Kwa wafuatiliaji wa Azam tv watakumbuka miaka ya nyuma ilikuwa ni ngumu Azam tv kuipa airtime Christmas kama ambavyo ilikuwa inafanya kwenye sikukuu ya IDDI
Basi wakulungwa walimaindi sana ikiwemo kushusha nyuzi humu kuhusu Azam tv na udini..
Kwa mfano mwaka jana Azam walikuwa wanakwepa makusudi neno "Christmas" na badala yake wakatumia neno sikukuu "Tunawatakia Heri ya sikukuu na mwaka mpya"
Lakini mwaka huu CHRISTMAS imetaradadi huko Azam tv.
Basi burdani kwa wote.