Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,370
8,106
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.

Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na kutoa Mafunzo ili kuhakikisha Vijana wanatumia Mtandao kujipatia riziki".

Aidha, Serikali itasambaza huduma ya Wi-Fi ya bure kwenye masoko ili kusaidia wafanyabiashara kupata manufaa yake kwa kuzitumia kutangaza biashara zao Mtandaoni.

=====================

Information Cabinet Secretary (CS) Eliud Owalo says the government is planning to unveil 25,000 public Wi-Fi hotspots across the country to meet the rising demand for internet. Speaking while launching a public Wi-Fi at City Market, Nairobi, Mr Owalo indicated the government is already mapping out the areas across the country as it seeks to connect the youth to the internet opportunities.

“The government believes in the creation of a digital superhighway as a way of empowering the skills of the young people in this country. We will also identify skills gaps and offer training to ensure youths make use of the internet to earn a living,” Mr Owalo said.

He has also said that the government will roll out similar hotspots in different areas within Nairobi County. They are located near marketplaces to help businesses reap its benefits by using it to market their businesses online. According to the ICT Authority CEO Stanly Kamanguya, the public Wi-Fi will have security features to ensure that it has not misused.

He did not however explain any security measures that have been put in place to protect the privacy and data of individuals who will be using the internet, nor the specific websites blocked. Public Wi-Fi hotspots can be drawn to security breaches if there are no encryptions carried out on the Wi-Fi.

Nairobi Deputy County Governor Njoroge Muchiri thanked the government for choosing to situate the access point within City Market to benefit the traders.

“It is a milestone, and we will work to ensure the businesses of people are uplifted. We will have such hotspots to ensure traders do business freely,” he said. The public Wi-Fi does not require a password for access.

NATION
 
Tanzania ilikuwa inaelekea huko maana internet kwa bando ilikuwa chep sana. Tz ilikuwa nafootprint kubwa mtandaoni katika Africa. Wamekuja hawa washamba wanaona internet anasa, halafu walikuwa wanashutumu waliopita kwa kutokuwa watoto wa mjini!!
 
Tanzania ilikuwa inaelekea huko maana internet kwa bando ilikuwa chep sana. Tz ilikuwa nafootprint kubwa mtandaoni katika Africa. Wamekuja hawa washamba wanaona internet anasa, halafu walikuwa wanashutumu waliopita kwa kutokuwa watoto wa mjini!!
Wanakera sana aisee
 
Back
Top Bottom