fair

A fair (archaic: faire or fayre) is a gathering of people for a variety of entertainment or commercial activities. It is normally of the essence of a fair that it is temporary with scheduled times lasting from an afternoon to several weeks.

View More On Wikipedia.org
  1. Archival Sense

    JamiiForums, JamiiForums Uganda Court Strikes Down Two Laws Over Discrimination, Fair Trial Concerns

    The Constitutional Court has declared two provisions in Uganda’s laws unconstitutional, ruling that one discriminates against women while the other could deny people a fair trial. The court struck down Section 115 of the Penal Code Act, which makes it an offence to molest a woman’s modesty...
  2. Mboju

    JamiiForums Nimeshindwa kwenda kumzika Mama haya maisha hayako fair naombeni msaada😭

    Habarini za Jioni nimepata pigo jingine ktk maisha baada ya kumpoteza kipenzi changu mama yangu kikubwa kinacho niuma nikushindwa kwenda kumsitiri nikiwa kama mtoto wake mkubwa unajua inauma vipi ombeni yasiwakute haya maisha basi tu Leo nimejua usione mtu anafanya vitu vya ajabu muda mwingine...
  3. M

    JamiiForums Wito kwa TFF: Je, si wakati sasa wa kuleta mfumo wa "Financial Fair Play" (FFP) kwenye Ligi Kuu ya Tanzania?

    Habari zenu wana Jamii forums!! Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League) kwa sasa inatajwa kuwa miongoni mwa ligi bora barani Afrika kwa ubora na ushindani. Tumeona uwekezaji mkubwa wa haki za matangazo (TV Rights) kutoka Azam TV na wadhamini wengine, jambo linalofanya ligi yetu kuvutia...
  4. R

    JamiiForums Chief Justice, this is not fair! Lissu ameteseka sana gerezani, why postpone his case? Muamue moja mnaloona linamfaa

    Ni vema mkamhukumu mnavyoona/ mnavyopenda kuliko haya mateso mnayompa. Ajue moja, ananyongwa au anafungwa au anaachiwa. Mwamwindi wa Iringa, aliamua moja akalitimiza, akamuua Kleruu na Mwalimu Nyerere akaamua moja akamnyonga. Nanyi amua moja mlitimize. Why postpone his case?
  5. M

    JamiiForums UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Dunia haiko fair kabisa Waliotakiwa kuwa Jela ndo wako uraiani na ambao walitakiwa kua Uraiani ndo Wako Jela

    Ukiangalia mambo yana vyo kwenda kuna watu waolitakiwa kua Uraiani ila ndo hao wako jela ila ambao walistahili kua jela ndo hao wako uraiani. Dunia haiko fair kabisa
  7. S

    JamiiForums KERO Tafadhali Serikali fungieni mchezo wa AVIATOR, Mchezo sio fair na unaua ndoto za Vijana

    Habari zenu Ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye main point, Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%. Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tuseme ndio umekuwa rais, na unataka kuwa fair square!, ni hatua gani utazifanya kuboost uchumi wa wananchi wa kawaida angalau hata kwa asilimia 35%

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  9. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

    C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki
  10. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Dah, life is not fai. Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo wanamaisha mazuri

    Wale washikaji ambao walikuwa hawana akili kichwani tukiwa darasani Leo hii wanakazi zao za maana na biashara za kutisha. Sisi ambao darasani tulikuwa na akili na morality ya kufatuta maisha lakini mpaka Leo maisha hatuna ajira hatuna. Kila siku tunaona watu wapo kwenye magari makali nyumba...
  11. Bueno

    JamiiForums Hii Dunia Haipo Fair Hata Kidogo

    Wapo washenzi kwenye hii Dunia wanacheza rafu sana. Wewe uki-play-fair wenzako wanaingia na miguu yote miwili, watakuvunja kua makini. ...........................
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Is it fair kumhukumu mdada kwa kutaka kuwa na bwana mwenye pesa zaidi?

  13. Minjingu Jingu

    JamiiForums Simba wapo Morocco, Yanga tumeenda Kongo kuulizia kuhusu Elie Mpanzu. Dunia haipo fair kabisa

    Sisi ndo sisi..... Hakuna kama sisi.
  14. W

    JamiiForums al masry wako fair play

    salamu ndugu zangu..!? al masry kwa nilivyowaona wanacheza mchezo mzuri wa fair play. katika mchezo uliopita pengine unaweza kusema walikuwa na uhitaji wa magori mengi lakini hili nakataa nakataa kwasababu wao hawakuwa wamiliki wa mpira tena kwa yale mashambulizi ya simba ni wazi wangekuwa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Hii siyo Fair kabisa.......!!

    Yaani Mume Shujaa kasafiri zake kwenda kuleta Heshima nchini Misri huku nyuma Mke Maharage ya Mbeya nae anazurula kwa Waganga wa Kienyeji (Marafiki) Mkoani Tabora.
  16. D

    JamiiForums Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

    Hizi ndio "Prison Cells" za Ujerumani na Denmark.. =========== Shikamoo Wazungu..
  17. Mkurya mweupe

    JamiiForums Usaili wa ajira za ualimu hauko fair

    Nimeshangaa kuona jamaa yangu mmoja leo ambae huwa ni dereva bodaboda karibia mwaka wa tisa sasa akisema ametoka kufanya interview ya ualimu, Kwanza nimeshangaa maana sikuwahi kujua kama ni mhitimu wa degree ya ualimu mwaka 2015 kutokana na kumuona yupo serious na kazi hiyo Kinachonishangaza ni...
  18. B

    JamiiForums Maisha hayako fair kabisa

    👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure 👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa darasa la saba walioanza na vibiashara tu baada ya kufail darasa la saba 👉Watu wanasoma diplomasia na...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Elite Bookshop Sabasaba International Trade Fair

    ELITE BOOKSHOP SABASABA INTERNATIONAL TRADE FAIR Siwezi kupita duka la vitabu bila kuingia ndani. Achilia mbali kuwa Elite ndiyo wachapaji wa kitabu changu cha watoto, "The School Trip to Zanzibar," kitabu kinachotumika kusomesha Kiingereza na wakati huo huo mwanafunzi anajifundisha historia...
Back
Top Bottom