kilindi

Kilindi is one of the ten districts of Tanga Region in Tanzania. It is bordered to the east by the Handeni District and Handeni Town Council, to the north and west by the Kilimanjaro Region and to the south by the Morogoro Region. It split from Handeni District in 2002.

View More On Wikipedia.org
  1. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Kilindi laana ya dua mbaya iwe juu yenu

    Habari za mchana. Malengo ya chama cha walimu ni kuwatetea na kupigania haki za walimu kwa mwajiri.Chama cha walimu Kilindi Tanga hamjali shida za walimu kabisa mnajali kulinda vyeo vyenu laana iwe juu yenu katika kila jambo katika maisha yenu.Ameen. Walimu wanakatwa pesa za likizo bila huruma...
  2. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Walimu 56 wakihama chama cha CWT Kilindi Tanga

    Walimu 56 wakihama chama cha walimu CWT kilindi Tanga.Hatua hiyo wamefikia kutoa notisi ya mwezi mmoja kwa mwajiri. "Mimi nadai pesa za uhamisho mwaka wa 6 huu mbaya zaidi kila wanaposema wanatulipa tunaishia kupewa laki mbili,tatu au nne sisi walimu wa msingi lakini wenzetu wa sekondari...
  3. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya walimu Kilindi Tanga yafika ofisi ya waziri mkuu Kwa mafanikio.Cwt kilindi kuburuzwa katika vyombo vya kisheria

    Habari za muda huu. Kwa mafanikio makubwa katika historia ya maendeleo ya kielimu wilayani kilindi.Mjumbe maalumu alieandaliwa na walimu hao wenye malalamiko ya madai mbalimbali aliwajulisha walimu kuwa kazi aliyotumwa ameifanya kikamilifu huku akiwatumia picha kadhaa za ushahidi wa kufanikisha...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya maji Songe Kilindi

    Makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi ni wiki Sasa hakuna maji, na hakuna maelezo yoyote ya lini maji yatatoka. Kwa sasa ndoo ya maji inauzwa Tsh 1000 mtaani. Sijajua changamoto ni nini lakini waziri wa maji amekuja hapa mara mbili na viongozi wanaahidi kutojirudia kwa hii...
  6. Nguva Jike

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu akiwa Kilindi Tanga

    Hongereni kwa majukumu ya kazi za kila siku. Barua hii kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania imfikie mh Mwigulu Nchemba waziri mkuu wa Tanzania akiwa kilindi Tanga Leo tarehe 13.02.2026. Kwakuwa kumuona mh.ana kwa ana ni ngumu tunaomba asome barua ya walimu wa kilindi Tanga inayohusu pesa...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali kujenga daraja linalounganisha kijiji cha Gegero – Kilindi

    Serikali imethibitisha kuwa inaendelea na hatua za awali kuelekea ujenzi wa daraja la kudumu linalounganisha Kijiji cha Negero katika Wilaya ya Kilindi, mkoani Tanga, ili kuboresha miundombinu na kuchochea shughuli za kiuchumi kwa wananchi wa eneo hilo. Akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Kilindi yawataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwani Rais Samia amemaliza yote

    Mwenyekiti CCM wilayani Kilindi, Rajabu Kumbi amewataka madiwani kuondoa hofu juu ya kurejea nafasi zao kwa maelezo kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa katika kufanikisha miradi ya maendeleo ya wananchi. Kumbi ameyasema hayo leo Aprili 19,2025 alipokuwa akizungumza kwenye...
  9. upupu255

    JamiiForums Tanzania DC Kilindi, Hashim Mgandilwa azindua mfumo wa Centralized GOT-HOMIS kwa Vituo vya Afya vya Serikali

    Mkuu wa wilaya Kilindi Mh Hashim Mgandilwa akiingia katika mfumo wa Centralized GOT-HOMIS ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mfumo huo wa matibabu katika vituo vyote vya huduma za Afya vinavyomilikiwa na serikali. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 17/03/2025 katika kituo Cha Afya Songe na kuhudhuriwa...
  10. GEBA2013

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza migogoro ya ardhi wilaya Kilindi utatuliwe haraka

    Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe. Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi tanzania.kuna migogora ya ardhi 267.wasababhshi wakuu ni viongozi.Kwa hili tunamshukuru rais samia
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi, nimeona nilitoe dukuduku langu humu kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kero tuliyokuwa nayo na huyu...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja bovu Kilindi kijiji cha Kwekivu

    Hili daraja lipo Kilindi, katika kijiji cha Matale na Kwekivu. Daraja hili ni bovu limearibiwa na mvua na mamlaka zipo kimya halijakarabatiwa kabisa na ni adha kwa watumiaji wa njia hii
  14. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Serikali Iko wapi mwalimu ananyanyaswa na kudhalilishwa Wilaya ya Kilindi Tanga?

    PART 1. MABOSI KILINDI WANATHAMINI KIFO KWA MWALIMU. MWALIMU WA WILAYA YA KILINDI ILI AWE NA THAMANI MBELE YA VIONGOZI WA HALMASHAURI AU NI MPAKA AFE. HADI AFE? MPAKA UFE NDIO VIONGOZI WATAKUTHAMINI. Hivi VIONGOZI wa Halmashauri ya wilaya KILINDI mnatuonaje WALIMU?, mnatuchuliaje WALIMU...
  15. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

    IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji. Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai. IGP Sirro ameahidi kupeleka...
  16. lwambof07

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

    Baadhi ya wafanyabiashara wa maembe wamegoma kununua maembe ya wakulima wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga wakidai kuwa ushuru shilingi 300,000/= wanaotozwa na halmashauri ya wilaya hiyo kwa gari moja aina ya Fuso ni mkubwa.
Back
Top Bottom