Mashambulizi ya Israeli yalifanywa katika maeneo kadhaa ya kusini mwa Lebanon usiku kucha, huko Beit Yahoun, Sijdin na Jabal al-Batm.
Vitisho vya Iran ni sawa na Panya kumtishia Paka
Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon.
Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa mpaka chumbani kwao bila huruma yoyote!!
Mkuu wa Jeshi la Israel Luteni Jenerali Eyal Zamir, ametembelea eneo la Khiam akiwa na makamanda wakuu wa IDF, akiwemo mkuu wa Kamandi ya Kaskazini na uongozi wa kitengo.
Alifanya tathmini ya uendeshaji, akapokea taarifa za uwanjani, alizungumza na makamanda wa kikosi, na akatembelea...
Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr.
Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi, ni kituo muhimu sana cha usafirishaji wa mafuta ya nchi hiyo, kikichakata sehemu...
Jeshi la Israel limetoa tahadhari likiwaonya wananchi wa Iran wasitumie treni hadi saa 3 usiku kwa saa za Iran.
“Uwepo wenu ndani ya treni au karibu na reli unaweka maisha yenu hatarini,” jeshi hilo limesema kupitia akaunti yake ya lugha ya Kiajemi kwenye mtandao wa X.
Tusijisahau sana
SEKUNDE 40 zilitosha kwa Israel kuwabamiza VIONGOZI 40 (Akiwemo Ayatollah)
Tafsiri :
Unaweza kufanya nini ndani ya sekunde 40 ?
Unaweza kumimina maji kwenye glasi,
unaweza kuvaa viatu,
unaweza kuandika barua pepe,
unaweza kujipulizia manukato,
Kwa jeshi la Israel,
sekunde...
Jeshi la Israel limedai kupitia chapisho kwenye mtandao wa X leo, kuwa limemuua kamanda wa kikosi cha Basij, ambacho ni kundi la kijeshi la usalama wa ndani chini ya Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC).
“Tukiongozwa na taarifa sahihi za kijasusi kutoka Idara ya Ujasusi wa Kijeshi, Jeshi la...
Jeshi la Israel limesema limemuua kamanda wa ujasusi wa Hezbollah, Hussein Makled.
Kwa mujibu wa jeshi hilo, Makled — aliyekuwa mkuu wa makao makuu ya ujasusi wa Hezbollah — aliuawa katika shambulio maalum lililofanywa usiku kucha katika mji mkuu wa Beirut.
Hadi sasa, hakujakuwa na tamko rasmi...
Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kudai ndo mwanzo wa vita
Source: AP NEWS
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.
--------------------
As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a...
Mytake:Sasa wavaa vipedo, misuli na makobazi wanapigwa kotekote,ardhini,majini na angani.
.....
The IDF revealed a shift in Gaza warfare: suicide drones now kill most Hamas terrorists. The “Atalef” drone is standard issue across ground forces, with platoons equipped with their own intel drones.
Mungu ibariki IDF kwa moyo wa huruma.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Israel, Gideon Sa’ar, pamoja na mwenzake wa Cyprus, Constantinos Kombos, “wanaendelea kuwasiliana kwa karibu na mara kwa mara kuhakikisha kuwa msaada unafikishwa na kutumika haraka iwezekanavyo,” imesema wizara hiyo.
“Israel...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limelaani vikali mashambulizi dhidi ya jengo lililokuwa na wafanyakazi wake mjini Deir al Balah, Gaza. Mashambulizi hayo yalifanyika baada ya jeshi la Israel kutoa amri mpya ya uhamishaji. WHO imesema wafanyakazi na familia zao, wakiwemo watoto, walikumbwa na hatari...
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) linasema limewaua wanasayansi na wataalamu tisa wa nyuklia wa Iran.
Hapo awali, jeshi la Israel lilisema liliwaua sita katika wimbi la kwanza la mashambulizi dhidi ya Iran usiku wa Alhamisi.
Israel sasa inasema kuwa wanasayansi hao tisa waliuawa “mwanzoni mwa...
Mashambulizi haya yametikisa misingi ya ulinzi wa Iran, uu si mzozo wa kawaida, ni vita ya akili, ujasusi na teknolojia.
Ndani ya lisaa pekee usiku wa manane Israel waliweza kushambulia viongozi wakuu wa majeshi ya Iran na wanasanyansi wakubwa wa nuclear,
Israel haipigani vita, Inajilinda...
Meli za jeshi la wanamaji la Israel zimeshambulia bandari ya mji wa Hudaydah, ambao iko chini ya udhibiti wa waasi wa Houthi nchini Yemen.
Jeshi la Israel imesema kuwa mashambulizi hayo yalifanywa ili kujibu kwa makombora ya Houthi yaliyolenga Israel, na yalilenga kusitisha matumizi ya bandari...
Wadau hamjamboni nyote? Three Israeli soldiers were killed and two were wounded by an explosive device during operations in northern Gaza’s Jabalia yesterday evening, the military announces.
The slain soldiers are named as:
Staff Sgt. Lior Steinberg, 20, a combat medic, from Petah Tikva...
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa.
Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
Wanaukumbi.
BREAKING: Al-Qassam Brigades:
Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun.
================
BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam:
Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
KIPONDO CHA NGUVU 🔴
Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma.
https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.