Serikali ya Kenya yaitaka Tiktok kueleza jinsi inavyolinda Taarifa Binafsi za Wananchi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,538
8,548
1711085654492.png

KENYA: Serikali kupitia Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi (ODPC) imeiandikia barua kampuni ya ByteDance Limited inayomiliki #TikTok ikiitaka kutoa hakikisho la namna inavyofuata Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Kenya

Waziri wa Mambo ya Ndani, Kithure Kindiki, amesema ODPC inatarajia kupata ufafanuzi kutoka TikTok kuhusu hatua inazochukua katika kulinda Taarifa Binafsi na Faragha, Uthibitishaji wa Umri na Uchujaji wa Maudhui

Akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Taifa ya Malalamiko, amesema Serikali haina mpango ws kuifungia TikTok kwakuwa ni moja ya eneo linalotoa Ajira kwa Vijana lakini itazingatia zaidi Usalama na Faragha za Wananchi

Ameongeza, kuna haja ya Mitandao yote ya Kijamii, Wakusanyaji Taarifa na Wachakataji kutambua uwepo wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na kuifuata bila shuruti

===========

Nairobi — The government has through the Office of the Data Protection Commissioner (ODPC) contacted China's ByteDance Limited, TikTok's parent company, to ascertain their level of compliance with Kenyan laws.

Interior CS Kithure Kindiki Thursday said ODPC is expected to obtain clarifications on TikTok's commitment to ensuring the privacy of individuals and to provide details on the effectiveness of age verification and content filtering.

Additionally, the ODPC asked ByteDance Limited to demonstrate its compliance with the Data Protection Act.

"With its wide reach, the TikTok platform has been used by criminal elements to spread malicious propaganda, steal popular accounts through identity theft and impersonation, defraud users through fake forex trade and job recruitment, distribution of sexual content and exposure of minors to inappropriate content," Kindiki said.

Speaking when he appeared before the National Assembly Committee on Petitions, Kindiki said banning TikTok in Kenya would be premature without considering the opinions given the likely impact on people using it.

He said before taking firm measures, like locally outlawing the platform, a thorough review of the advantages and disadvantages must be done.

"I don't think we're in a position to declare the dangers outweigh the benefits. It's a bit premature," he stated.

The CS, however, reiterated the need for TikTok and other data controllers and processors to comply with regulations under the Data Protection Act.

"We should work out a program where we have a policy that is evidence-based to assess whether the risks are more prominent than the benefits," he noted.

"Let's not only look at quick fixes but have a long-term comprehensive plan and help the country from not banning TikTok," Kindiki urged lawmakers.

ALL AFRICA
 
Google wamekuwa wakichukua taarifa za users toka 1998, kipindi kile cookies zilikuwa zinakaa kwenye browsers kwa siku 1 au mbili, ila wao zilikuwa zinakaa for 30yrs, unless uziondoe manually. Hawakuishia hapo, wakatengenza browser yao (chrome) na script ya analytics ili kutoa kwa websites ili wa collect data ambazo siyo za platforms zao.

Wakaendelea kwa kununua android ili waweze kuwa na full control ya devices na kupata data za voice, image na text, siku hizi mpaka na biometric data watu wanatoa tuu kwa haya makampuni kama mazuzu. Facebook, instagram n.k wanafanya hivyo hivyo. Hawa wa kenya walikuwa wapi siku zote?
 
Kunya anye kuku akinya bata….
 
wanapenda waonekane wapo ligi moja na US siunajua wako na inferiority complex so show off ndio inafidia hilo gape wajione wakuu
 
Back
Top Bottom