azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ile ilikuwa VAR au Azam Tv?!

    Tanzania utani ni mwingi sana. Otherwise mnisaidie kujua, kwenye mechi ya jana pale Amaan Stadium ile ni VAR au Azam Tv. Pembeni niliona wamefunga antena.
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Azam tv naomba kesho mnioneshe takua uwanjani kuishihudia Simba na Yanga Inshaallah

    Wageni karibuni, ndugu zanguni poleni Kwa uchovu wa safari. Najua Kuna watu wametoka MIKOANI na kuunga kuja zenji asee your welcome my fellow tanzanians. Kesho takua nimetupia jezzy ya Brazil njano cheni silver shingoni, na bangle ya silver mkononi, kijana mweusi mwembaba mrefu, jezzy NYUMA...
  3. Panctuality

    JamiiForums Tanzania KERO AZAM TV huduma kwa wateja kwa njia ya simu ni bomu jingine

    Ninawasilisha malalamiko yangu rasmi kuhusu huduma ya Azam TV ambayo nimeilipia lakini sijapata huduma ninayostahili, pamoja na kushindwa kabisa kupata msaada kutoka kwa huduma kwa wateja. 1. NIMELIPIA TSH 28,000 LAKINI HUDUMA SIJAPATA KAMILI Jana nililipa TSh 28,000 kwa ajili ya kifurushi cha...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
  5. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba Yaalikwa AZAM TV

    1. Umuhimu wa Vitabu na Elimu Mohamed Said anasisitiza kuwa maarifa ya kweli yamehifadhiwa katika maandishi: "Elimu yote ipo kwenye vitabu Siwezi kuipata kwingine kokote". "Hakuna kitu kinaweza kuchukua nafasi ya kitabu". 2. Tofauti ya Kitabu na Teknolojia (Tablet) Anabainisha kuwa ingawa...
  7. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hongera Azam TV

    Azam TV mnastahili hongera kwa matangazo yenu,mmemaliza kutangaza kombe la dunia,wakati mkionesha ligi ya basketball,mmeonesha ngumi jiwe,mmeonesha bongo star search,hivi sasa mnaonesha cecafa,ambapo charles onyango,romario abdul jabar na msururu wa ma kamera man na makamera woman from...
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam TV kwa kutuonyeshe mechi zote za World Cup 2026

    Hatuna cha kuwapq Azam Tv, bali tunasema Asanteni sana kwa kutuwezesha kufuatilia mechi zote. Hakika mmewafanya watanzania na wananchi wote wa Afrika Mashariki na kati wanafurahia huduma ya Azam tv. Asanteni sana Azam.
  10. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mdau; amehoji kwanini? Azam tv hawaonyeshi channels za mpira kifurushi cha 7,000 cha wiki

    Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28 yaani ukiwa unanunua kifurushi cha elf 7 kila wiki cha elf mara nne yaani mwezi mzima inakuja elf 28...
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Lugha ya Kiingereza ni ngumu hata kwa Wasomi wetu, Azam TV wameajiri Wakenya na Waganda kwa ajili ya Kombe la Dunia

    AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza. Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote. Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Azam TV inawameza wengine

    Huku Mwanza DSTV NA STARTIMES wamefunga ofisi wamebakisha mawakala tu. Wamemezwa na Azam.
  13. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli filamu ya Ottoman inaoneshwa Azam tv ili kuudhalilisha ukristo?

    Mdau ametufata inbox na kutoa dukuduku lake kama ifuatavyo:- "Tamthilia ya Kituruki Ottoman, ambayo inaoneshwa kupitia Az@m Media, imekuwa gumzo kubwa miongoni mwa watazamaji wengi nchini Tanzania. Licha ya kuvutia kwa hadithi yake ya kihistoria, baadhi ya watu wameanza kuhoji maudhui yake na...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Azam TV kwenye application sio poa

    Mafundi wenu sijui ndio wanafanyia majaribio ya kurekebisha sauti huku. Application mara nyingi imekuwa kama second option kwenu ingali watu tunalipia!?, kwa kuwa customer desk lenu halifikiki kirahisi chukueni ujumbe wenu hapa, tunao subscribe kwenye Application yenu tutendeeni haki the...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Azam TV: Utengenezaji wa Kipindi Cha Historia ya Mwalimu Nyerere Ndani ya Soko la Kariakoo

    https://youtu.be/mDEZOK2SBBM
  16. T

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mnavyozidi kujitangaza msisahau kuongeza/maintain chaneli Bora kuwe na machaguo tofauti

    Mfano sasa ivi kwenye tamthlia/filamu mmeziondoa au kushindwa kuzibakisha chaneli za muvi za Kinaijeria za AMC chanel na AMC series, Wakati wenzenu DStv wanazo mpaka chanel za tamthlia/muvi za Wasauzi,Ghana na Kenya na za Lugha zao za makabila... Hivyo kwenye muvi machaguo ni machache, mteja...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Azam tv acheni udini!king'amuzi chenu mmejaza Channel nyingi za dini moja kwanini

    Tupo hapa kusema ukweli na kukemea kila aina ya upendeleo,ubinafsi na ukiritimba kwenye nchi hii na kama kuna mambo yanaenda ndivyo sivyo lazima yasemwe kuliko kuyakalia kimya kwa hili la king'amuzi tv kujaza channel nyingi za dini upande mmoja linanikera Azam tv mmejaza channel nyingi sana za...
  18. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania TV Director at Azam TV November 2025

    We Are Hiring! TV Director Key Roles Bachelor’s degree in Television Production, Media Studies, Broadcasting, or related field (or equivalent professional experience). 3-7 years of experience directing live television, preferably sports, entertainment, or news. Proficiency in multi-camera...
  19. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania AZAM TV, ubora na gharama zenu haviendani

    azamtvtz mnachotufanyia wateja wenu sio sawa, mumepandisha gharama za vifurushi mara dufu ila ubora wa picha ni ovyo kabisa sio HD kabisa , ukiangalia mpira ovyo kabisa hakuna ubora kabisa ni janja njaja. Pia kwenye mpira kuna tatizo la kamera zenu hazionyeshi matukio kila kona hasa offside...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha Uchafuzi wa jana. Tukawasalimie muda huu

    Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi. Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao. Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
Back
Top Bottom