Kuelekea Mei mosi 2023, nini hatma ya wafanyakazi waliokaa Miaka 9 wakiwa na daraja moja tu?

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Tahadhali naomba kujua ni Nini hatma ya wafanyakazi ambao kutokana na sababu (za awamu iliyopita) walikaa Miaka 9 Bila kupanda daraja achilia mbali nyongeza ya mshahara!

Kwa Mfano wale ambao waliajiriwa Mwaka 2014. Walikuja kupanda daraja mwaka 2021. Imagine!

Je Nini hatma Yao? Je Kuna namna ya kufidia angalau daraja moja? Maana kwa namna yoyote hawa wafanyakazi hawakuwa na kosa lolote mpaka kupata "madhila" hayo.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom