Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
534
1,047
Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa....

Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021!

Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017, 2018, 2019, 2020 iliyopita kwa dhuluma.... Mama anaifidia... Na Sasa mtumishi huyo atapata daraja analostahili kuanzia alipoanza kazi na hapa alipo,

Hongera mama.
 
Kuna sehemu nlikua nimekaa ,nikawasikia waalimu wakilalamika sana kua ajira ya waalimu wa mwaka 2014 hawakupandishwa daraja hadi 2021 wakati walistagili kupandishwa 2019 hivy hadi sasa mwaka 2023 walistahili kupandishwa daraj la pili, Waziri wa utumishi waangalieni hawa watumishi wapate haki yao ,naamini Raisi wetu Dr samia suluhu hasani halijui hili jambo
 
Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa....

Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021!

Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017, 2018, 2019, 2020 iliyopita kwa dhuluma.... Mama anaifidia... Na Sasa mtumishi huyo atapata daraja analostahili kuanzia alipoanza kazi na hapa alipo,

Hongera mama.
Itashangaza sana kama Watumishi hawatakuwa na appreciation Kwa Rais maana sio tuu madaraja Bali mwez July wanaenda kuongezewa salary..

Jamaa yangu ni dereva anansema wakati wa Mwendazake salary yake take home ilikuwa 390*000 Sasa hivi ni 580*000
 
Back
Top Bottom