M
Joined
Likes
4

Profile posts Latest activity Postings About

 • ivunya
  Naomba nisajiliwa kuingia katika jukwaa la dini kusoma habari mbalimbali, kwa sasa nashindwa ku-access ilo jukwaa.Natanguliza shukrani zangu.
  irumba1
  irumba1
  hata mimi nina hamu malo
  M
  Mhariri
  Sawa
  Diranqw
  Salaam mkuu!!!!,msaada p/se kila nikipost thread yangu naandikiwa redirect...........--------.....---------------N/A maana yake nn/
  demigod
  Mkuu nahitaji unibadilishie capatal lettter "D" na "G" iwe kwenye small letter"d' na "g" kwenye username yangu "DemiGod".nataka iwe "demigod".
  Tukundane
  Mbona siku hizi kisanduku cha kutolea maoni kilichokuwa kinajitokeza chini ya thread hakipo?.
  Dereva wa Kirikuu
  Mkuu Muhariri..

  Heshma zitangulie..
  Naomba access ya jukwaa la DINI na Jukwaa la WAKUBWA..

  Shukranii..
  Dioniz Osetha
  Good after noon my friend. Niko na shida naomba msaada wako
  I have some problem can you help me please????
  kombaME
  Nisaidie nijiunge kwenye jukwaa la dini na lile la wakubwa
  micaely michael
  muonekano mpya jf umenifanya nikose hata sehemu ya kupost naishia kucoment post za wenzangu 2 unaweza kunisaidia.
  M
  Mhariri
  Tafuta Sehemu iliyoandikwa Create Thread juu kabisa mkono wa kulia. Bonyeza hapo kisha andika.
  vaikojoel
  Habari mkuu
  Pole na majukumu
  swali..kuna uwezekano wa kuchange jina ??
  M
  Mhariri
  Uwezekano upo. Tuma jina lako na unalotaka libadirishwe kwenda support@JamiiForums.com
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…