mashtaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwalimu Mkuu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je Kumsimamisha Mtuhumiwa Kwa Muda Mrefu wakati Waendesha Mashtaka wanabadilishana na kukaa

    There is no fixed legal time limit for how long an accused person must continuously stand in the dock during a court session, but standard practice dictates that a defendant should not be forced to stand for unreasonably long periods that cause physical distress or compromise a fair hearing...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa Sheria,hv kwa roho mbaya Labda EMC anaweza funguliwa mashtaka?

    Najaribu kuwaza hv mfano kwa roho mbaya tulizonazo Kuna mwanya labda emm kufikishwa mahakamani? na kama ni hivyo kwa kifungu kipi alichovunja?
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Madeleka apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashtaka matano ya kudharau Mahakama

    Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi inayosikilizwa katika Mahakama Kuu ya...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Je Kuna haja Office ya Mashtaka kutangazwa persona non-gratia?

    Wadau doctrine ya persona non-gratia inamaanisha kuwa ofisa wa kidiplomasia mfano Balozi anapokuwa anawakilisha Nchi flani, Nchi hiyo inaweza kumtangaza kuwa ni mtu asiyefaa kuwa kwenye office husika kutokana na mienendo ya hovyo ambayo anakuwa ameionyesha. Sasa kutokana na matendo ya kudharau...
  7. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Mnyika aomba DPP afute mashtaka ya uhaini dhidi ya Tundu kama alivyomfutia Mbowe

    Haya maneno sijawahi kuyasikia toka kwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, lakini Katibu Mkuu John Mnyika ameongea kwa nidhamu kabisa. Huyu ndiye kiongozi sasa na ishara ya maridhiano naiona
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Tundu Lisu aachiwe huru kwa mujibu wa sheria, akamatwe tena na kufunguliwa mashtaka upya yenye ushahidi mpya uliothibishwa.

    Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani. Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC mbakaji, Karim Khan hatimaye atimliwa kwa aibu

    Jumla ya nchi 82 kati ya 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) zilipiga kura muda mfupi uliopita kuunga mkono kuondolewa kwa Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Ubakaji, Karim Khan, ambaye alitoa hati za kimataifa za kukamatwa dhidi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa...
  10. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC aondolewa madarakani kwa kashfa ya Ngono

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), Karim Khan ambaye pia ni Mtaalamu wa masuala ya Ngono ameondolewa madarakani kwa kujihusisha na uhusiano wa kimapenzi na mtumishi ngazi ya chini wa ICC, na kutaka kumzuia kuwasilisha malalamiko yake. Khan ambaye ni mwendesha...
  11. K

    JamiiForums Tanzania ICC yaanza mchakato wa kuamua hatma ya Muendesha Mashtaka Mkuu Karim Khan

    Nchi 125 wanachama wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) zinakutana leo, Julai 24, 2026, katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York kupiga kura ya siri kuhusu hatma ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan. Karim Khan anakabiliwa na tuhuma za utovu wa maadili ya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Senegal waliokamatwa kwenye vurugu za AFCON 2025 Morocco wakana mashtaka

    Mashabiki 18 wa soka wa Senegal waliowekwa jela kwa kosa la kuingia uwanjani wakati wa fainali ya fujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kule Rabat mwezi Januari 2026, wamekana kuhusika na kosa lolote. Awali Februari 2026, mahakama nchini Morocco iliwahukumu mashabiki hao kifungo cha...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

    Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mchongo ina dhalilisha Jeshi la Polisi, Offisi ya mwendesha Mashtaka, Mahakama, Majaji na Watanzania wote kwa ujumla wetu

    Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  16. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama ICC itamfungulia mashtaka Samia, tujiandae kufunga na kuzira kula kwa ajili yake hata ikibidi kufa

    Nimesikia maadui wa taifa mashambenga, na wambea wengi wakitangaza na kusherehekea uwezekano wa mama kufungliwa mashtaka kwenye Mahakama ya Kimataifa kuhusiana na vurugu, siyo mauaji, maana waliokufa hawakufa, ndiyo maana hawakuzikwa. Wangezikwaje wakati hakuna miili ya kuzika? Halafu, ajabu...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kushitakiwa kwa Mange, makosa ya uchumi, anaweza kurudishwa Tanzania kuhukumiwa na Mahakama zetu

    Inasemekana Mange wameshtakiwa hapo Kisutu Kwa makosa ya kiuchumi. Kumbuka Ahadi ya kwanza ya mwanasheria mkuu wa serikali ilikuwa kumrudisha na kumkamata Mange ambaye anaishi. USA na Sasa ni raia wa Marekani Sijui sheria za kimataifa zikoje, ikiwa nchi x itamtaka raia wako afike kushitakiwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanza: Watu 172 wamepandishwa kizimbani na kusomewa mashtaka yakiwemo kuharibu mali, na unyang'anyi wa kutumia silaha

    WATU 172 KORTINI WAKITUHUMIWA KUFANYA VURUGU, UNYANG’ANYI WA KUTUMIA SILAHA MWANZA Watu 172 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza na kusomewa mashtaka kadhaa yakiwemo ya kuharibu mali, kuchoma moto na unyang'anyi wa kutumia silaha...
  20. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wengine 25 waongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima

    Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima. Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma. Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42. Pia soma GE2025 -...
Back
Top Bottom