Wakuu ningependa kuelezea kwa kifupi zaidi maana ya neema ya Mungu, kupitia maisha yangu halisi ya soccer.
👉Mimi niliupenda sana mpira wa miguu, lakini mpira wenyewe haukuwahi kunipenda! Ukoo wangu (Upande wa baba na mama) hakuna historia inayoonesha kwamba aliwahi kuwepo mcheza soccer...
Kwa wengi, mpira wa miguu ni burudani. Kwa wengine ni biashara. Kwa wengine ni ajira.
Lakini kwangu, mpira wa miguu umekuwa mwalimu wa maisha.
Kadiri ninavyozidi kuutazama, ndivyo ninavyoona kwamba ndani ya dakika 90 za mchezo kuna masomo ambayo yanaweza kubadili namna tunavyoishi...
Wanawake mnao tazama mechi mbalimbali za mpira wa miguu mnafurahia au mnafuata mkumbo labda kwasababu mpenzi,rafiki,kaka au wazazi wako ni shabiki wa timu fulani.
Kipi au nani akilikuvutia kushabikia timu unayoipenda?
Nina maswali kwa mashabiki wa kombe la dunia na mpira wa miguu kwa ujumla, leo ninaenda kuangalia mpira wa miguu nje ya nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza;
Vitu gani ambavyo sisi tunaokuja kuwapa kampani ila si mashabiki wa mpira mnapenda tusifanye?
Vitu gani tukivifanya mnafurahia?
Leo...
Na kwenye mechi za kombe la dunia tunaona kabisa wamiliki wa jamii hii ya Siri ni watu weupe, angalia timu za watu weupe/wazungu zinavyoshinda mechi zake.
Timu ya Africa hata kama iliongoza kwa goal zaidi ya 2, wakiruhusu tuu goal dakika ya 86 lazima meza ipinduke.
Tazama 👇👇
Magoli yote...
Je, unapenda mpira wa miguu na unatamani kuelewa mchezo zaidi ya matokeo ya mwisho? Kozi ya Uchambuzi wa Mpira wa Miguu ya ChuoSmart imeandaliwa kukufundisha mbinu za kitaalamu za kuchambua mechi, takwimu, mifumo ya timu na utendaji wa wachezaji kwa kutumia mbinu za kisasa za football analysis...
Haya mafundisho mawili yamekuwa magumu sana kuyapokea kupokelewa na waumini waliowengi
1)KATAZO MAPAMBO KWA WANAWAKE NA KUJIREMBA Ikiwemo mavazi ya suruali kwa wanawake(mavazi yampasayo mwanaume kuvaliwa na mwanamke na kinyume chake
2)POMBE/ULEVI,UZINZI,uasherati,NA MICHEZO YA...
Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho
===================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunukiwa Tuzo ya Maalum na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwa kutambua mchango...
Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu.
Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu?
Hongera TFF kwa ubora wa Mpira wa Tanzania. Hongera Azam na Ving'amzi vyennu. Azam uwekezaji wao kwenye mpira wa Tanzania...
Hebu wananzengo tuongezeane uelewa kwenye nyanja ya football:
Je, kuna kifungu kwenye katiba ya FIFA, CAF, CECAFA au TFF kinachokataza chama cha siasa kumiliki timu ya mpira wa miguu?
Je, FIFA inakataza chama cha siasa kusaidia kifedha au usajili timu ya mpira wa miguu?
je, FIFA na TFF katiba...
Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi.
Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
Nikiwa Rais wa Tanzania ntatengeneza mazingira ili mpira wa miguu uwe unachangia kodi ya sh Trillion 1, ntahakikisha mtoto aliyezaliwa uganda, kenya, Rwanda, Dr Congo, Zambia, n.k anakua na ndoto za kuja kucheza ligi ya mpira ya Tanzania, wote tunafahamu culture ya mpira wa miguu Tanzania ni...
Waandamanaji wakicheza mpira wa miguu katikati ya moshi wa gesi ya kutoa machozi katika mitaa ya Nairobi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Juni 25.
Tukio hilo lilitokea katikati ya maandamano ya kitaifa yaliyoongozwa na vijana, hasa kizazi cha Gen Z, waliokusanyika kuadhimisha mwaka mmoja...
WAZIRI KOMBO AKUTANA NA RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU LA KOSOVO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la Kosovo, Bw. Agim Ademi pembezoni mwa Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu...
TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA
Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB
Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
Historia ya Mpira wa Soka (Football)
Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa.
kwa mujibu wa Kitabu cha Historia ya MichezoGoldblatt, David (2006)...
Historia ya Mpira wa Soka (Football)
Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi kubuniwa kwa sheria za kisasa.
1. Asili ya Soka:
Asili ya soka inatokana na michezo ya zamani kutoka...
Miaka ya nyuma nikiwa mdogo,nilikuwa na rafiki yangu mlemavu akitumia baiskeli ya matairi matatu.
Kwa maekezi yake yeye na walemavu wengine waluruhusiwa kuingia mpirani bure kuona mechi yoyote ile.
Je ni kwa nini walemavu wa aina nyingine kama viziwi,mabubu,albino,vipofu nk hawakupewa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.