umoja wa mataifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

    Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
  2. Pascal Mayalla

    Katika Kukuza Lugha Yetu Adhimu ya Kiswahili Kimataifa, Mnaonaje Rais Samia, Atumie Kiswahili, Kulihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa?.

    Wanabodi, Leo nimetembelea kurasa fulani za website ya UN, nikakutana na neno fulani la Kiswahili kwenye moja ya program za UN , neno hii inaonyesha Kiswahili kinazidi ku gain momentum. Neno hilo linatumika kwenye program ya usajili ya UN Niliwahi kuandika Usiyoyajua Kuhusu Samia UN: Kumbe...
  3. ze kokuyo

    Iran yataka Umoja wa mataifa (UN) kulaani shambulizi la Israel nchini Syria

    Iran kupitia balozi wake wa Umoja wa mataifa umeitaka UN kulaani shambulizi lililofanywa na Israel kwa kushambulia ubalozi wake uliopo Syria. Iran imesema Israel ni tishio kubwa mashariki ya kati huku ikiapa kulipa kisasi. Hapo Jana waziri wa ulinzi wa Israel alisema Taifa hilo lipo tayari kwa...
  4. Ritz

    Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi

    Wanaukumbi. Israel imewaua wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wa Poland, Australia, Ireland na Uingereza kimakusudi. Angalia pasipoti zao. Adui wakubwa wa Israeli ni wasema ukweli. Hivi ni vita dhidi ya Hamas wanasema bahati nzuri wanauwana wao kwao ambao wanajiona wana haki ya kuishi tofauti na...
  5. Ritz

    Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya Azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Wanaukumbi. Tazama tu jinsi Wazayuni wanavyolia na kupayuka juu ya azimio la baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Netanyahu amekasirika. Alighairi ujumbe kwa DC kwa sababu Marekani ilijiepusha na azimio la kutaka kusitishwa kwa mapigano. Lakini hajakasirika kiasi kwamba atakataa $3.3B...
  6. The Sheriff

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio la kwanza la kimataifa kuhusu 'Artificial Intelligence' ili kulinda Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Alhamisi 21, 2024 limepitisha kwa pamoja azimio la kwanza la kimataifa kuhusu Akili Mnemba (Artificial Intelligence - AI), likiziomba nchi kulinda haki za binadamu, kulinda data binafsi, na kufuatilia kwa karibu teknolojia hiyo ili kubaini hatari zinazoweza...
  7. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  8. MK254

    Aibu sana: IDF wagundua data center ya HAMAS nchini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa (UNRWA)

    Jamaa waliwekeza data center yenye mitambo mikali chini ya majengo ya shirika la Umoja wa Mataifa ambalo lilibuniwa kwa ajili ya kuwasaidia Wapalestina maskini. Mazombi mnasaidiwa kwenye njaa zenu ilhali hapo hapo kwenye shirika la msaada la kuwapa chakula ndio mnaona mjenge makao makuu ya...
  9. Roving Journalist

    Waziri Makamba ateta na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia. Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
  10. MK254

    Imebainika kuna wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa walihusika kushambulia Israel

    UN iwe makini sana inapoajiri watu wa dini ile maana huwa hawaachi asili ya ugaidi, sasa imebainika humo kunao walikua mstari wa mbele kushambulia, na hii imechangia mataifa ya Magharibi kusitisha misaada...... Canada announces it is immediately suspending funding for the UN agency for...
  11. N

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa v/s Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ni yapi majukumu yao?

    Mwenye kufahamu utendaji kazi na majukumu yao kati ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Nyongeza ndogo, Je! Kura ya Turufu ni inamaana gani?
  12. JanguKamaJangu

    Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
  13. Z

    Vita Kati ya Israel na Hamas ni matokeo ya makosa ya Umoja wa mataifa, Israel, Palestine na warabu

    Mwanadamu hajawahi taka kutumia akili ndiyo maana ya matatizo yanayoikumba Dunia . Vita Kati ya Israel na hamas (Palestina) ni Moja wapo ya matatizo ya kutotaka kutumia akili.nitatoa sababu za kwa nini akili inatakiwa itumike kumaliza vita hii. 1. Umoja wa mataifa ulifanya makosa 1948 wakati...
  14. L

    Malengo ya uwekezaji wa China barani Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa

    Baada ya China kupata maendeleo makubwa ya kiuchumi, nafasi yake ikiwa kama nchi mkopeshaji imeongezeka na kuwa mbele duniani. Malengo ya sera ya uwekezaji wa China kwa nchi za Afrika yanaendana na Malengo ya Maendeleo Endelevu ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2030, na China inaonekana kuwa...
  15. BARD AI

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya Watu 10,000 wameuawa katika eneo la Gaza

    Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres, mashambulizi yanayoendelea #Gaza pia, yamesababisha athari kubwa kwa Watoto ambapo kila baada ya dakika 10 Mtoto mmoja anauawa. Guterres amesema hadi sasa takriban Watoa Huduma 89 wa UN wamepoteza maisha wakati...
  16. benzemah

    Rais Samia afanya Mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa Anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Masuala ya Kibinadamu na Naibu Mratibu wa Huduma za Dharura Bi. Joyce Msuya, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 6 Novemba, 2023.
  17. Mpinzire

    Azimio No. 181 la Umoja wa Mataifa lilitengeneza matokeo ya leo kati Palestina na Israel.

    Baada ya kufatilia kwa utulivu issue ya migogoro isiyoisha kati ga Palestina na Israel, nimejilidhusha pasi na shakha kuwa Umoja wa Maitafa chini ya azimio lake la mwaka 1947 la kuigawa Palestina ya Uingereza na kutoa nchi mbili yaani ya Wayahudi na Waarabu ndiyo ilikuja kutengeneza tatizo zaidi...
  18. Jackal

    Wapalestina Wavunja Ghala Za Umoja Wa Mataifa Huko Gaza Na Kupora Unga!

    Mytake: Wapestina ni wahuni tu kama Wahuni wengine 🤔 ..... https://m.jpost.com/breaking-news/article-770670
  19. Alwaz

    Umoja wa Mataifa wapitisha azimio kutaka vita isitishwe, Israel yapinga na yaongeza mapigo Gaza

    Kwa sauti moja hapo jana baraza kuu la umoja wa mataifa lilipitisha azimia likitaka vita visitishwe kwa muda ili kutoa fursa ya majadiliano na kuwezesha misaada kuingia Gaza. Kinyume chake taifa la Israel limepinga azimio hilo na katika kipindi cha masaa 24 wameongeza mapigo makali kuzidi ukali...
  20. K

    Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
Back
Top Bottom