Msio waislamu na mnaunga mikono ugaidi wa HAMAS, isomeni hii agano

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza.
Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono, tulia ujiulize maswali.
============================

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Screenshot_20231219_113054_com.facebook.katana.jpg

Umeisha pata bwana ewe kafiri?
Maana sasa hivi ni amri kwenye biblia
 
Hili hapa ni agano la HAMAS, ambalo linasema uislamu utaifuta Israel, kwa kifupi HAMAS hawana haja na maelewano au kuishi pamoja na Wayahudi kwa amani au hata ujirani kwa amani ila kuwafuta Wayahudi kama ambavyo wanaamini dini yao imewaagiza.
Hivyo kwa asiye muislamu na unasema unawaunga mikono, tulia ujiulize maswali.
============================

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Uharo
 
Israel imeripotiwa kuyashambulia makanisa ya Gazan kwa kutumia viwianishi vilivyopokelewa na Bunge la Marekani

Katika jaribio la kuzuia mashambulizi ya Israel kwenye maeneo ya kidini huko Gaza, moja ya mashirika makubwa ya misaada ya Kikristo huko, Catholic Relief Services, iliripotiwa kupitisha kuratibu za maeneo kadhaa katika eneo hilo kwa wafanyikazi wa Seneti, ambao, nao, walituma Israeli. .

Vyombo vya habari vya Marekani viliripoti kwamba hatua ya shirika hilo la misaada ilikuwa ni jaribio la kupata ahadi kutoka kwa Israel ya kutolenga angalau majengo manne huko Gaza, yakiwemo mawili ambayo baadaye yalipigwa na jeshi la Israel.

Licha ya hayo Israeli ililenga makanisa kadhaa na mshambuliaji aliua wanawake na watoto kadhaa ndani ya kanisa. Kwa sababu hiyo, Papa alisema kuwa Israel inatekeleza mashambulizi ya kigaidi.

Quote
 
Fata maagizo ya papa wewe, acha maneno.

Uzi hauhusu ushoga....
Masuala ya ushoga anza kuyajadili huku alikoanzia huyu kuyafanya, ambapo naona wenzako hawa wanayafuata

MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:

CQGBAI5W8AAi4mc.jpg
 
Mtafute mwenzio mkabarikiwe PAPA kashawapa ruksa.

Kama hayo makanisa yalikuwa na waarabu wacha yalipuliwe tu
 
Ila wewe jamaa huna huruma. Mbona unawaumbua wafuasi wa mtume muhamadi (saw). Kama ni kweli alinyonya ulimi wa mwanaume mwenzake alikosea sana. Sasa followers wanajifunza nini?

Wao hukimbilia kuita kila mtu shoga, ila hawasomi maandiko yao yenyewe yanawaanika...
 
Hilo la huyo mnayemuita "mtume" kunyonya ulimi wa mwanamume mwenzake unaliongeaje lakini.
Quran yenyewe inajitosheleza,, hatufanyi rejea kwenye hadith bali Quran, nahadithi zote zinazoenda kinyume na Quran hizo ni hadith za uongo. Sasa mwambie alete Aya katika Quran nasio hadith anazookoteza huko mitandaoni?.
 
Hamas kama wanaweza kuwafuta mazayuni watakua wamefanya jambo lamaana sana
Wazayuni hawatakiwi kuepo hapo labda wahamie sehem mingine

Tatizo mnafutwa nyie maana 'mungu' wenu ni dhaifu ukilinganisha na yule wa Mazayuni.
 
Back
Top Bottom