Jihadhari na huu Utapeli wa kumdhamini tapeli kwa boda boda

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,729
5,923
Aisee tujihadhari na huu wizi,
Leo Nikiwa ofisini namba +255694480796
Ikanipigia Ile napokea tu jamaa akajitambulisha ni mwalimu magunga shule ya msingi ameomba namba yangu hapo kwa mtu,
Ananiomba nimpe namba ya kijana wa piki piki ninayemuani chap ana haraka sana!

Basi Mimi Bila kuwaza nikamtumia namba Tena nikamwambia kijana akiuliza amwambie Mimi ndio nimempa☺️
Baada ya dakika mbili akapiga Tena akasema huyo dogo Yuko mbali nimtafutie namba nyingine ana haraka sana! Yaani full kunisisitiza! Mpaka Hapo sikuwaza chochote!
Sasa bhana baadae narud jioni nikampigia yule kumuuliza alikuwa mbali wapi mpaka akakosa "Dili"
Akasema yule jamaa alipiga akasema ni mwalimu shule ya msingi majengo!
Akamuomba amuwekee elf 22,

Halafu anunue bahasha za kaki mbili, na correction pen moja ampelekee Hapo Majengo shule ya msingi atampa Hela yake!

Dogo akanunua iyo pen na izo bahasha ila pesa akawa Hana akafika majengo akimpigia hapokei!

Ikabidi dogo arudishe vitu stationary kumbe ndio maana jamaa akasema dogo alikua mbali!!

Kumbe yule boda wa pili niiyempa namba alijichanganya akamtumia elf 15 na vitu akanunua!

Sasa jioni ndio msala ukanigeukia Mimi!
Nikaona niwashirikishe!
 
Basi Mimi Bila kuwaza nikamtumia namba Tena nikamwambia kijana akiuliza amwambie Mimi ndio nimempa
Baada ya dakika mbili akapiga Tena akasema huyo dogo Yuko mbali nimtafutie namba nyingine ana haraka sana! Yaani full kunisisitiza! Mpaka Hapo sikuwaza chochote!
Sasa bhana baadae narud jioni nikampigia yule kumuuliza alikuwa mbali wapi mpaka akakosa "Dili"
Akasema yule jamaa alipiga akasema ni mwalimu shule ya msingi majengo!
Akamuomba amuwekee elf 22,

Halafu anunue bahasha za kaki mbili, na correction pen moja ampelekee Hapo Majengo shule ya msingi atampa Hela yake!

Dogo akanunua iyo pen na izo bahasha ila pesa akawa Hana akafika majengo akimpigia hapokei!

Ikabidi dogo arudishe vitu stationary kumbe ndio maana jamaa akasema dogo alikua mbali!!

Kumbe yule boda wa pili niiyempa namba alijichanganya akamtumia elf 15 na vitu akanunua!

Sasa jioni ndio msala ukanigeukia Mimi!
Nikaona niwashirikishe!
Hatari sana

USSR
 
Kosa lako wewe I hope hio umeisoma
 
Sema mwana hapo huna kosa coz ulkuwa unawapa madili ya hela.
Huo ni uzembe wao unatapeliwaje kizembe hivo aisee mtu humjui unamdondoshea jax kirahisi hivo
 
Back
Top Bottom