Endelea kujifariji ,tafuta HELA ,narudia Tena tafuta HELA ukiwa na Hela nguvu Huwa zinakuja tu zenyewe automatically ,nguvu bila pesa hazisaidii kwa loloteMwenye nguvu Hana pesa!
Mwenye pesa hana nguvu!
Mwenye pesa na nguvu Hana muda!
Hivyo kubali kuridhika na uliye nae utaishia kulia tuuu
Mistari michache tu kwa leo
Nilivokuelewa ni kwamba unauliza kama kuna mwanaume mwenye nguvu za kiume, pesa, na muda wa kumridhisha mwanamke.Hakuna!
Kila bosi ana bosi wake na Kila mnyonge na mnyonge wake
Mkamilifu yupo....au labda nieleweshe ulivoelewa hii madaAhsante kwa kutukumbusha, ni kweli hakuna mkamilifu
Yaani mada kabisa imeanza kwa kuonesha mtu ambavyo hajakamilika mfano ana pesa hana nguvu and vice versa is true, hujaona tu au nikuletee miwani kubwa? Au mimi ndiyo sijaelewa😜Mkamilifu yupo....au labda nieleweshe ulivoelewa hii mada
Na nguvu inamaanisha nguvu za kiume auYaani mada kabisa imeanza kwa kuonesha mtu ambavyo hajakamilika mfano ana pesa hana nguvu and vice versa is true, hujaona tu au nikuletee miwani kubwa? Au mimi ndiyo sijaelewa[emoji12]
Sasa unauliza tena hilo unahisi ni nguvu za kunyanyia makwapa juu?, ni za kunyandua ndiyo . Kweli mshamba hachekwi🙆♂️Na nguvu inamaanisha nguvu za kiume au
Na nguvu inamaanisha nguvu za kiume au
Twende taratibu......Sasa unauliza tena hilo unahisi ni nguvu za kunyanyia makwapa juu?, ni za kunyandua ndiyo . Kweli mshamba hachekwi[emoji2297]
Unaniona mimi fala siyo? HayaTwende taratibu......
Na muda inamaanisha....
Hamna tunaeleweshana tu taratibuUnaniona mimi fala siyo? Haya