msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania kuwasaka "Mapapa" waliokimbilia nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za kimkakati kwa lengo la kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha wahusika mbele ya vyombo vya sheria. Kwa...
  2. Informer

    JamiiForums Tanzania Msumbiji yamaliza deni lake la Dola milioni 701 ililokuwa inadaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Benki ya Standard (Standard Bank), Msumbiji imefanikiwa kumaliza deni lake la Dola milioni 701 ililokuwa inadaiwa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Hatua hii ya kulipa deni imepelekea kufutwa kwa ziara ya ujumbe wa IMF iliyokuwa imepangwa kufanyika nchini humo...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizo katika Organisation of Islamic Cooperation (OIC) Uganda na Msumbiji ni wanachama

    Organisation of Islamic Cooperation (OIC), inayojulikana pia kwa Kiswahili kama Umoja wa Ushirikiano wa Kiislamu, ni shirika la kimataifa ambalo linalenga kukuza umoja, ushirikiano wa kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa na kijamii kati ya mataifa wa Kiislamu. OIC ilianzishwa mwaka 1969, na makao yake...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Misri meli zinajaa kwenye foleni kupakia Gesi, Msumbiji wanaanza mradi wa LNG, Tanzania wanasubiri nani anatoa kushwa kubwa wampe mradi

    Mwaka wa 15 sasahivi tongu zianze kuletwa hadithi za mradi wa LNG Tanzania na mradi huo haujaanza hata kidogo mpaka Leo. Tongu hadithi hizi zianze kuzungumzwa hakuna cha mradi wowote wa LNG umewahi kuonekana zaidi ya hadithi za hekaya za Abunuasi. Wakati hayo yanafanyika jirani Msumbiji...
  6. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Msumbiji wameshaanza kuchakata gas, sisi je?

    Kampuni ya TotalEnergies (TTEF.PA) inatarajia kuanza tena uendelezaji wa mradi wake wa gesi asilia iliyolengwa kushindikwa (LNG) wenye thamani ya dola bilioni 20 nchini Msumbiji “msimu huu wa kiangazi,” alisema Mkurugenzi Mtendaji Patrick Pouyanne siku ya Jumatano. Alitoa majibu hayo...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tokea kupata uhuru kuna raia wa msumbiji ambao walikuwa sio raia Zanzabar?

    Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Marais A/Kusini, Namibia, Zambia Botswana hawakuhudhuria mazishi ya Papa Vatican. Tuna la kujifunza?

    1. Marais kadhaa wa wanachama wa SADC (Botswana, Zambia, Namibia , Afrika Kusini) wapo bize nchini mwao wakipambania wananchi wao wawe na maisha Bora. 2. Badala ya kwenda kuteketeza mamilioni kwa safari ambazo hata Balozi zao waliopo Rome wangeweza kuwakilisha.
  11. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Tutafakari siasa za CCM na Chadema kwa mfano wa Msumbiji frelimo na podems nayaona hapa kwetu..

    Nchini Msumbiji walifanya uchaguzi wao oktoba 29/2024..uchaguzi ulikuwa na wagombea kutoka vyama kadhaa lakini vilivyokuwana upinzani wa karibu ni Frelimo kilichowakilisha na Daniel chapo huku Podems ikiwakilishwa na Venancio Mondlane..uchaguzi ulifanyika baada ya kampeni kali zilizokuwa na...
  12. Mowwo

    JamiiForums Tanzania 2025 Strongest Millitary Rank: Tunazidiwa vipi kijeshi na Msumbiji?

    Wakuu kwema? Sielewi, nimepitia Millitary Ranks za Africa kwenye Website kadhaa naona Tanzania tuko nyuma sana. Wataalam wa hii ishu eb nisaidieni, naona hadi Sudan wanatuzidi Kijeshi. Kwani tunafeli wapii? Siku ya uhuru nikiona wale makomandoo wanaopigwa na matofali nawaza tuko vizuri sana...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Msumbiji iliwakabidhi Rwanda majukumu ya kusaidia ulinzi badala ya nchi majirani zake wa SADC?

    Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi yake katika jimbo hilo kurudisha hali ya utusalama na utulivu. Baada ya kuona ufanisi mkubwa wa kikosi...
  15. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

    FRELIMO wamebaka uchaguzi na Daniel Chapo sasa yupo Ikulu. Viva FRELIMO vivaaa
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Mgombea wa Msumbiji alikuja Tanzania kujifunza wizi wa Kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche akizungumza kwenye mkutano na wanahabari tarehe 5 Januari, 2024 katika ukumbi wa Nyakahoja uliopo jirani kabisa na ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, mkoani Mwanza amasema: "Rais wa Msumbiji juzi alikuwa hapa kujifunza kabla ya uchaguzi jinsi ya...
  17. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Rais mpya wa Msumbiji kuapishwa Januari 15, 2025 licha hali ya machafuko kuendelea nchini humo

    Baraza la Katiba (CC) limetangaza rasmi kuwa Rais Mteule, Daniel Chapo ataapishwa Januari 15, 2025 kuwa Kiongozi wa Taifa hilo, licha ya wito wa Wananchi, Wapinzani na Jumuiya za Kimataifa kudai Uchaguzi uliompa ushindi haukuwa wa Haki, Huru na Uwazi. Ushindi wa Chapo umeibua Mgogoro na Vurugu...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania CCM pelekeni Mwenge Mozambique ukalete amani. Kama Mwenge ukishindwa kupeleka amani Msumbiji, upoteze uhalali wa kukimbizwa nchini

    Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki. Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima. Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Walivyofanya Frelimo Msumbiji ndivyo wanavyofanya CCM kwenye chaguzi zetu kila siku

    Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana. Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama vilivyopigania uhuru kwenye nchi za kusini mwa Afrika vimeanza kukabiliana na vuguvugu la mageuzi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watawala wetu wajitathmini upya. Tanzania na Msumbiji hakuna tofauti sana

    Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kinachoendelea...
Back
Top Bottom