dc jokate

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate ameandaa mbio za Wajawazito Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama Wajawazito wilayani Korogwe zilizopewa jina “#MAMATHON’. Mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 28 mwaka huu lengo ni kutoa elimu na kuhamasisha wajawazito kufuatilia afya na lishe bora kwa mama na mtoto. Wanawake...
  2. J

    Mkuu wa Wilaya Jokate akutana na wabunge wa Korogwe mjini na vijijini kujadili mikakati ya wilaya ya Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mhe.Jokate Mwegelo mapema Leo hii April 17,2023 amekutana na Mbunge wa Korogwe mjini Dr. Alfred Kimea na Korogwe vijijini Timotheo Mzava ofisini kwake. Katika Mazungumzo ambayo yamefanyika kwa muda wa saa Moja wabunge pamoja na mkuu wa Wilaya wamejadili mikakati ya...
  3. J

    Miaka 20 ya Maranatha: DC Jokate ashiriki ibada, aomba viongozi wa dini kuombea serikali

    MIAKA 20 YA MARANATHA DC JOKATE ASHIRIKI IBADA, AOMBA VIONGOZI WA DINI KUOMBEA SERIKALI. Na Miko Luoga Tanga Mkuu wa wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amewaomba viongozi wa dini na waumini wilayani humo kuwaombea viongozi wa serikali na ardhi ya Tanzania ili Taifa liendelee kuwa...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo: Tushirikiane tulete maendeleo, tuache alama ya kudumu Korogwe

    DC JOKATE MWEGELO - TUSHIRIKIANE TULETE MAENDELEO, TUACHE ALAMA YA KUDUMU KOROGWE Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameshiriki Siku ya Wnawake Duniani iliyoadhimishwa tarehe 08 Machi, 2023 Ulimwenguni kote ikiwa na Kauli Mbiu: "Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia, Chachu Katika...
  5. Vugu-Vugu

    DC Jokate Mwengelo na Shaka Hamdu Shaka katika kongamano la kumpongeza Rais Samia kwa uchapakazi uliovunja rekodi zote

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka, akizungumza wakati wa kongamano maalum la kumpomgeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri anayoifanya ya kuwatumikia Watanzania katika maendeleo, ambalo limeandaliwa na Jukwaa Jamii Mpya...
  6. JanguKamaJangu

    DC Jokate: Zaeni watoto mtakaomudu kuwalea ili kupunguza watoto wa mtaani wakiwemo Panya Road

    Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo, amewataka wananchi hasa wazazi kuhakikisha wanazaa watoto ambao watawamudu kuwalea ili kuepusha nchi kuwa na idadi kubwa ya watoto wa mitaani ambao wengine wanaamua kujiingiza kwenye vitendo vya uhalifu ikiwemo panya road. DC Jokate ametoa kauli hiyo...
  7. Kelp B

    Panya road 100 wakamatwa Temeke

    Mkuu wa wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amesema ndani ya siku mbili zaidi ya wahalifu 100 wamekamatwa wakiwemo vijana wanaojiita ‘panya road’ ambao wamekuwa wakijihusisha na vitendo mbalimbali vya uhalifu wa kuvamia nyumba na kupora mali pamoja na kuwajeruhi watu Source: #EastAfricaRadio MY...
  8. J

    DC JOKATE: Kishindo cha Tamasha la SENSA Wilayani Temeke ni Agosti 20 Viwanja vya Zakhiem Mbagala

    Hamasa ya Sensa Temeke yakutanisha makundi yote, kesho Viwanja vya Zakhiem Mbagala hakupoi ujanja kusensabika Kuelekea siku ya sensa leo tunakaa na viongozi wa wilaya, Kamati ya Usalama ya wilaya, Wages Homies madiwani, Wenyeviti wa mitaa yote 142, Wazee wetu, kutoka kata zote 23, Kamati ya...
  9. J

    DC JOKATE: Viwanja vya michezo vya Kisasa kujengwa Temeke Mwembe Yanga

    Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
  10. Stephano Mgendanyi

    Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini

    DC JOKATE AHAMIA SEKTA YA UTALII TEMEKE. Sekta ya utalii imekuwa haizungumzwi sana ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Temeke ukilinganisha na maeneo mengine hapa nchini hali inayofanya baadhi ya wananchi kutotambua vivutio vinavyopatikana nndani ya Halmashauri ya manispaa hiyo. Kwa kuliona...
  11. J

    DC Jokate kuongoza mapokezi ya kidato cha kwanza leo Temeke. Kwa mara ya kwanza hakuna aliyekosa darasa

    Temeke Tukutane Shuleni. Asante Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kwa maono yako. Leo tunaanza kupokea wanafunzi. Tukutane Mubashara kabisa muda huu kupitia Channel Ten na vyombo vingine vya habari!!!! Kazi Iendelee 🇹🇿
Back
Top Bottom