Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa.
lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo.
Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa zaidi na CORONA ni utalii, hapa Tanzania tunaweza kushuhudia hilo.
Rais Samia yuko katika jitihada za makusudi kuokoa Sekta hii:
1. Namna alivyokabiliana na Corona kwa kutumia mbinu za Kisayansi hususan kwa kuruhusu Chanjo, imeongeza kuaminika kwa nchi yetu. Watalii walipungua sana nchini kwa nam,na tulivyokuwa tunapuuzia hili jambo, tulijifanya sisi ni kisiwa, watu wanaoamini kwenye Sayansi wakatukataa. Lakini sasa tumechanjwa na kufuata kanuni nyingine kwenye utalii, tunarudi kwenye ubora.
2. Leo Rais alikuwa anafungua Gran melia hotel hapa Arusha, namna anavyoongea kuitangaza nchi yake, tunaona kwamba ameamua kuwa mstari wa mbele kuitangaza nchi yetu. Huu ni muendelezo wa nia aliyoonesha kupitia Royal Tour, anajitoa sana Mama yetu.
Tuzidi kumuombea, tumuunge mkono. Utalii unapofunguka, ajira nyingi zinaokolewa.