waziri masauni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Serikali: Kuna Jumuiya za Kidini zinatumika kutakatisha pesa, usafirishaji haramu wa binadamu, kufadhili ugaidi na kutoa mafunzo hatarishi

    Utitiri wa nyumba za ibada katika makazi zinasababisha makelele na pia hutumika kuwezesha utakasishaji fedha na ugaidi.. Pia waziri Hamad Masauni asema taasisi na jumuiya ya kidini baadhi yao zinajihusisha na matendo ya kijinai ikiwemo ... UN- Umoja wa Mataifa imeiweka Tanzania ktk buku jeusi...
  2. K

    Waziri Masauni lipa posho za maji na umeme kwa Askari wako

    Askari wa Wizara yako walie mpaka lini!? Unafrahia kuongoza Askari wanyonge! Hizi posho za maji na Umeme serikali inazitoa zinaishia kuliwa na wajanja Wizarani pengine ukiwepo wewe (tetesi zipo) watumishi wote wizarani wanalipwa posho hizi! Iweje Askari waambiwe wanunue umeme na maji alafu...
  3. K

    WAZIRI MASAUNI ATUHUMIWA KUKWAMISHA MASLAHI YA ASKARI WIZARA YA MAMBO YA NDANI KWA MASLAHI YAKE.

    Askari walioko chini ya Wisara ya Mambo ya Ndani kutoka Polisi,Magereza,Fire nk wamekuwa wakimtuhumu Waziri Wa Mambo ya Ndani na watumishi wengine Wizarani kuzuia kwa maksudi posho yao ya UMEME na MAJI,huku wakitumia posho hiyo kujifaisha wenyewe kwa kujenga majumba ya kifa ha ri maeneo...
  4. Replica

    Waziri Masauni: Mpaka kufikia 'March' mwakani wananchi wote mtakuwa mmepata kadi za NIDA

    Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu. Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
  5. Jemima Mrembo

    Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

    Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha. Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae...
  6. dubu

    Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  7. BARD AI

    Waziri Masauni: Askari 217 walioumia na 16 waliofariki kazini wamelipwa Tsh. Bilioni 1.2

    Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani imeeleza kuwa malipo hayo yalifanyika katika kipindi cha Julai 2022 hadi Mei 2023, kupitia mfuko wa Tuzo na Tozo wa Jeshi la Polisi. Kati ya fedha hizo, Tsh. 948,335,400 zimelipwa kwa Askari 217 walioumia kazini na kiasi cha Tsh. 252,000,000...
  8. Roving Journalist

    Waziri Masauni, Katibu Mkuu Mmuya, kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA Nchini Kenya

    WAZIRI MASAUNI, KATIBU MKUU MMUYA WAWASILI NCHINI KENYA, KUSHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA ID4AFRICA UTAKAOJADILI IKOLOJIA YA UTAMBULISHO Na Mwandishi Wetu, MoHA, Nairobi WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameambatana na Katibu Mkuu wa Wizara, Kaspar Mmuya pamoja na...
  9. J

    Waziri Masauni afanya Ziara ya Kikazi Wilayani Kilosa

    Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi Hamad Y. MASAUNI (Mb) amefanya ziara ya siku mbili kikazi Wilayani Kilosa, ambapo alipata nafasi ya kutembelea ujenzi wa Gereza la Wilaya hiyo, kuzungumza na kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa na Wilaya pamoja na kuzungumza na kusikiliza kero za wananchi katika Mji...
  10. Fortilo

    Waziri Masauni, IGP Wambura na Ukimya juu ya mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini

    Wakuu Salam. Mauaji ya kikatili yanayoendelea nchini hasa mikoa ya Mwanza, Kilimanjaro, Arusha, Mbeya, ona sasa Mtwara yanastua, yanakera, ni hali ya kutisha, hujui lini na wewe utafikiwa. Imefika mahali jamii inauliza hivi nchi hii sheria hakuna? hata tamko la mkuu wa jeshi la polisi kwa eneo...
  11. Roving Journalist

    Waziri Masauni akutana na kuzungumza na Mabalozi wa Uingereza, India, Palestina na UNHCR Nchini, Jijini Dar Es Salaam Leo Januari 24, 2023

    Na Mwandishi Wetu, MoHA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
  12. DodomaTZ

    DOKEZO IGP Wambura, Waziri Masauni futeni ufisadi wa kundi hili la raia ndani ya Jeshi la Polisi

    Ndani ya Jeshi la Polisi Tanzania kuna Chama cha Wafanyakazi (TUGHE) ambacho kinaundwa na raia, I mean wale ambao siyo police officers but wapo ndani ya Jeshi la Polisi. TUGHE ina matawi mengi, that’s why nimeeleza kwa ufafanuzi kuwa ninaowazungumzia hapa ni wale walio ndani ya jeshi hilo na...
  13. BARD AI

    Waziri Masauni aagiza uchunguzi maiti zilizookotwa kwenye viroba

    Waziri wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, Hamadi Masauni ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linafanya uchunguzi wa kina ili kubaini waliohusika na mauaji ya watu wawili na kuwatupa wakiwa kwenye viroba. Maiti hizo ziliokotwa Agosti 11, 2022 zikiwa kwenye viroba katika kata ya Tunguli...
  14. GENTAMYCINE

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni upo 'serious' kweli katika Kupambana na Ajali za Barabarani nchini Tanzania?

    Yaani Waziri Masauni umeshakiri Mwenyewe kuwa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani kwa Makusudi wameondoa 'Spidi Gavana' katika Mabasi ya hali inayopelekea Madereva Wao kwenda Mwendo Kasi na Kusababisha Maafa (Ajali) zinazoua Watanzania na kuwapa Ulemavu wa kudumu halafu Wewe unawapa 'Ultimatum' ya...
  15. Suley2019

    Waziri Masauni: Matukio ya mauaji nchini yananinyima usingizi

    Picha: Mhandisi Hamad Masauni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni, amesema tangu ateuliwe kuongoza Wizara hiyo yapo mambo mawili yanayomnyima usingizi ikiwemo mauaji yanayotekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii pamoja na baadhi ya askari kufanya vitendo kinyume na maadili...
Back
Top Bottom