Taarifa ya sasa inaeleza kwamba Chadema kupitia BAWACHA inawaomba wananchi wote kuchangia Familia za Makomandoo Adamoo na wenzake, walioshitakiwa kwa tuhuma za ugaidi, ambao inadawa ulifadhiliwa na mshitakiwa mwenzao Freeman Mbowe kwa kitita cha Tsh Laki 6.
Tayari mchakato wa kampeni hiyo...
Ugaidi, kwa maana yake pana ni matumizi haramu ya vurugu za kimakusudi kufikia malengo ya kisiasa, haswa dhidi ya raia serikali iliyopo madarakani.
Mbinu hii ya ugaidi Inatumika haswa kuleta vurugu wakati wa amani.
Maneno "kigaidi" na "ugaidi" yalitokea wakati wa Mapinduzi ya Ufaransa mwishoni...
Je Ugaidi anaotuhumiwa nao mh Mbowe ni ugaidi wa serikali?
Najaribu kutafakari kimyakimya kwa maandishi kuhusu mashataka aliyofunguliwa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe.
Nimejaribu kupitia rekodi mbalimbali za Mbowe tokea akiwa mwenyekiti wa vijana (BAVICHA) taifa, mpaka anakuwa...
Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu...
Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
Imeandikwa kwenye Biblia, kitabu cha Mithali 14:34 "Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu.
Kwa huu mwendelezo unaoendelea kutolewa mahakamani Katika kesi ya ugaidi ya akina Mbowe, hakika ni aibu kubwa Sana kwa Taifa letu kuwa na Jeshi la Polisi, ambalo halitaki...
Hii ndio taarifa iliyotufikia , kwamba leo Mke wa Mshitakiwa aliyeteswa kinyama komando Adam kasekwa leo atapanda kizimbani akiwa ni shahidi wa tatu wa upande wa utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa inayomkabili Freeman Mbowe na Wenzake watatu
Endelea kufuatilia
========
Saa 3 na...
Mwaka 2020 Mbowe alijipatia VIP PROTECTION-kwanini?
1. Ana hela nyingi- lakini yeye katuambia akaunti zake zote zilikuwa zimefungiwa hivyo hakuwa na cha kuibiwa
2. Alikuwa kwenye hatari? Kwao Hai? Hai kabisa
3. Alikuwa mgombea urais?
Sababu yake nini hasa?
Nilikuwa nafuatilia huko Ulaya kuhusu namna wanafamilia wa watuhumiwa na hata wafungwa wanavyosaidiwa kuepusha adhabu ya makosa ya wazazi kwenda kuwaumiza watoto wasio na hatia. Mara nyingi watoto wa watuhumiwa hupatiwa michango ambapo husaidiwa kuendelea na masomo na kufarijiwa maana...
Wakuu wote heshima sana.
Sote tumekuwa tukifuatilia kesi ya UGAIDI inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA na watuhumiwa wengine watatu.
Jana baada ya upande wa mashtaka kuwaondoa mashahidi wanne,mtuhumiwa wa Ugaidi mwanajeshi mstaafu au ukipenda mstaafishwa alipanda kizimbani kwa minajili ya...
Magaidi ya Msumbiji yalikua yameota pembe mpaka kuanza kupiga majirani wakiwemo Tanzania ambapo walikua wanaingia na kuchinja wanavijiji, ilimbidi Kagame atume makomando wake ambao walifyeka huo uchafu na kuweka sawa......
Majitu ya SADC full misifa lakini kwenye medani zero, kainchi kadogo...
Hali ya Ugaidi duniani NI Ajenda muhimu kwenye mkutano wa Baraza la ulinzi la umoja wa mataifa.
Naomba Raisi wetu atakapohutubia Baraza Hilo aelezee pia juu ya kundi hatari zaidi la kigaidi Tanzania ambalo bado halijapatiwa jina lenye watu wanne ili dunia ilijue na ikabiliane nao.
Kundi Hilo...
Haya ni maoni yangu, usajili was CHADEMA kama Chama cha Siasa ufutwe au usitishwe kwa kuwa shughuli zake kwa tuhuma zilizopo, ni za kigaidi.
Vyombo vya dola vikifanyie ukaguzi was kina, na kwa kipindi cha ukaguzi huo,usajili wao kama chama cha siasa usimamishwe.
Pia, kama ambavyo mtumishi wa...
Paul Rusesabagina aliyeonyeshwa kama Shujaa katika filamu kuhusu mauaji ya kimbari ya 1994 amekutwa na hatia katika Mashtaka yanayohusiana na ugaidi.
Anatuhumiwa kuwa mfadhili wa kundi la waasi ambalo lilifanya mashambulizi Nchini Rwanda na kuua Raia kadhaa mwaka 2018.
Familia ya Rusesabagina...
Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita.
KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer?
MAHITA: Sahihi.
KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini?
MAHITA: Alikua Mkuu wa Msafara.
KIBATALA: Mkuu wa msafara ni role gani kwenye arresting?
MAHITA: Kimya...
Huwa najaribu kumuelewa IGP Sirro katika suala la kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe, hadi najiuliza hivi kweli uwezo wa IGP Sirro katika kufikiria ndio umeishia hapo?
Suala liko hivi. Huyo askari Luteni wa JWTZ anaita askari anasema ameambiwa na Mbowe kwamba anataka kufanya ugaidi, na anataka...
Pamoja na Serikali ya Tanzania kutopendezwa na Wawakilishi wa kimataifa kutoka EU , UN na Waheshimiwa Mabalozi kujionea dhuluma dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe Mahakamani , lakini Wazungu hao wameendelea kupuuza wito huo wa Wizara ya mambo ya nje na kuendelea kumiminika kwenye...
Mwandishi huyu kajitahidi kumkosoa Sirro.
Bahati mbaya sina ruhusu ya kukopi makala kuileta hapa.
----
Kwa mujibu wa takwimu za mwenendo wa matukio ya kigaidi ulimwenguni, vitendo hivi kwa kiasi kikubwa hutokea katika nchi zenye Waislamu wengi. Hii maana yake ni kwamba waathirika wakubwa wa...
Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa lakini suala lipo mahakamani.
Ibara ya 13 ya JMT ipo wazi kabisa kuwa hakuna mtu atakuwa na hatia mpaka...
Wanabodi, ninajua wengi tunashangaa sana imekuwaje mfanyabiashara na mwanasiasa Freeman Mbowe kufunguliwa kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi.
Ukweli ni kwamba, mwaka 2017 baada ya jaribio la kumuua Lissu kushindikana, target ya pili alikuwa ni Mbowe baada ya TISS kumshauri Magufuli, "mwengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.