Kwanza nimshukuru sana mheshimiwa kwa kupata hii nafasi ya kuposti Leo,
Lakini niwapongeze rafiki zangu walioajiriwa mwaka 2014, mwezi wa Nne tar 1,
Leo hii wametimiza miaka 10!
Lakini cheo walipata mara moja tu!
Yaani kauli mbiu ni miaka 10 daraja moja!
Miaka 10 daraja moja!
Mungu awatie...
Kama tujuavyo kwa sasa mfanyakazi anaweza kukopa online moja kwa moja kupitia ESS bila kwenda bank.
Lakini cha ajabu bado Riba ni kubwa na kuna Bima ya mkopo kubwa. Tukiachana na hayo ya bima na riba bado benki wanakata "Processing Fee" (gharama za mkopo, au ada ya mkopo).
Najiuliza mfanyakazi...
Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..
Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa...
Natamani kujua,
Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara,
Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali..
Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
Wakati wa sikukuu ya IDDI kule Zenji mishahara ilitoka tar 14 ili WAISLAMU wajiandae.
Tuliona mbali tukapiga kelele kuwa serikali isiwe na dini.
Lakini watu wakakaza fuvu.
Haya sasa na sisi WAKRISTO tunaomba mshahara mapema ili tujiandae na Christmas.
Kumbuka hawa wote ndio walikuwa kwenye awamu iliyopita, awamu ambayo ilikua ni laana kumuongezea mtumishi mshahara au kumpandisha daraja.
Kwa miaka 7 waliyokaa ilikua michungu Sana.
Pamoja na nia njema ya mama kwa wafanyakazi lakini naona wazi wazi watu niliowataja hapo juu, nia njema hii ya...
Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa....
Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021!
Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
Kama mpaka leo hatuwezi kuwalipa walimu vizuri, mwalimu akishaajirwa huo huo mshahara wake ndio ale, avae, alipe Kodi ya nyumba, asomeshe watoto n.k. Tumeshindwa angalau hata Kila shule kuwa na nyumba za walimu!
Leo hii hospitali za Wilaya unakuta sometimes hata Panadol hamna, tena usiombe uwe...
Kwa ufupi sana JPM alitamani kuona Wafanyakazi nchi hii wanaishi kama mizuka, mizimu au mazombi.. hakuna ajuae ni kosa Gani haswa aliwahi kufanyiwa na watumishi wa nchi hii, yapo mambo ambayo mama amejitahidi angalau kuyarudisha lakini mengine inabidi mchakato au hata hekima tu, ngoja...
PART 1.
MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU.
MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE?
MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI.
Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?,
mnatuchuliaje WALIMU...
Kama mnavyojua hakuna chama cha hovyo kuwahi kutokea duniani kama hiki chama Cha walimu Tanzania (CWT)
Zaidi ya kuwakata walimu 2% ya mshahara
Kisha kuwaletea tisheti na kofia Kila mwaka hakuna kingine Cha maana kilifanya,
Wakati wa Raisi Magufuli aliibua hoja kuhusu hiki chama ikiwemo kuuliza...
Hii ni taasisi ya Fedha inayojihusisha na mikopo kwa wafanyakazi na wafanyabiashara
Juni 2021 mfanyakazi (sitamtaja) alikopa ths 3,500,000 kwa makato ya Tsh 126,400 kwa mwezi,
Sasa picha limeanza mwaka huu mfanyakaz akataka kuwalipa deni lao (kumbuka ameshakatwa kama miezi 20)
Toka Juni 2021...
Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa!
Sina mengi kwa leo
Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia,
Ama hata kimojawapo
Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu,
Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!"
Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya...
Hii nchi bhana!
Yaani zoezi likazinduliwa kwa mbwembwe na matangazo mengi, tena na Waziri Mkuu wa nchi lakini hadi leo hii hakuna mwalimu amepewa kishkwambi mpaka shule zinafungwa! Hakika hii nchi raha sana.
Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya.
Mwigulu hebu jitafakari
Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma,
Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika!
Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani?
Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie?
Loh
Kwa bahati babu, bibi, baba na mama yangu wote walikuwa ni walimu, na mimi mwenyewe nikafuata nyayo kwa miaka 10 kabla sijakimbia nilichoona kipindi kile cha zamani.
1. Makazi/Nyumba za walimu zilikuwepo, walimu walikaa kwenye maeneo ya shule na hata kama hakukuwa na nyumba basi kijiji au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.