Search results

  1. CK Allan

    Makosa matano ya Wafilisti kwa Samsoni

    MAKOSA MATANO YA WAFILISTI KWA SAMSONI By CK Allan - Kitabu Cha Rejea ni kutoka WAAMUZI (Biblia) Inasadikika kuwa watu waliouwawa kwa mkono wa Samson kwenye ule ukumbi (uwanja wa michezo) siku Ile Samson anajitoa mhanga, walikuwa ni wengi KULIKO wale waliouwawa wakati wa uhai wake! Kwa Lugha...
  2. CK Allan

    Wanachofanya AZAM TV kwenye mpira ni uhuni na utapeli, wadau amkeni

    Wakuu Azam tv hivi karibuni imeanza uhuni ambao lazima ukemewe! Azam walijinasibu kuonyesha ligi ya ufaransa (Ligue 1) ligi ya ujerumani (bundesliga) ligi kuu ya Tanzania (NBC) na hivi karibuni wakasema na Ligue ya waarabu kwa kina Ronaldo .. Ajabu Leo hii nimeona tena kesho wanaonyesha ligi...
  3. CK Allan

    Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  4. CK Allan

    TUCTA: Nyongeza ya Mshahara itaanza kulipwa Mwezi August

    Barua ndio hii ngoja tusubiri! Ingawa naona dalili za mkutano kuahirishwa au ukiwepo hautakuwa na tija. Tunajua kabisa TUCTA ndio Serikali yenyewe. ====== SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA (TUCTA) TARIFA KWA WAFANYAKAZI KUHUSU AHADI YA NYONGEZA YA MSHAHARA YA KILA MWAKA (ANNUAL...
  5. CK Allan

    Naamini mshahara umeongezwa sema huwezi kuona kwa macho ya kawaida ni mpaka ufafanuzi utolewe

    Siamini kama raisi atamke jambo kwenye mei mosi halafu lisitekelezwe. Kwahiyo naamini kabisa Kuna nyongeza isiyoonekana kwa macho haya ya damu na nyama, kwa hivi nategemea ndugu Gerson Msigwa atakuja na ufafanuzi sooon kuelezea namna nyongeza hii ilivyo, Niwasihi watumishi tuendelee kuchapa...
  6. CK Allan

    Matatizo ya vishikwambi vya walimu

    Kwanza niipongeze serikali kwa kutoa vishikwambi kwa walimu, Kuna ufanisi na urahisi Fulani wa kazi umeongezeka katika shughuli za kujifunza na ufundishaji.. mpaka Sasa nimekutana na zaidi ya vishikwambi 10 vya walimu hususani "PRITOM 10 MAX" Na nimeona matatizo karibu sawa kama ifuatavyo.. 1...
  7. CK Allan

    Ushauri kwa Serikali: Chama cha Walimu Tanzania (CWT) mali zake ziuzwe na zigawanywe kwa walimu kisha chama hiki kifutwe

    CWT hakuna msaada wowote kwa mwalimu zaidi ya kumkata kuanzia shilingi elf 15,000 hadi elf 60,000 kwa mwezi kulingana na daraja lake, kisha hizo pesa zinaliwa na wajanja wachache. Kupitia hizo pesa, chama kimeweza kutengeneza miradi mbalimbali na hadi kufungua bank (MCB) kwa fedha hizi hizi za...
  8. CK Allan

    Ni Tanzania pekee baada ya ligi kwisha kamati inakaa kuchagua mfungaji Bora, kwanini kanuni isiwe wazi mwanzoni mwa msimu?

    Yaani sijui nani katuroga! Basi kama kulikua hakuna hizo kanuni kwanini msikae juzi baada ya mechi ya Simba Maana tayari kulikuwa na dalili ya Saido kulingana na Mayele! Kwanini yaani! Eti ooh, Kamati ndio itakuwa! Kamati my foot! Suala la mfungaji Bora wala halihitaji kamati ni kanuni tu...
  9. CK Allan

    Kama Eng Hersi alidiriki kuvaa jezi ya Kaizer chief kwenye mechi muhimu dhidi ya Simba, Mimi ni nani niitakie heri Yanga? Njoo hapa tuiombee mabaya ke

    siwezi kamwe kuiombea heri Yanga ....hata wakicheza na timu ya mtaani kwetu Mimi nitakuwa upande wa timu pinzani... Hata YANGA VS YANGA , mimi nitakuwa upande wa Vs.. Kesho FT USM Alger 3 young Africans 0 Na Kila mtu aseme ameen
  10. CK Allan

    Hadithi: Mzaha wa damu

    Wakuu! Nimerudi mapema kuliko nilivyotarajia. Hii ni kutokana na sababu kadhaa Mosi, nilifanikiwa kupata device nyingine japo sio yenye vile viwango nilivyotaka lakini inaweza! Pili , watu wengi wameonyesha upendo wa Hali ya juu kwangu! Kwa hivyo, nimekuwa nikipokeaa simu na jumbe nyingi na...
  11. CK Allan

    Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

    Aisee tujihadhari na huu wizi, Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796 Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu, Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana! Basi Mimi Bila kuwaza...
  12. CK Allan

    Kuelekea Mei mosi 2023, nini hatma ya wafanyakazi waliokaa Miaka 9 wakiwa na daraja moja tu?

    Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara! Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine! Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna...
  13. CK Allan

    Hadithi: Mpangaji

    Karibuni Tena katika story hii Kama kawaida ni mwanzo mpaka mwisho hakuna kuishia njiani Kutoka "madam president" na ",kesi ya Mzee Mnyoka" Ssa Leo tunaanza kisa kingine Cha Mpangaji Mtunzi ni Mimi mwenyewe CK Allan (0746 Mia mbili sitini na sita mia mbili sitini na Saba) MPANGAJI 01...
  14. CK Allan

    Hadithi: Kesi ya Mzee Mnyoka

    KESI YA MZEE MNYOKA 01 Mzee Mnyoka alikua na kawaida ya kuchelewa kurudi nyumbani kwake, Mzee Mnyoka hakua mlevi au mchawi lakini tuseme tu hakua na mazoea ya kurudi nyumbani mapema. Siku ya Alhamis Kama ilivyo kawaida yake Mzee Mnyoka alikua akirudi nyumbani kwake majira ya saa 4:45 hivi...
  15. CK Allan

    Ni kweli hakuna mwenye vyote?

    Mwenye nguvu Hana pesa! Mwenye pesa hana nguvu! Mwenye pesa na nguvu Hana muda! Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu Mistari michache tu kwa leo
  16. CK Allan

    Hadithi: Madam President

    Mtunzi ni CK Allan Madam President Juni 1998 Ilikua jioni nzuri kabisa ambapo sehemu mbali mbali za jiji la Tanga Kuna Hali ya baridi na mvua nyepesi zilikua zimeanza, nikiwa na Rafiki yangu Jacob tulikua mwisho kabisa ya mstari kuingia kwenye Basi la shule tayari kwenda Tanga mjini ambapo...
  17. CK Allan

    Je salary slip portal imedukuliwa?

    Kila nikiingia nakutana na huu ujumbe!! Vipi tayar hacker wamefanya Yao ama
  18. CK Allan

    CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  19. CK Allan

    Hili la vishikwambi Serikali inajiletea mtafaruku usio na sababu kwa Walimu

    Tarehe 4/11/2022 Waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na alisema vishikwambi vitolewe Kwa walimu WOTE nchini! Lakini kwasasa Hali ni tofauti Kila halmashauri imekuwa na Utaratibu wake, Wapo wanaotoa Kwa walimu wote na wengine wanatoa Kwa walimu baadhi Tu! Mimi nishauri...
  20. CK Allan

    George Mpole amka la sivyo utapotea

    George Mpole wewe ni kijana uliyevimba kichwa baada ya kuwa mfungaji bora msimu uliopita. Picha lilianza mechi ya kwanza ya ligi shidi ya Simba, wewe ukajificha kwa makusudi eti hautakuwepo kwa maana eti utokee dakika za mwisho kama 'suprise' kwa Simba na bado hukufanya chochote, hata :shot on...
Back
Top Bottom