mpole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Shida ya kuwa mpole maofisini Utapendwa na kila mtu lakini michongo yote inakukwepa

    Dunia ya sasa yenye vita ya uchumi kila kona Ukiwa mpole sana, mstaarabu, huna ugomvi na watu, unaongea kwa sauti ya chini kama padre watu watakupenda sana. Kila mtu atasema huyu jamaa ana roho nzuri hanaga shida na mtu, ana maadili Lakini sasa ukifika muda wa michongo ndiyo utaanza kuona...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Huyu nyoka anaitwa pambe ni mpole sana

    Kabila la wasukuma humuita pambe nimependa kutumia pande kama kichwa cha uzi kinavojieleza Nyoka huyu hana nouma kabisa hua anaaibu sana mara nyingi wasukuma humtumia kwenye michezo yao ngoma za kijadi. Ila ajabu ya nyoka huyu ni kwamba indapo utamchanganya na nyoka wengine basi utakuta wote...
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau unaoa mwanamke ambae unafahamu anawanaume wengine, Tena na wewe umemkuta anamwanaume halafu unataka asichepuke braza kuwa mpole tu

    Wadau Mimi huwa nawashangaa watu humu ndani ambao wanataka wake zao wawe waaminifu na kujifanya wamesahau huyo mwanamke ulivyompata, kama ulimkuta anadanga uwezekano wa huyo mwanamke kutulia ni mdogo sana, wewe une mkuta mwanamke tayari kesha tembea na wanaume zaidi ya kumi kifupi alishazoea...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  5. 100 others

    JamiiForums Tanzania Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saidi Kazumari Mlapanya hili la Mayelle na George Mpole Ulipuyanga

    Huyu mjukuu wa mzee Mlapanya anayependa kujiita Jemedari Said ambaye hataki kabisa kujitambulisha kwa jina la ukoo wake (ukoo wa mzee Mlapanya) aliongoza fitina dhidi ya Mayelle na sasa maji yamejitenga na mafuta. Pole sana, roho imekuuma sana ila ndiyo hivyo tena.
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna walevi kutoka Msimbazi walimfananisha Fiston Kalala Mayele na George Mpole wakaona haitoshi wakamfananisha Saidoo Ntibazonkiza

    Yaani Ligi yetu ni Ajabu sana tena mno, mchezaji Anaweza Kuwa na talanta kubwa Lakini yakatengezwa mazingira ili wambanie tu Haya Fiston Kalala Mayele the Predator anachukua kiatu Cha mfungaji bora huko CAF Huyo Mpole na Babu Saidoo Ntibazonkiza wapo wapi?!!!
  8. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Afande asitukia kamera, awa mpole!

    Hakuna askari polisi anayependa kudukuliwa akiwa kazini.
  9. Shobi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi inaongoza kwa kuwa na wengi Simba Duniani, Kwanini waliweka mnyama mpole kwa Twiga kuwa Nembo

  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  11. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Mpole aliwahi kukataa ofa za Azam, Simba na Yanga, uzeeni atalaumiwa sana na watoto wake

    Mpira mchezo wa ovyo sana, muda wa kushine huwa hauzidi miaka 10 Unaweza kucheza kwa Ujanja ujanja au bahati moaka miaka 15-20 mwishi Kuna wachezaji wakitemwa na Simba au Yanga wanalia, wako radhi wajae benchi lakini akaunti isome Starehe Wanazokula na maendeleo waliyonayo wachezaji wa jizi...
  12. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mpole na mtulivu sana

    Niliwahi kufundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania. Nilikuwa na mwanafunzi mmoja—mpole, mkimya, hana makuu, hanywi pombe, haendi out, ni mtulivu sijapata kuona. Ni Mkristo, lakini huvaa ushungi kila siku, na darasani alikuwa wastani tu. Alimaliza na alipata kazi mji huohuo aliposomea. Baada ya...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda ashangaa George Mpole kuanzia benchi dhidi ya Yanga

    Mchambuzi nguli kabisa wa boli kutoka Clouds FM ameshangaa kwanini mshambuliaji namba 1 wa Pamba kuanzia benchi licha ya kuanza mechi zote za awali. Soma Pia: FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024 Yapi maoni yako?
  14. uhurumoja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mayele yuko Pyramid Mpole yuko Pamba

    Nikikumbuka zile mbio za top scorer kati Yao na kilichopo Sasa basi nakuombea mpole arejee kwenye kile kiwango huku nikijiuliza ni Nini kimetokea Maana hajazeeka na Wala kunenepa yuko vile vile
  15. uhurumoja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania George Mpole kupewa man of the match NBC wamevurunda

    Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
  16. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Naweza kuwa Mwenezi yeyote yule mnyeyekevu au mcheza rafu na mkorofi

    Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani. Akisema yeye anaweza kuwa mwenezi wa aina yoyote yule wanayemtaka, mnyenyekevu au mkorofi.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Sura yangu ya Ukauzu isiwatishe Mimi ni Mtu Mpole, Mkarimu na mwenye Huruma sana

    "Nina Upendo, Huruma, Mpole na Mkarimu sana kuliko vile ambavyo labda Watu wengi wanadhani" amesema RPC Kamanda Muliro Asubuhi hii akizungumza katika Kipindi Bora cha Jumapili cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One ambacho Mimi GENTAMYCINE ni Balozi wake Mkuu na wa Kujiteua Mwenyewe. Kamanda...
  18. Lanlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anakuwa mpole sana mwanzoni, baadae anabadilika na kuwa mkali kama chui

    Kwenye mahusiano, wanaume hujionesha kuwa wapole sana mwanzoni. Baada ya muda hubadilika na kuwa kama chui aliyejeruhiwa. Wanasahau kwamba wanapaswa kuishi na wanawake kwa akili. Na wao (wanaume) ndio hasa chanzo cha mabadiliko chanya au hasi. Wanaume muishi na wanawake kwa akili, msiwe wakali...
  19. Mganguzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  20. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa Christiano Ronaldo akikuzingua tu na ukitaka umnyamazishe kilazima awe mpole muoneshe picha ya Messi!

    Tafuta tu popote pale Picha ya Lionel Cognizant Messi akiwa ameshika Tuzo yake ya Golden Ball na ile ameshika Kombe la Dunia alizoshinda zote leo kisha muonyeshee tena kwa Kumringishia kabisa Christiano Ronaldo utaona atakavyokuwa Mpole na hata Kukuamkia Shikamoo kama ambavyo sasa anamuamkia...
Back
Top Bottom