ISIS walijifanya kubomoa sanamu za kale kwamba ni ushetani ila kumbe walikuwa wakiziuza ili ku-fund ugaidi wao

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,019
Baada ya isis kuvamia maeneo ya Iraq na Syria ambapo ndipo ilikuwa ngome ya ufalme wa Babylon walikutana na sanamu na vivutio vingi vilivyosalia vya kale.

Wallijifanya kutengeneza propaganda videos wakiharibu sanamu na vivutio vya kale wakisema ni ushetani na shirki.

Ila nyuma ya pazia jamaa walivikusanya vitu vile wakawa wanaviuza ndani ya black market ili kupata pesa za kufanya ugaidi na vita zao vishamili.

So, what is the point here, unajifanya kutengeneza kikundi cha kupigania haki na misimamo za waislam wenzako wakati muda huo huo unauza sanamu za kishetani na kujipatia pesa kupitia sanamu za unazoita za kishetani.

Screenshot_20240117_122458_Firefox.jpg

Screenshot_20240117_122401_Firefox.jpg
 
Back
Top Bottom