wadukuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

    Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote... Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained...
  2. JanguKamaJangu

    Klabu za Premier League zaonywa kuhusu Wadukuzi kuvamia mifumo ya usajili

    Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo. Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha...
  3. MK254

    Wadukuzi wa Korea Kaskazini wadukua kampuni ya silaha ya Urusi

    Ni kampuni kubwa ambayo hutengeneza mizinga ikiwemo ile ya hypersonic, wamedukuliwa kizembe sana tena kwa miezi mitano bila kushtukia.... North Korean leader Kim Jong Un and Russia's Defense Minister Sergei Shoigu visit an exhibition of armed equipment on the occasion of the 70th anniversary...
  4. Pascal Ndege

    Tetesi: Udukuzi: Kama simu inakuwa ya moto ukiwasha data ni dalili za wadukuzi kudukua camera na audio za simu yako.

    Kwa wataalam wa IT upande wa software engineering watakubaliana na Mimi kuwa udukuzi ni kitu cha kawaida kabisa katika tasinia ya technologia. Udukuzi hufanywa Mara nyingi sana. Lakini Kuna iana mbili za udukuzi. 1.Udukuzi wa faida(kujikinga na magaidi na kurinda Usalama) 2.Udukuzi wa...
  5. BARD AI

    Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  6. K

    Wadukuzi wa kichina wanzisha operation maalum kuidukua Kenya

    Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR nk,makundi maarufu ya udukuzi yenye uhusiano mkubwa na nchi ya China yameanzisha operation maalum ya udukuzi...
  7. n00b

    Uhispania Yawakamata Wadukuzi 40 katika Msako dhidi ya Genge lao

    Mamlaka za Uhispania wiki hii zilitangaza kukamatwa kwa watu 40 kwa kujihusisha kwao katika genge la uhalifu lililofanya ulaghai wa benki, kughushi nyaraka, wizi wa utambulisho na utakatishaji fedha. Wawili kati ya watu hao, mamlaka inasema, walikuwa na jukumu la kutekeleza ulaghai wa benki...
  8. JanguKamaJangu

    Uingereza yaonya mpango wa Wadukuzi wa Iran na Urusi kuwadukua Waandishi wa Habari, Wanasiasa

    Kituo cha Mtandao cha Kitaifa cha Uingereza (NCSC) kimetoa angalizo kwa watu wa tasnia hizo kufanyiwa udukuzi wa kijasusi kwa lengo la kukusanya taarifa mbalimbali Imeelezwa wadukuaji wanawalenga watu ambao wanafanya utafiti na wanafanyia kazi kwa ukaribu na Mataifa ya Iran na Russia. NCSC...
  9. Replica

    Jinsi wadukuzi walivyolamba mabilioni ya Airtel Money Uganda kupitia kampuni ya kubeti, makampuni ya Tanzania yajipange

    Taarifa zimetoka jinsi kikundi cha udukuzi cha kofia nyeusi 'black hats' kilivyotumia tovuti ya michezo nchini Uganda kuchukua pesa kutoka kwenye mfumo wa Airtel Uganda(AMCUL) Wakati tovuti hiyo ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ikijisifu kufata viwango vya usalama kulinda taarifa za...
  10. JanguKamaJangu

    Australia: Wadukuzi wawavamia Wanasiasa, wanahabari

    Wadukuzi Nchini Australia wametengeneza tovuti ya habari za uwongo ili kukusanya taarifa kutoka kwa Maafisa wa Serikali, Wanasiasa na waandishi wa habari. Walengwa wamepokea barua pepe zinazoonesha zimetoka katika vyombo vya habari vya Australia kukiwa na habari mbalimbali ambazo zimeibwa kutoa...
  11. JanguKamaJangu

    Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

    Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya mtandaoni yaliyoathiri miundombinu muhimu ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema...
  12. Suley2019

    Mataifa mengi ya Afrika hayajaweka Mikakati thabiti ya Usalama wa Mitandao jambo linalowafanya wawe kwenye hatari ya kushambuliwa

    Mpaka kufikia mwaka 2022 bado mataifa mengi ya Kiafrika yanaonekana kuwa nyuma katika ya kuweka mikakati thabiti itakayowezesha usalama wa mitandao katika nchi zao. Kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia wananchi wengi pamoja na serikali za Kiafrika zinatumia vifaa vya kidijitali katika...
  13. Analogia Malenga

    Wadukuzi wanadai fidia ili kufungua tovuti za Serikali Msumbiji

    Wadukuzi wamepata tena udhibiti wa tovuti zaidi ya 30 za Msumbiji, saa chache baada ya serikali kusema kuwa imezima shambulio la Jumatatu. Kundi linaloitwa "Yemen Hackers" limedai kuhusika na shambulio hilo la hivi punde. Baadhi ya tovutizilizolengwa ni pamoja na mamlaka ya usimamizi wa majanga...
  14. Sam Gidori

    Italia: Wadukuzi wadai kuiba GB 60 za taarifa za watu

    Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa. Kundi hilo la Wadukuzi linalojiita ‘Everest’ limedai kuwa linamiliki zaidi ya Gigabaiti 60 za taarifa...
  15. Sam Gidori

    Wadukuzi wadai kuiba taarifa za 74% ya Waisrael wote

    Wadukuzi wanaojiita Sangkancil wamedai kudukua taarifa binafsi za zaidi ya watu milioni 7 nchini Israel. Wadukuzi hao wamesema wamedukua taarifa hizo kutoka kwenye tovuti ya CITY4U ambayo hutumiwa na mamlaka za Israel kushughulikia malipo mbalimbali kama bili za kawaida, faini, kodi nk...
  16. Analogia Malenga

    Wadukuzi waonesha ubovu wa mifumo ya Cryptocurrency

    Wadukuzi wenye maadili 'white hat hackers' waliingia kwenye mifumo ya fedha za mtandao, 'CryptoCurrency' na kuchukua kiasi cha dola milioni 610. Wadukuzi wamerudisha kiasi hiko cha fedha kwa wahusika kwa kuwa lengo lao halikuwa kuiba. Walichukua hela hizo kutoka Polygon, BSC na Ethereum...
  17. Sam Gidori

    Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
Back
Top Bottom