Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Wanaukumbi.
BREAKING:

⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran.

ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana..

View: https://x.com/megatron_ron/status/1742946718025486797?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Uongo mtupu....

Masalafi ya kisuni ya Isis ni maadui wa Iran kwa sababu wanaamini Washia sio waislamu.

Hivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Sio Israel tu hata Qatar, UAE hawajawahi kushambuliwa na Isis.
Isis na Al Qaeda ni Makundi ya Israel na west Kuna mamia ya Ushahidi kuthibitisha hilo
1. Mkuu wa Mossad akihojiwa na Al Jazeera amekiri wakiumia wanatibiwa Israel.

2. Kuna Ushahidi wa receipt na logistic silaha zinatoka USA hadi kuwafikia

3. Isis na Al qaeda wanapigana na Nchi adui wa west tu bila kujali Wana mrengo Gani wa kidini, Isis Sasa hivi wapo hadi Afghanistan, wameanza mashambulizi soon baada ya USA kuondoka,

4. Wapo hadi Africa maeneo ambayo Mfaransa yupo, Kaja Wagner soon wanapigana na Wagner, jinsi Ufaransa anavyofukuzwa na magaidi nao wanapotea, viongozi wa Nchi tofauti tofauti west Africa wanasema wapo Funded na Ufaransa.
 
Unajiabisha tu bora ungekaa kimya huko kwenye vijiwe nyenu mnadanganya tu toka lini Isis wakawa masalfi hiyo link iliyoleta hata hujui kilichoandikwa unajua kama huko Syria miaka yote Isis wanapigana nyuma ya Israel takusaidia kukuletea ushahidi.
 
Isis na Al Qaeda ni Makundi ya Israel na west Kuna mamia ya Ushahidi kuthibitisha hilo
Hizi ni nadharia njama tu ambazo hazina uthibitisho wa moja kwa moja mpaka sasa

1. Mkuu wa Mossad akihojiwa na Al Jazeera amekiri wakiumia wanatibiwa Israel.
Ungeweka link kusapoti hii hoja..... Israel iliwahi kukiri kuwatibu waasi wa Syria waliojeruhiwa enzi za Vita Ila sio Isis.

2. Kuna Ushahidi wa receipt na logistic silaha zinatoka USA hadi kuwafikia
Silaha nyingi za Isis zilizotoka China Ila zilinunuliwa na US na Saudia kwa ajili ya waasi wa Syria wapinzani wa Assad Ila ziliishia mikononi wa Isis baada ya kuwazidi hao waasi.

3. Isis na Al qaeda wanapigana na Nchi adui wa west tu bila kujali Wana mrengo Gani wa kidini, Isis Sasa hivi wapo hadi Afghanistan, wameanza mashambulizi soon baada ya USA kuondoka,
Alqaeda na Taliban ni washirikina toka enzi za Osama mpaka leo hivyo hawapigani.

Isis na Taliban ni maadui toka Marekani akiwa na askari huko Afghanistan na walishapigana mara nyingi tu na sababu ni kutofautiana itikadi.

Isis na Alqaeda ni maadui wakubwa.

4. Wapo hadi Africa maeneo ambayo Mfaransa yupo, Kaja Wagner soon wanapigana na Wagner, jinsi Ufaransa anavyofukuzwa na magaidi nao wanapotea, viongozi wa Nchi tofauti tofauti west Africa wanasema wapo Funded na Ufaransa.
Hakuna uthibitisho kuwa kuondoka kwa Ufaransa kumeleta utulivu West Africa, hili linahitajika utafiti maana tumeshuhudia kuvunjika kwa mkataba wa amani Kati ya waasi wa Tuareg na utawala wa kieshi wa Mali, pia kumeripotiwa mashambulizi mapya ya kigaidi huko Niger.

Hujui lolote kuhusu haya makundi soma hii kutoka kwa Waisrael wenyewe wanakubali kuwasaidia Isis huko Syria na makundi mengine.

Hujui lolote kuhusu haya makundi soma hii kutoka kwa Waisrael wenyewe wanakubali kuwasaidia Isis huko Syria na makundi mengine.

Nchi nyingi tu zilifadhili uasi huko Syria ila vinara ni Uturuki, Saudia, Qatar, Marekani na nchi nyingine za Ghuba....

Soma hii itakusaidia...

Back
Top Bottom