Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma.
Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo.
Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe.
====
Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI.
Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan
amefanya uteuzi wa Viongozi wafuatao kuwa na Hadhi ya Balozi kama
ifuatavyo:-
1. Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi kuwa Balozi;
2. Dkt. Salim Othman Hamad, Msaidizi wa Rais anayeshughulikia
masuala ya Siasa kuwa...
Ni miaka kadhaa imepita leo katika kupitia nyaraka nyeti nikaona suala lililonishangaza sana
Hivi katibu mkuu wa Chama anaweza pata wapi Pesa zaidi ya 10B Tzsh ?
Je ni kwamba alikuwa anawatunzia watu au ni zake ?
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama Tawala Guam na baadae kuwa Katibu Mkuu kiongozi...
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama Tawala cha African National Congress (ANC) cha #AfrikaKusini, Fikile Mbalula ambaye ametaja sababu kuwa ni kukatika kwa Umeme kunakotishia kuzorotesha Ukuaji wa Uchumi.
Mbalula amsema "Kama baadhi masuala hayatopatiwa suluhu, tutakuwa Nchi...
WAZIRI MASAUNI, KATIBU MKUU MMUYA WAWASILI NCHINI KENYA, KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA ID4AFRICA UTAKAOJADILI IKOLOJIA YA UTAMBULISHO
Na Mwandishi Wetu, MoHA, Nairobi
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara, Kaspar Mmuya pamoja na...
Katibu Mkuu wa CCM amepotea hewani Mara baada ya kusomwa ripoti ya CAG.
Imefika mahali sasa Katibu Mkuu wa CCM amekosa la kusema wala la kuwaambia wananchi.
Anayejua aliko tafadhali!
Sijui anaitwa msonde!? Ambaye ni naibu katibu Mkuu Tamisemi Ameelekeza kistopisha ufundishaji wanafunz wa kidato cha kwanza mwaka huu 2023 sababu kubwa ikiwa ni KKK.
Walimu Wakuu wote nchini wanatakiwa kutekeleza order ya mkubwa huyo.
Najiuliza hivi mauzauza haya yatakoma lini.
Badala ya...
Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza mchakato wa uanzishwaji wa Akaunti ya Dhamana ya Bima (Trust Account).
Mafuru ametoa pongezi hizo wakati...
Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
Habari wana JF,
Naomba nijikite kwenye mada husika. Binafsi nampongeza mheshimiwa Rais kwa kukuteua Profesa Caroline kwa nafasi ya Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu. Ukiwa mtendaji mkuu wa wizara nakuomba sana utizame yafuatayo kwa kina.
1. Mapitio ya sera ya Elimu.
2. Mapitio ya mitaala kwa...
Novemba 2017 Aliyekuwa Katibu Mkuu Chama cha Walimu Tanzania Alhaji Yahya Bakari Kilo Msulwa alifariki dunia. Kwa Mujibu wa Katiba ya CWT toleo la sita 2014, nafasi ya katibu mkuu ilipaswa kujazwa na Baraza la taifa la chama hicho. Julai 2018 katika ukumbi wa LAPF Dodoma, Deus Seif kwa msaada...
Chawa wa Lumumba wako busy kutuhabarisha Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema badala ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM hakika inafurahisha sana.
PIGENI KAZI MACHAWA kwa Taarifa zaidi kwa kila Tukio.
CHADEMA inawapongeza sana kwa hatua hiyo ya Kutangaza ZIARA za Viingozi Wake na kuacha KUTANGAZA...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania....na kazi iendelee. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au hoja yangu kuhusu Wizara ya Elimu na Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) Kwa miaka mingi, nchi yetu imekuwa ikipitia mnyukano mkubwa katika swala la Elimu asa katika...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi wa bili na bei za maji kwa wananchi wilayani Malinyi mkoani Morogoro ili kupata ukweli iwapo wananchi hao wanabambikiwa bili au lah.
Kauli hiyo ameitoa leo...
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa.
Kifupi nimeshangaa Katibu Mkuu wa CCM kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali.
Tufike mahali viongozi wa...
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata...
Diwani Athman atenguliwa ikulu.
=========
Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani Msuya kuwa katibu Mkuu Ikulu
Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Mululi Majula Mahendeka kuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu?
Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa?
Natanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.