majengo

  1. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania KERO Lift za Majengo ya Victoria Plaza na Twiga House (Posta) ni mbovu, zitakuja ziue watu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo ni jumanne ya pasaka toka mwokozi wetu YESU KRISTO afufuke Hii nimeleta kama taarifa kuwa rift za majengo ya Victoria plaza jengo lililopo mataa ya Morogoro road na Samora street ni mbovu sana na mda wowote litauwa watu Jengo lingine ni...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa majengo haulipi

    Kuwekeza kwenye majengo ni sawa na fedha zako kuzifukia sehemu, na kuanza kuila kidogo kidogo mpaka iishe. Na kula huko unakuwa hauli faida zaidi ya kula mtaji (fedha ulioiwekeza). Wengi ukimbilia kujenga nyumba za kupanga, 'apartment', hoteli, nyumba za kulala wageni n.k huku wakijipa...
  3. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Majengo mengi yanayojengwa Dar es salaam hasa maghorofa hayavutii(hayana mvuto)

    Sijapata bahat ya kutoka nchi za watu, inshallah kikubwa uzima naweza fanikiwa fika siku moja, ila mara nyingi napenda sana kuingia YouTube na kutazama miji mkuu au majiji ya nchi husika. Mfano kama muda huu naiangalia GABORONE _🇧🇼 yaani unaona jinsi majengo yanavyovutia, unaona majengo...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Haya majengo katika ramani ya uwanja mpya wa Arusha yanaashiria nini?

    Ukiangalia ramani ya uwanja mpya unaojengwa wa Arusha utaona viboksi boksi vingi vinavyoashiria majengo ya aina fulani. Tukumbuke eneo lililochaguliwa kujenga uwanja huu ni nje kabisa ya mji na hakuna makazi yoyote yaliyo karibu na uwanja huo kwa sasa. Wenzetu wakiamua kupeleka viwanja nje ya...
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali

    Kuna watu haramu wapo kwenye majengo ya serikali kwasababu yapo wazi na wananchi bado hawajachagua watawala halali. Wananchi sio dhaifu suala la watu haramu kuendelea kushikiria majengo yetu wakijifanya ni watawala haliwafanyi wawe halali kamwe.
  6. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba Majengo Sqm 844

    Nyumba nzuri saana. Nyumba nzuri ya Kisasa Inauzwa milioni 190 maongezi yapo. IPO GOBA MAJENGO - Dar es salaam - Tanzania Ina Vyumba Vinne vya Kulala Vyumba viwili ni self Conteinard Stady room Master Bedroom Sitting room Dining room Kitchen Store Public toilet Ukubwa wa kiwanja: sqmt 844...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Misikiti na majengo yatiwa kiberiti Iran

    Raia wa Iran wamamua liwalo na liwe, hawataki kuongozwa na dini ya muarabu.... Wanataka uhuru. Kawaida Waajemi, yaani Persians huwa watu wenye akili sana, ukisoma historia yao kabla dini ya muarabu walikua wanafanya mengi makubwa, ile dini imewadumaza sana. ============ Watch: Buildings in...
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kwa Kanuni za urban warfare, ilikuwa ni lazima majengo yote ya Gaza city yalipuliwe na kushushwa chini

    Leo hebu tukumbushane kuhusu vita ya Hamas wa Gaza city na Israel. Kuna vitu tunaweza kuvichukulia kikawaida ila havifanyiki kwa bahati mbaya. Tukiacha kuongelea hiyo vita katika context ya kidini, na kuwa huru kujifunza kuna sababu na hoja ni kwanini na sababu gani zilizofanya Gaza...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bilioni 57 kuwekeza majengo katika Kozi ya urubani,Mbona mnachezea pesa ,Pale Chato kile kiwanja kinazidi kujifia

    Leo nilikuwa na mtu mmoja tuliongea mambo mengi kuhusu nchi yetu kuwa na kundi kubwa la CCM wajinga ndio wanaotawala. Nimeona NIT na serikali kuweka mabilioni ya pesa NIT maswala ya anga. Udogo wa kile chuo ,kwa nini wasiopeleke Kiwe chato hapo maana kiwanja kilishindikana kuwa na safari na...
  10. Keynez

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuanze kuyaita majengo na miundombinu kwa majina ya mashujaa wetu

    Tanzania imeingia zama mpya. Na zama mpya zinahitaji mitazamo mipya. Hili nililisema humu ndani kama siyo October 27 basi 28. Tutahitaji kufanya resistance ya kila namna dhidi ya udhalimu, ikiwemo kutumia njia za kibunifu ambazo ni salama lakini zenye maana kubwa. Mojawapo ya jambo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania kiwanja kinauzwa manyoni

    Kiwanja kinauzwa manyoni majengo satelite city sqm 1039. Makazi na biashara. Bei 3,000,000. Maongezi yapo
  12. Kavimbe jr

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  14. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

    === Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025. Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini jamii ya Waafrika imekuwa nyuma sana katika kubuni na kujenga majengo ?

    Tangu karne za zamani civilisations nyingi zimekuwa zinajenga majengo ya kustaajabisha sana kasoro ya Waafrika weusi tu. Mpaka sasa hivi bado hali ni hiyo hiyo tu. Shida ni nini? Hembu linganisha hii mifano ya jamii nyingine na Waafrika.
  16. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Majengo yanauzwa,yalikuwa yanatumika au kukodishwa kwa matumizi ya chuo

    #forsale ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x) BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO KUNA 🔹Madarasa 9 makubwa 🔹Ofisi 🔹Na Mambo mengine mengi KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

    Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusitisha au kufuta usajili wa kanisa" inahusisha nini hasa hasa ? Je, ni kutia kufuli majengo ya kanisa hilo ili asiwepo mtu ndani mle?

    https://youtu.be/8reLapCOf0s?si=d0DkYnApY4VvHj_U Hebu msikilize vizuri Afande Jumanne Muliro, RPC Kanda Maalumu ya DSM kwenye video hiyo akielezea namna alivyokuwa very sharp yeye na polisi wake kwenda kuzingira na kuwafurusha waumini waliokuwa wakiendelea na ibada ya maombi ya siku 7 ndani ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Othman Masoud ziarani Tumbatu asisitiza uimarishaji wa majengo ya Chama

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud Othman ameanza ziara ya uimarishaji wa Chama kisiwani Tumbatu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kujipangia na ushindi katika uchaguzi mkuu mwezi Oktoba 2025. Taarifa ya ACT imeeleza kuwa ziara hiyo imekuja kufuatia mwendelezo wa...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake 19 wajivua uanachama. Wasema lazima wagawane mali na majengo ya chama!

    Mbombo ngafu! Sasa mali na majengo kugawanywa baada ya mmoja ya wana Chadema kusema hivyo. Inawezekana jengo la makao makuu Mikocheni likafungwa kwa amri ya mahakama mpaka mgao ukamilike au team Mbowe muda wowote wakaingia ndani ya jengo, wakajaa, na wasitoke Sisi team Mbowe tunasubiri...
Back
Top Bottom