kikundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Wachache (minority) humiliki uchumi mkubwa duniani

    Hii dunia imethibitika kabisa kuwa Ina rasilimali za kutosha kuwawezesha watu wote duniani kula, kusoma, kutibiwa, kutalii, kujenga/kupanga na kufurahia maisha. Bahati mbaya sana, ubinafsi, ubabe na uchoyo ama wa kisiasa au kuitawala umehodhisha rasilimali zote kwa vikundi au watu binafsi...
  2. Mganguzi

    Kama machafuko yatakuja kutokea Venezuela na damu kumwagika wakulaumiwa ni jeshi la polisi ! Polisi haijulikani ni jeshi au kikundi cha kisiasa

    Ninamashaka makubwa na sera za polisi hapa Venezuela hasa kutoka makao makuu ya jeshi Hilo hapa mjini Colombo kama linalinda raia na mali zao ama lipo kupambana na wanasiasa ! Polisi hapa mjini Colombo kwa sasa linapambana na kauli za mapambano ya wanasiasa hasa kipindi hiki ambacho mabondia...
  3. The Watchman

    RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  4. M

    JK hakwepi lawama kwa jinsi CCM ilivyogeuka kikundi cha watu wachache badala ya kuwa chama cha mamilioni ya wanachama

    Naam, hili wala halina ubishi. Katika watu ambao hawawezi kukwepa lawama katika kuvuruga chama cha Mapinduzi na hatimaye kuiweka nchi katika sintofahamu na kupelekea nchi kukosa muelekeo ni huyu JK. 1. BIFU LAKE BINAFSI NA EL LILIVURUGA CCM. Kila mtu anakumbuka jinsi EL alivyokatwa katika...
  5. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  6. S

    Rais wa Mali aifananisha ECOWAS na kikundi cha kigaidi

    Rais wa Mali Jenerali Assimi Goita amesema jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi ( ECOWAS) ni sawasawa na kikundi cha kigaidi. Rais Goita alitoa kauli hiyo mnamo tarehe 6 Januari 2025 alipokuwa akiwahutubia viongozi wa kimila, kidini pamoja na wale wa asasi za kiraia. Jenerali Assimi...
  7. J

    Mbowe: Rais wa JMT ni Taasisi ila sisi kama Chadema ni Kikundi tu Cha Watu tunaojitolea hatuhitaji Term Limit!

    Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe ameahidi kuheshimu Ukomo wa Madaraka pindi Chadema ikiingia Ikulu Source: Crown media
  8. Megalodon

    Chadema mnamachaguo mawili: Unite or Die

    Tundu Lissu alipewa nafasi ya kugombea Urais wa JMT! kuna nafasi kubwa kama hiyo ndani ya nchi? Then Unaponiambia kuwa Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama ambacho hakina hata wanachama 3M active countrywide, chama ambacho hakina hata 1/3 ya wabunge wa bunge zima…::ila tulikua tayari awe Rais...
  9. imhotep

    Kikundi kipya cha Magaidi kimeanza kuua Wananchi huko Nigeria kinaitwa Lukarawa

    Lukarawa ni kikundi kilichoasisiwa huko Sokoto State Nigeria, na kina Magaidi kutoka Nigeria Mali Burkina Faso na Niger. Nigerian Armed Forces sasa hivi inapambana na Boko Haramu, na kuzuka kwa kikundi hiki watakuwa wanapigana katika "two fronts". Majihadist hao inasemeka idadi yao haijulikani...
  10. M

    Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  11. U

    Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

    LATEST UPDATES: Newly appointed Hezbollah leader vows to continue Nasrallah’s war against Israel By Gianluca Pacchiani Follow Today, 4:00 pm In his first address after his appointment as new Hezbollah leader, Naim Qassem says he intends to continue the “work program” of his predecessor...
  12. M

    Dodoma Jiji na Azam walinyimwa haki na marefa, leo Simba wanalia dhulma waliofurahia!

    Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi! Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
  13. Eli Cohen

    Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    Kikundi cha nyimbo za injili "Makoma"

    MAKOMA Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na Ujerumani. Makoma iliundwa na: Nathalie Makoma Annie Makoma Pengani Makoma Tutala Makoma Duma Makoma Martin...
  15. Behind_the_label

    Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

    Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
  16. Nyalikanho

    Kwanini kuna ugumu mkubwa kufungua kikundi cha maendeleo kisheria

    wadau habari msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
  17. S

    Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  18. Kalaga Baho Nongwa

    Msaada wa kupata katiba ya kikundi cha wajasiriamali

    Wakuu kwema? Nina imani sote tu wazima. Nina shida na katiba ya kikundi cha vijana wajasiriamali wakuu msaada wenu tafadhali Yoyte anaeweza kunisaidia anipe ishara yoyote kwenye koment chini nitamfata inbox Nb. Ningekuwa na chochote ningebainisha hapa, tusaidiane wakuu
  19. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya ligi Tanzania hakuna watu wa mpira bali ni kikundi cha watu kinachotafuta mkate wa kila siku

    kufuatia utumbo huu (mistakes) uliofanywa na TFF na Bodi ya ligi inaonesha dhahiri kabisa hakuna watu weledi na wanaojua uongozi wa mpira kitu kama 1) kuamuru mechi ya fainali ya FA kuchezewa Zanzibar wakati mwanzo timu ya TFF ikiongozwa na Karia walikwenda kujiridhisha na kukagua uwanja na...
Back
Top Bottom