madaraja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Waleta Maafa Iran, Waanza Kuvunja Madaraja na Miundombinu Mingine. Iran Hali Ni Mbaya Sana

    Marekani wameanza kushambulia Miundombinu ndani ya Iran. Hali ni mbaya sana, Iran imeshindwa kutoa upinzani wowote. Marekani wanajipiga popote wanapotaka bila presha. Kwa muda mrefu Trump alikua akitishia kuvunja Miundombinu, hatimaye ameanza na baadhi tu kama mfano kiwaonyesha Iran kuwa ana...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega atangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja Malinyi na Ulanga

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma za usafiri na kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi. Miradi hiyo inahusisha ujenzi wa barabara ya...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu namna nguzo za madaraja yanayipita baharini zinavyojengwa? Tupate shule kidogo

    Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja. Kwa ujumla, hatua zake ni hizi: Uchunguzi wa eneo Wahandisi hupima kina cha bahari. Huchunguza aina ya udongo au mwamba ulioko chini ya maji. Hupima nguvu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa 2022 hatujapandishwa madaraja, wengine tayari

    Watumishi wa Halmashauri ya Kyela walioajiriwa mwaka 2022 bado hatujapandishwa madaraja, wakati watumishi wa halmashauri nyingine tayari wamefanyiwa utaratibu huo. Tunapofuatilia suala hili hatupati majibu ya kueleweka. Tunaomba msaada ili wahusika watoe ufafanuzi na kuhakikisha haki yetu...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

    Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Watumishi wa Umma waendelea kulalamika kukosa madaraja kutokana na changamoto za mfumo wa PEPMIS

    Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo. Baadhi yetu tulihama vituo vya kazi, lakini taarifa katika mfumo zinaendelea kuonesha vituo vya zamani...
  8. Rocky City

    JamiiForums Tanzania Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

    Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Katika jambo ambalo Mama Samia kafanya na litaacha kumbu kumbu ni kuwapandisha watumishi madara

    Serikali ya awamu ya sita imefanya mambo mengi yapo mabaya na mzuri. Kwa upande wa watumishi Mh rais amejitahidi sana, kuanzia mseleleko mpaka kupanda kawaida , Kwahili Kwa kweli anastahili pongezi. Ushauri wangu kwako achana na washauri maslahi. Ambao always hutoa ushauri unaolinda maslahi...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Watumishi mnaopanda madaraja poleni Kwa kuonewa na mfumo ESS

    Wale ambao hamjapanda madaraja poleni mfumo wa ESS umetumika kuwaumiza hela za kuwapandisha hakuna kwahiyo k8gezo Cha ess kimetumika kama fimbo Kwa wale ambao hamjafikisha asilimia. Source mnyetishaji
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Mwaka 2014 Wadai Haki ya Madaraja Waliyopunjwa

    MHESHIMIWA WAZIRI. Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Mji wa Serikali Mtumba Mtaa wa Utumishi. S.L.P 670. DODOMA, TANZANIA. Yah: MAPUNJO YA DARAJA KWA WALIMU WALIOAJIRIWA MWAKA 2014. Husika na somo tajwa hapo juu. 2. Kwa heshima kubwa, nakuandikia barua hii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpimbwe: Watumishi tulioajiriwa JUNI 2022 hatujapandishwa madaraja wala kulipwa Malimbikizo ya Mishahara

    Watumishi walioajiriwa mwezi Juni 2022 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe tunaomba haki yetu ya msingi itendeke. Pamoja na kutimiza wajibu wetu wa kazi kwa uaminifu, hadi sasa wengi wetu hatujafanyiwa utaratibu wa kupandishwa madaraja kama sheria na taratibu za utumishi wa umma...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga Watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu

    Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga-Tanga , watumishi wanadai malimbikizo ya pesa za Kujikimu, pesa za Kupanda kwa madaraja, pesa za Uhamisho tusaidie...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Iran kuwaambia raia kukaa kwenye vinu vya nishati na madaraja kuzuia mashambulizi ya Amerika ni kiashiria kikubwa vita imeshaisha

    Hamjambo! Iran amedhihirisha hana plan tena yoyote ya maana ya kulinda taifa lake. Yaani adui anakutishia kukushambulia unatoa mkeo na watoto ati wakae mbele ili kumzuia adui asipige. Kwa kweli hii haikutegemewa kabiss. Iran amejitahidi kuonyesha uwezo alionao kupinga dhulma ya Mayahudi na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Watumishi Halmashauri ya Kibondo tuna kero nyingi, tupewe elimu au kuambiwa ukweli kinachoendelea ili tusibaki na chuki rohoni

    Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi? Suala la kuhama kwenye mfumo, tupewe elimu na vigezo vya mtumishi kuhama na kusaidika namna nzuri bila...
  17. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito raia walale kwenye vituo vya Umeme na Madaraja ili kuvilinda

    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinatoa wito kwa umma kuunda ngao za kibinadamu(Human-Shield) kuzunguka vituo vya umeme na miundombinu mingine muhimu ili kuzuia Marekani na Israeli kushambulia maeneo hayo. Hata waislamu wanajua kwamba Amerika na Israeli ni watu wenye utu zaidi kuliko...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuna madaraja ya watu katika dini?

    Kwa nini Kanisani na misikitini viongozi wakubwa na matajiri hupewa umuhimu, kipaumbele au nafasi za mbele zaidi ikiwa kwa mungu watu wote ni sawa? Mfano RC kuna kitu kinaitwa Wakatoliki wa nguvu.Wiki hii Padri Kitima akiwa Bariadi kwenye shughuli ya kusimikwa Askofu aliwaita jukwaani...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga upya walimu kulingana na ngazi za elimu, wenye diploma kufundisha elimu ya msingi

    Serikali imeanza mpango wa kupanga upya walimu kulingana na viwango vyao vya elimu, ambapo walimu wenye stashahada watapangiwa kufundisha katika shule za msingi huku wale wenye shahada wakielekezwa kufundisha ngazi ya sekondari. Hatua hiyo inalenga kuongeza ufanisi katika ufundishaji kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 TARURA yajenga Madaraja 439, yaokoa Bilioni 75

    Wakala ya Barabara za Vijijini na Mjini (TARURA) umesema kuwa tangu kuanzishwa kwake, wamefanikiwa kujenga jumla ya madaraja 439 ya mawe yenye thamani ya bilioni 15, hatua ambayo imewezesha kuokoa kiasi kikubwa cha fedha. ‎ ‎Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na Mhandisi Mshauri wa TARURA...
Back
Top Bottom