Serikali ya Kenya yakiri kupoteza mapato ya Tsh. Bilioni 214.2 kutokana na Bei kubwa za Mafuta

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1698842587816.png
Mamlaka ya Mapato (KRA) imesema mapato ya Mafuta kwa kipindi cha kati ya Julai na Septemba 2023 yalikuwa 84.8.% ambayo ni chini ya Makadirio huku sababu ikitokana na mauzo ya Nishati hiyo kushuka kutokana na Watu wengi kupunguza matumizi ya Vyombo vya Moto.

Kamishna Mkuu wa KRA, Humphrey Wattanga akizungumza mbele ya Kamati ya Fedha ya Bunge la Kitaifa amesema kupungua kwa makusanyo ya Kodi za Mafuta kumesababisha kushuka kwa 8.6% ya Mapato yaliyotarajiwa hadi kufikia mwishoni mwa Septemba 2023 hali ikiwa ni tofauti kulinganisha na kipindi kama hicho mwaka 2022.

Ikumbukwe, licha ya Bei kubwa za Mafuta kuendelea kuathiri maisha ya kila siku ya Wananchi, Kenya na Tanzania ziliondoa Ruzuku ya Mafuta ambayo kwa kiasi fulani ilisaidia kupunguza Bei ya Bidhaa hiyo ambayo huchangia katika mfumuko wa bei ya bidhaa nyingine.

============

Kenya Revenue Authority has recorded a deficit of Sh12.9 billion in tax collections from the oil sector as Kenyans reduced their expenditure on petroleum products.

While it anticipated increased collection, the government appears to have shot itself in the foot in its quest to net more revenues from the high pump prices.

Oil revenues collection by the taxman recorded a performance rate of 84.8 percent in July-September 2023 (or a deficit of Sh12.9 billion against target), and a decline of 8.6 percent over July - September 2022 collections.

“The high fuel prices have caused a decline in fuel revenues. Fuel consumption has actually declined by five percent for diesel and 3.7 percent for petrol” said KRA commissioner general Humphrey Wattanga.

In particular, volumes of diesel, kerosene type jet fuel, illuminating kerosene and other oil products declined by 19.5 per cent, 6.6 percent, 59.7 percent and 24.8 percent. Respectively. However, the volume of petrol grew by 1.6 percent.

KRA says performance for the various the tax categories were affected by a decline in overall oil volumes by 12.4 percent.

This was attributed to a drop in fuel consumption in January - June 2023 due to high pump prices that depressed demand.

Consumption of petrol dropped by 4.9 percent while diesel fell 3.7 percent. The last time such a drop in consumption was noted was during the COVID period in 2020.

“The high fuel landing costs impacted on the eventual retail price. Landing costs are mainly driven by international oil prices that have been on the rise since July 2023, and a continual depreciation of the exchange rate,” added KRA.

Kenya had since 2021 been subsidising pump prices to ease the impact of high global prices of refined fuel, but pressure from the International Monetary Fund and struggles by the Exchequer to compensate oil marketers prompted the withdrawal of the scheme.

However, the move to revert, VAT on oil back to 16 percent saw the band perform above target accruing a surplus of Sh4.8 billion despite overall oil values declining by 28.3 percent.

STANDARD MEDIA
 
Back
Top Bottom