Mtandao wa simu wa Mixx by Yas, kupitia application yao ya simu, umepata changamoto ya kushindwa kufanya kazi vyema kwa takribani siku nzima.
Hali hii imesababisha mkanganyiko pale unapotaka kuifungua, kwani inaeleza kuwa kuna kifaa kingine kinachotumia account yako, jambo linalozua taharuki...
Kwamba kauli ya no reform no election ndio ilisababisha vurugu sio kweli. Au kauli ya Lissu kuwa tutakinukisha?
Wananchi waliingia barabarani wakipinga ufisadi, utekaji na kukataa
uovu waa CCM mtandao.
Hakuna mahala walitamka kuwa Lissu ndio amaewachochea kwa kauli zake.
Wahusika tatueni hii stimulus (salary advance) haraka Kuna watu wamefyekwa salary yote (jokes)🤣
Kupitia mitandao ya kijamii mbalimbali naona watu... wanasubiri salary advance kama vile wanasubiri mshahara, Tunaomba mabenk fanyieni KAZI suala hili mapema au toeni kauli kwa uwazi ambayo itawapa...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume hiyo imeanza kazi ikiwa na hadidu tano za rejea zitakazoongoza uchunguzi wake na kubainisha upana...
Nyumba hiyo iliyopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension), Plot no 42 Jijini Dodoma imebomolewa Agosti 18, 2026. Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Hati ya Kiwanja imebadilishwa bila ridhaa yetu, TAKUKURU wamebaini ‘mchezo’, aliyepewa hati na Ardhi Dodoma anakuja kutuvunjia...
#HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad.
Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
Wakuu kwema?
Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online.
Tulia trust mikopo wamemtapeli jamaa mmoja muendesha bulldoza hapa Unguja jana. Kalipa laki 3 na...
Mambo wanajamvi?
Imekuwa ikisikika kwamba zinaa inanafasi kubwa ya kupelekea balaa kwa wahusika.Yaani ati unaposhirikiana na mtu kimahusiano inapelekea maroho yaliyo upande wa pili kukuingia wewe.Mfano unaposhirikiana na mtu wawezapata mabalaa au mambo Yako yanaweza yasiende tofauti na kabla...
Nimeguswa sana na kifo cha kikatilli cha mwalimu huyu ambaye alipigania "standards" kuhakikisha kuwa eneo la shule ni eneo kama yalivyo maeneo mengine yanayotambulika kama "smart area"
Mwalimu huyu amedhulumiwa uhai wake na wanaojidai kuwa ni wafugaji wenye fedha na wasioguswa au kuheshimu...
Kero ya Bomba la Maji kuvuja Oleiron Mwanama Reli Arusha tangu March haijafanyiwa kazi.
AUWSA wanapoteza Maji na mapato lakini hakuna anayejali. Barabara imaharibiwa vibaya na Maji hayo,TARURA nao kimya.Uwajibikaji uko wapi siku hizi. Waziri wa Maji na Tamisemi ingilieni kati.
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna.
Pia kama una hela kuazia jero wanakata 300, ila kama una 200 unaingia kwa hiyohiyo
Anonymous
Thread
ifakara
stendi
usafi
vyoo
vyoo vya stendi
wahusika
Ikumbukwe wahitimu wa vyuo vya afya diploma vyeti vyao huwa vinatoka NACTEVET nakupelekwa vyuoni.
Ila cha kushangaza wanafunzi wa vyuo vingine wameishapokea vyeti vyao toka mwezi wa pili mwaka huu ila chuo chetu peekee ndo atuchajpewa kila tukofatilia kwa mkuu wachuo anatwambia vyeti havipo...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na vibali kutoka mamlaka husika.
Kanisa hili limekuwa na ibada zisizo na mpangilio na kuweka music kwa...
Anonymous
Thread
church
kanisa
katika
kero
makazi
makazi ya watu
muziki
sauti
wahusika
Siku zote, historia ya mtu, na anavyotenda siku zote, ndiyo hujenga mazingira ya mtu huyo kuaminika au kudharaulika.
Ni jambo lililo wazi kuwa watu wengi, hasa waliopo Serikalini, hawaaminiki kutokana na kuonekana kuwa wapo kwaajili ya tamaa ya matumbo yao, hata siku moja hawapendi kuwa wakweli...
https://www.youtube.com/watch?v=JoLdIMXPKac
Serikali ya Kijiji cha Namwangwa, Kata ya Hezya Wilayani Mbozi mkoani Songwe ikiongozwa na Mwenyekiti Japhet Mbukwa imeachia madaraka kwa madai ya Mtendaji wa Kata amemkamata na kumshikilia katika ofisi yake kwa madai ya kuwa Mwenyekiti huyo...
Wameanza kujidanganya na wanamdanganya kuwa hili litapita kama mengine yalivyopita, wana buy time ili jamii isahau, wanasema tugange yajayo.
Nawaambia kuwa wasipowajibika wao tutahakikisha watoto wao au wajukuu zao wanaowarithisha uongozi wanawajibika.
Matendo yao yako documented, tutatunza...
Polisi kushikiria mwandambo bila kumpeleka mahakamani wala kumpa dhamana wala kujilikana alipo ni utekaji wa raia wa wazi na hauvumiliki.
Inakuwaje mtu anatekwa kituo cha polisi ?
Kuna vitendo vya polisi kuuwa na kuteka watu sasa hivi wameshindwa kuficha kuwa wao ndio watekaji na waasi dhidi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati
"lazima umma ujue tutakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.