Hivi nini kimemchukua mkuu wa UN muda wote hii hadi leo ndio analaani ugaidi uliofanywa na HAMAS

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,664
48,440
Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS.

Israel kamatieni hapo hapo piga.......
=======================

UN Secretary-General Antonio Guterres says “nothing can possibly justify the horrific terror attacks launched by Hamas on 7 October, or the brutal abduction of some 250 hostages.”

In a post on X, Guterres says he repeats his “call for all remaining hostages to be released immediately and unconditionally.”

The post follows the passage of a UN Security Council resolution that calls to immediately speed up the aid delivery into Gaza while also “creating the conditions” for an end to the Israel-Hamas war, sparked by the terror group’s October 7 attacks in which thousands of terrorists indeed Israel by land, sea, and air, and killed 12,00 people, mostly civilians, and took about 240 hostages.
 
Hao UN kwenye mashirika yao hugo gaza wameajiri wapiganaji wa hamasi.

Madereva wa magari ya ambulance, hosp za UN , mashule na hata wafanyakazi wa UNRWA.
Baada ya wengi wao kukamatwa , wakajieleza . UN wakapewa ushahidi , Us ikaweka shinikizo , ndipo wakajifanya kulaani. Hii vita ni ya muda mrefu na hasara kubwa kwa maisha ya watu namali.

Israe wamesema vita itaendelea, hamasi wamesema kama hakuna vita kusimama hakuna mateka kuachiwa.
Hamasi ina mateka hadi sasa ni 128, isarel inawaskilia wapalestina zaidi ya 4000.
Sijui wakiamua kuua 128 isarel itua wangapi. Wakubali tu kuwaachia hao mateka vita iishe .
 
Back
Top Bottom