaki kuwa ya Siri. Kitu ambacho hutaki wengine wakione ni vyema kikabaki kuwa ni Siri. Kitu cha Siri kikijulikana, si Siri tena.

Mtu ambaye hawezi kutunza Siri huitwa hayawani, na mambo ya siri ukiyaweka wazi, unakuwa mpuuzi. Kiongozi anaapa kutunza si Siri za Afisi hata zake pia. Umenipata mwalimu
 
Back
Top Bottom