salary slip

  1. W

    Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

    Acha kabisa aisee! Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa...
  2. CK Allan

    Je salary slip portal imedukuliwa?

    Kila nikiingia nakutana na huu ujumbe!! Vipi tayar hacker wamefanya Yao ama
  3. mr mkiki

    UTV wamehoji Rubani mmoja ametoa picha tofauti kabisa na kudai hakuna muongoza ndege zaidi ya kutegemea yule wa Mwanza.CCM hawana nia njema na raia

    Hii nchi kuna sehemu tulimkosea sana Mungu au Mungu anatuonyesha mwanga lakini watanzania tumelala? Ni njema kwa Mungu ni lazima tuelewe, CCM wamechoka JAMANI. Nitaeleza mambo mawili,moja hii la ndege na la mwisho wastaafu wa TZR na URAFIKI. Inawezekanaje tusimalize hili jambo na kujipanga kwa...
  4. Nyuki Mdogo

    Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

    Basic salary: 940,000 ...... Michango/makato yake Chakuhawata contribution 5000 PSSSF 47,000 PAYE 94,200 Nmb bank loan 42,870,300 (451,266) NHIF fund employees 28,200 ...... NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
  5. S

    Public funds are stolen from million to single digit billion currently

    Of late I discussed with you and therefore whistleblowing in regard to public fund stealing in the organization I am working on currently. Actually, I have been trying to share in piecemeal which in a way did not become effective. The story started way back in 2015 whereby the CIA. Alphonse...
  6. S

    Wizara ya Fedha, salary slip kupitia salary slip portal za kila mwezi ziwe zinatoka mapema kuliko hivi sasa

    Wizara ya Fedha mmefanya jambo jema na la kupongezwa kwa kuanzisha utaratibu wa watumishi wa umma kupata salary za kila mwezi online kupitia salary portal. Hii ni tofauti na miaka ya nyuma ambapo zilipokuwa zinatolewa na Hazina na kisha kusambazwa kwenye idara,wizara na taasisi za umma au...
  7. S

    Jerry Silaa weka hadharani salary slip yako kabla ya kuitikia wito wa kwenda kwenye kamati

    Kama kusema kuwa wabunge hawalipi kodi ndio sababu ya wewe kuitwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, nakushauri uweke hadharani salary slip yako kabla ya kufika mbele ya kamati ili umma ujue ukweli halisi ni upi. Unaweza kuficha taarifa ambazo sio sahihi kwenda kwenye public...
  8. kidadari

    HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

    Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe. Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt. Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
  9. N

    Salary slip ya Julai, 2021: Hakuna Tzs 2,500, deni la HESLB halijapungua

    Ndo hivyo, inaonekana sasa! Niliaminishwa nitakuta deni la HESLB limepungua kutokana na kutolewa ile nyongeza kama alivyoamrisha Mh. Rais; HAKUNA BADILIKO! Nilisikia kuna kanyongeza ka 2500 ka kupatia mo energy za jero tano kwa ajili ya kuinjoi na familia kila mwisho wa mwezi; HAKUNA KITU. Dah!
  10. Amaizing Mimi

    Mfumo wa 'salary slip' haufanyi kazi

    Natumai hamjambo. Toka jana najaribu kufungua salary slip, matokeo ni kuwa huduma haipatikani. Mh. Mwigulu umeona tozo hazitoshi sasa umeamua kufunga mfumo ili tusione mnavyotuibia? Hebu fungueni tuone HELSB walivyofanya mwezi huu maana hawaamiki tena.
  11. M

    Salary slip portal

    Habari wana JF. Samahani, naomba kama kuna mwenye kufahamu iwapo mtu amesahau password ya kwenye account ya Salary slip portal afanyeje. Maana namba yao waliyoweka kwenye website yao haipokelewi. Natanguliza shukrani.
  12. L

    Salary slip za Juni 2021 zimerekebishwa, Hongera Hazina na waliopaza sauti

    Wale ambao mlikatwa bodi mwezi Juni ila deni halikupungua tatizo hilo limeisha baada ya hazina kufanya marekebisho na kutoa salary slips mpya. Ahsante kwa wote waliopaza sauti pia kwa wahusika waliojitahidi kurekebisha hili kwa haraka. Kazi iendelee. Pia soma Malalamiko ya Makato ya Deni la...
  13. M

    Bodi ya mkopo imefanya wizi wa ajabu kwenye salary slip za watumishi Kwa mwezi Juni 2021

    Habari wadau, Kwa yeyote anayekwata na Bodi ya mkopo. Linganisha deni lako la mwezi May na deni lako la mwezi June kwenye salary slip yako utagundua. Wamekata pesa ya mwezi June lakini deni limebaki lile lile la mwezi May. Pia kuna wengine wamekatwa pesa mwezi Juni mfano mtu amekatwa laki na...
  14. T

    Bodi ya Mikopo (HESLB) acheni wizi; rudisheni hela mlizokata mwezi Juni bila kupunguza deni kwenye salary slip

    Wanufaika bodi ya mikopo elimu ya juu HESLB kwa mwezi June wamejikuta wamekatwa kiasi wanachokatwa na deni halisi limebaki Kama lilivyokuwa linasomeka mwezi may, na kilichopungua ni tsh 150/=tu, na deni kubaki lilivyo. Huu ni wizi wa wazi kabisa na wahusika wanatakiwa kujitathimini na kujiuzulu...
  15. balimar

    Malalamiko ya Makato ya Deni la Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) Mwezi Juni, 2021

    Hello Wadau!! Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100% Hiki kinanifanya nijiulize Mosi, ni...
  16. S

    Wizara ya Fedha, website ya Salary Slip Portal ina shida gani kwa Salary Slips za mwezi Mei 2021?

    Wizara ya fedha, tunaomba maelezo nini kinaendelea kwenye hii system ya salary slip portal kwani haitoa salary slip za mwezi May mwaka huu wa 2021. Salary slip za miezi ya nyuma zinapatikana. Imefika hatua watu tunaanza kujiuliza iwapo huu ni muendelezo wa kinachoonekana ni hujuma kwa system...
  17. H

    Huduma ya 'salary slip' mtandaoni imeondolewa?

    Kwanza nilijaribu kutafuta ya may 2021 nikaambiwa no salary slip for selected month. Leo hii ukifungua salaryslip.mof.go.tz huduma haipatikani kabisa. What's wrong!?
  18. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais kupitia CHADEMA Tundu Lissu katika viwanja vya Zakheim Mbagala, TBC Wafukuzwa

    Salaam Mkuu, leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam. Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
  19. Sanyambila

    Maoni: Mikutano ya siasa ifunguliwe kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wanabodi umofia kwenu Nianze kwa kumpa pole na hongera Mh. Rais Magufuli kazi njema anazofanya kila siku, Hoja yangu ni alipokuwa anaingia Madarakani alipiga marufuku mikutano ya kisiasa na kusema tufanye kazi siasa itakuwa kipindi cha uchaguzi. Sasa tupo katika kipindi hiki cha uchaguzi...
  20. Sanyambila

    Maoni juu ya adhabu mashuleni viboko au kusimamishwa masomo na uingiliaji wa wanasiasa kwenye taasisi

    WAJUMBE SALAAM! Hivi karibuni kumejitokeza matukio ya utovu wa nidhamu mashuleni na adhabu mashuleni. Nianze na utovu. Miaka ya leo wanafunzi wameshuka kinidhamu sana. Yapo matukio ya walimu kupigwa, kutukanwa, kukejeliwa na mwalimu anapochukua hatua stahiki wanafunzi huja juu kwa kumtishia...
Back
Top Bottom